Ushauri: Mke kamalizia kulipa gharama ya kiwanja ambacho mume wake alikuwa anamnunulia mchepuko

Ushauri: Mke kamalizia kulipa gharama ya kiwanja ambacho mume wake alikuwa anamnunulia mchepuko

True story kabisa.

Nilipata mchepuko mmoja ni single maza yani ilibaki kidogo nimlipie kodi ila nikasitaa mwisho wa siku akapangiwa na nani sijui ila hela zangu ndogondogo kala yani nikiomba mzigo ni chenga nyingi sanaaa... Nkajua hapa naliwa bure siku nkamkaushia kama week hivi siku nashangaa ananillia shida nikamwambia njoo lodge flani uchukue hiyo laki[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Akaanza kuruka eti ooho me najiheshimu shwain.
Anajiheshimu ? Kwani sisi tuanaotombana hatujiheshimu?[emoji23][emoji23][emoji23]

Au ukipiga ukampa laki yake , unaondoka na mbususu yake?
 
Anajiheshimu ? Kwani sisi tuanaotombana hatujiheshimu?[emoji23][emoji23][emoji23]

Au ukipiga ukampa laki yake , unaondoka na mbususu yake?
Nikamwambia wew kunipa Utamu roho inakuuma ila hela zangu haziniumi eti[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hajanisikia mpaka leo
 
Tabu zote za nini ndugu [emoji848]

Kiukweli nimechelewa sana kutoelewa raha ya uaminifu kwenye ndoa ya wawili tu(Me + Ke).

Hakuna mapepo/ulinzi wa uhakika kiroho.

Hakuna mawazo yasiyo na ulazima/hakuna kuzeeka kizembe.

Hakuna wasiwasi wa kujistukia hata simu yako ikiwa haina neno siri (miaka mitano bila ya neno siri).

Hakuna pasua kichwa kuhangaikia Ke mwingine na watoto wa nnje zaidi ya Ke halali wa ndoa yangu tu, familia ya nyumbani kwetu na mara 1 1 ukweni.

Uchumi umeimarika na kuhifadhiwa kwa zaidi ya 90%.

Kuaminiwa na Ke hata nikienda popote pale duniani na kukaa mbali naye hata kwa zaidi ya siku, mwezi, mwaka na kuendelea.

Baraka za Mungu ni nyingi sana hadi nashindwa kuzielezea hapa.

Wakuu kama hamuelewi maana halisi ya amani rohoni basi onjeni mfumo wa uaminifu katika ndoa ili mshuhudie raha ya kipekee sana [emoji847][emoji16]
Nyie mafurushi kuna ujumbe wenu murua kabisa hapa.
 
Back
Top Bottom