DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
- Thread starter
- #181
Kwaiyo wewe akishakuvulia unaloweka na kuondoka zako TU ujali chochote?Mwanamke akikupenda kukuvulia si shidaa...!![emoji38][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo wewe akishakuvulia unaloweka na kuondoka zako TU ujali chochote?Mwanamke akikupenda kukuvulia si shidaa...!![emoji38][emoji28]
Ndio maana vilio haviishi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata mizinha hakupigiiiKwaiyo wewe akishakuvulia unaloweka na kuondoka zako TU ujali chochote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata mizinha hakupigiii
Chap tuHa ha ha ...
Wee jamaa bhana
Kwaiyo ukimuita na siku nyingine anakuja kabisaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa yako mzembe... Unaweza kukuta mama yake analala kwenye mkeka yeye anahangaika na mchepuko.
Yaani wanataka wawaache wadada bila pension.Mwenyekiti wao katoa neno kasema eti mpaka uonekane umetulia ndio utaandikwa kwenye hati,sasa hapo usiombe uwe na kasura kamechangamka ,Hati huna!
Anajiheshimu ? Kwani sisi tuanaotombana hatujiheshimu?[emoji23][emoji23][emoji23]True story kabisa.
Nilipata mchepuko mmoja ni single maza yani ilibaki kidogo nimlipie kodi ila nikasitaa mwisho wa siku akapangiwa na nani sijui ila hela zangu ndogondogo kala yani nikiomba mzigo ni chenga nyingi sanaaa... Nkajua hapa naliwa bure siku nkamkaushia kama week hivi siku nashangaa ananillia shida nikamwambia njoo lodge flani uchukue hiyo laki[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Akaanza kuruka eti ooho me najiheshimu shwain.
ha haaaa ahaaaa mambo ya kiinua mgongo sio?Yaani wanataka wawaache wadada bila pension.
Hawafai
Nikamwambia wew kunipa Utamu roho inakuuma ila hela zangu haziniumi eti[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hajanisikia mpaka leoAnajiheshimu ? Kwani sisi tuanaotombana hatujiheshimu?[emoji23][emoji23][emoji23]
Au ukipiga ukampa laki yake , unaondoka na mbususu yake?
Una uhakika gan kwao wanaishi maisha ya shida?Jamaa yako mzembe... Unaweza kukuta mama yake analala kwenye mkeka yeye anahangaika na mchepuko.
Mchumba hasomeshwi....
Boya sana huyo hajui kuna sex halafu kuna making love! Akijua tofauti ya hizo concept ataelewa tuHajawahi kuenjoy mahaba uyo,
Maandiko mengi Sana ya biblia yamemkaa, kila kizur anaona dhambi[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulikuja kuchuna, utatumika tu Kama sex machine na utaondoka mikono mitupu.[emoji4]Yaani wanataka wawaache wadada bila pension.
Hawafai
Hakika[emoji4][emoji106]Boya sana huyo hajui kuna sex halafu kuna making love! Akijua tofauti ya hizo concept ataelewa tu
Mkwe ni roho mbaya yako tu[emoji1787][emoji1787]Unachepuka hadi unajengea hawara nyumba, bure kabisaaaa
Hakuna anayetokea familia ya kishua akafanya ushamba wa namna hiyo....
Nyie mafurushi kuna ujumbe wenu murua kabisa hapa.Tabu zote za nini ndugu [emoji848]
Kiukweli nimechelewa sana kutoelewa raha ya uaminifu kwenye ndoa ya wawili tu(Me + Ke).
Hakuna mapepo/ulinzi wa uhakika kiroho.
Hakuna mawazo yasiyo na ulazima/hakuna kuzeeka kizembe.
Hakuna wasiwasi wa kujistukia hata simu yako ikiwa haina neno siri (miaka mitano bila ya neno siri).
Hakuna pasua kichwa kuhangaikia Ke mwingine na watoto wa nnje zaidi ya Ke halali wa ndoa yangu tu, familia ya nyumbani kwetu na mara 1 1 ukweni.
Uchumi umeimarika na kuhifadhiwa kwa zaidi ya 90%.
Kuaminiwa na Ke hata nikienda popote pale duniani na kukaa mbali naye hata kwa zaidi ya siku, mwezi, mwaka na kuendelea.
Baraka za Mungu ni nyingi sana hadi nashindwa kuzielezea hapa.
Wakuu kama hamuelewi maana halisi ya amani rohoni basi onjeni mfumo wa uaminifu katika ndoa ili mshuhudie raha ya kipekee sana [emoji847][emoji16]
Mkwe ni roho mbaya yako tu[emoji1787][emoji1787]