leipzig
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 2,766
- 1,708
Kwani usipomtaja mtu ndio hutajua anayezungumzwa ni nani! Kwahiyo unaruhusu yote yasemwe ila tusitajane majina!Hutakuja msikia Magufuli akisema "Tundu Lissu ........", haujiulizi kwanini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani usipomtaja mtu ndio hutajua anayezungumzwa ni nani! Kwahiyo unaruhusu yote yasemwe ila tusitajane majina!Hutakuja msikia Magufuli akisema "Tundu Lissu ........", haujiulizi kwanini?
Nilifundishwa kuwa na mkono mrefu ina maana kuwa wewe ni mwizi, nikiangalia matendo ya CCM na serikali yake nakubali kuwa serikali ya CCM ina mkono mrefu.Mkono mrefu mpaka sasa sijasikia waliomshambulia Tundu Lissu,huo mkono mrefu ndo upi?
Mwisho wa Magufuli ndo huu
Hahahaha umemuweza, hii mada ngumu kwa mleta madaKwani usipomtaja mtu ndio hutajua anayezungumzwa ni nani! Kwahiyo unaruhusu yote yasemwe ila tusitajane majina!
Unaamini Lisu atainadi Ilani ya Chadema?!Comrade, hii ni 2020 ulishasheherekea siku kuu ngapi za kuzaliwa tangu mahaba ya mzee Lowassa?
Ni ushauri tu, mwisho wa siku yeye ndiye mgombea, ataamua nini cha kusema na nini cha kutosema.USIMFUNDISHE NINI CHA KUSEMA
Cha muhimu ni kujikita zaidi kwenye sera badala ya kumshambulia mtu.Kwani usipomtaja mtu ndio hutajua anayezungumzwa ni nani! Kwahiyo unaruhusu yote yasemwe ila tusitajane majina!
atasema kila kitu... kila jambo tena kwa maneno makali.Ni ushauri tu, mwisho wa siku yeye ndiye mgombea, ataamua nini cha kusema na nini cha kutosema.
Ni wazi kuwa Lissu amekuwa mwanaharakati wa kutetea haki za wananchi kwa miaka mingi, pia ni wazi kuwa kwa sasa yeye ndiye mwanasiasa pekee wa upinzani mwenye uwezo wa kumtikisa Magufuli.
Lakini kuna mambo machache ningependa kumshauri ayazingatie atakavyoendelea na kampeni zake kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
1. Aache kumshambulia Magufuli binafsi. Naamini kuna watu wengi tu wamemshauri juu ya hili, ni muhimu sana kulizingatia hili. Ni vema kuielekezea mashambulizi serikali kwa ujumla na chama cha CCM badala ya kumshambulia Magufuli.
Hata Magufuli akitaka kurusha vijembe upande wa pili mara nyingi hua hataji majina ya watu. Anaepusha mgongano wa hoja kugeuka kuwa ugomvi binafsi.
2. Ajikite kwenye matatizo yanayowagusa wananchi wengi.
Japo kiubinadamu ni ngumu sana kufanya hili ukizingatia yeye binafsi alivyoteswa na kulengwa moja kwa moja na utawala huu lakini ajitahidi kuachana na 'personal vendetta' dhidi ya serikali akiwa jukwaani.
Watu hawakuchagui ili ukatimize hasira zako bali ili ukatatue changamoto zao. Kuna mengi ya kuongelea kila sehemu, watumishi, wakulima, wafanya biashara, wahitimu wa vyuo n.k
Lakini pia kuna ukatili wa polisi na kuminywa kwa demokrasia na uhuru, bila kusahau sheria na kanuni za kishenzi za awamu ya 5.
3. Ajizuei kutumia lugha kali.
Najua Lissu ni bingwa wa kutibua nyongo za wapinzani wake, namshauri sasa kwakua anawania ofisi ya juu kabisa hapa nchini basi ajitahidi kuongea kama rais mtarajiwa. Lugha za kejeli na kukashifu hazifai kutolewa na kiongozi mkuu wa nchi.
Ni hayo tu machache, natumaini ujumbe umefika.
Sina chuki na Lissu, na nimefurahia kurejea kwake. Lakini sote tunazijua siasa za Lissu, ndio maana tunashauri. Ushauri sio hukumu ya mahakama kwamba lazima ufuatwe.mwarobaini_,
Mleta mada Mbona hujielewi. Lissu jana kaongelea matatizo ya wakulima ya kuachwa wazalishwe kwa shida alafu wanapangiwa bei na mahali pa kuuza, hukusikia? Na alisema akiwa yeye raisi hilo halitakuwepo?
Lissu jana kaongelea maslahi duni ya watumishi wa afya na akasema akiingia madarakani ataboresha maslahi ya watumishi wa afya. Sio tu kujenga majengo na kununua vifaa. Hukusikia?
Lissu jana kasema ataboresha mahusiano ya kimataifa akiingia madarakani. Au haukusikia? Aliponda Sera za magufuli za kuwadhihaki marafiki zetu wa kweli na watu wanaotusaidia kweli. Wewe hukusikia hilo?
Kama una chuki na Lissu kanywe tu maji ila Lissu anapiga kunako!!! Jiandaeni tu!
Hapo ni kutest mitambo tu bado kunza production,mpaka kale kabetri kazimike kabisaUnapotoa mada lazima uanze na utangulizi ili upate mtiririko mzuri wa hoja. Huu ulikua utangulizi wa Lissu hoja zinakuja.
CCM wanataka kumpangia Lissu cha kusema.Hapo ni kutest mitambo tu bado kanza production,mpaka kale kabetri kazimike kabisa
Sina chuki na Lissu, na nimefurahia kurejea kwake. Lakini sote tunazijua siasa za Lissu, ndio maana tunashauri. Ushauri sio hukumu ya mahakama kwamba lazima ufuatwe.
Namba 1 na 2 ndicho hasa Magu anastahili kufanyiwa. HasaHasa Ndicho kinachomstahili.Ni wazi kuwa Lissu amekuwa mwanaharakati wa kutetea haki za wananchi kwa miaka mingi, pia ni wazi kuwa kwa sasa yeye ndiye mwanasiasa pekee wa upinzani mwenye uwezo wa kumtikisa Magufuli.
Lakini kuna mambo machache ningependa kumshauri ayazingatie atakavyoendelea na kampeni zake kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
1. Aache kumshambulia Magufuli binafsi
Naamini kuna watu wengi tu wamemshauri juu ya hili, ni muhimu sana kulizingatia hili. Ni vema kuielekezea mashambulizi serikali kwa ujumla na chama cha CCM badala ya kumshambulia Magufuli.
Hata Magufuli akitaka kurusha vijembe upande wa pili mara nyingi hua hataji majina ya watu. Anaepusha mgongano wa hoja kugeuka kuwa ugomvi binafsi.
2. Ajikite kwenye matatizo yanayowagusa wananchi wengi
Japo kiubinadamu ni ngumu sana kufanya hili ukizingatia yeye binafsi alivyoteswa na kulengwa moja kwa moja na utawala huu lakini ajitahidi kuachana na 'personal vendetta' dhidi ya serikali akiwa jukwaani.
Watu hawakuchagui ili ukatimize hasira zako bali ili ukatatue changamoto zao. Kuna mengi ya kuongelea kila sehemu, watumishi, wakulima, wafanya biashara, wahitimu wa vyuo n.k
Lakini pia kuna ukatili wa polisi na kuminywa kwa demokrasia na uhuru, bila kusahau sheria na kanuni za kishenzi za awamu ya 5.
3. Ajizuei kutumia lugha kali
Najua Lissu ni bingwa wa kutibua nyongo za wapinzani wake, namshauri sasa kwakua anawania ofisi ya juu kabisa hapa nchini basi ajitahidi kuongea kama rais mtarajiwa. Lugha za kejeli na kukashifu hazifai kutolewa na kiongozi mkuu wa nchi.
Ni hayo tu machache, natumaini ujumbe umefika.
Ni wazi kuwa Lissu amekuwa mwanaharakati wa kutetea haki za wananchi kwa miaka mingi, pia ni wazi kuwa kwa sasa yeye ndiye mwanasiasa pekee wa upinzani mwenye uwezo wa kumtikisa Magufuli.
Lakini kuna mambo machache ningependa kumshauri ayazingatie atakavyoendelea na kampeni zake kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
1. Aache kumshambulia Magufuli binafsi
Naamini kuna watu wengi tu wamemshauri juu ya hili, ni muhimu sana kulizingatia hili. Ni vema kuielekezea mashambulizi serikali kwa ujumla na chama cha CCM badala ya kumshambulia Magufuli.
Hata Magufuli akitaka kurusha vijembe upande wa pili mara nyingi hua hataji majina ya watu. Anaepusha mgongano wa hoja kugeuka kuwa ugomvi binafsi.
2. Ajikite kwenye matatizo yanayowagusa wananchi wengi
Japo kiubinadamu ni ngumu sana kufanya hili ukizingatia yeye binafsi alivyoteswa na kulengwa moja kwa moja na utawala huu lakini ajitahidi kuachana na 'personal vendetta' dhidi ya serikali akiwa jukwaani.
Watu hawakuchagui ili ukatimize hasira zako bali ili ukatatue changamoto zao. Kuna mengi ya kuongelea kila sehemu, watumishi, wakulima, wafanya biashara, wahitimu wa vyuo n.k
Lakini pia kuna ukatili wa polisi na kuminywa kwa demokrasia na uhuru, bila kusahau sheria na kanuni za kishenzi za awamu ya 5.
3. Ajizuei kutumia lugha kali
Najua Lissu ni bingwa wa kutibua nyongo za wapinzani wake, namshauri sasa kwakua anawania ofisi ya juu kabisa hapa nchini basi ajitahidi kuongea kama rais mtarajiwa. Lugha za kejeli na kukashifu hazifai kutolewa na kiongozi mkuu wa nchi.
Ni hayo tu machache, natumaini ujumbe umefika.
ujinga haujaisha, tunataka kufuta ujinga wa namna yako kwanza,Hana uwezo wa kuliepuka hilo, na siku akiacha washabiki wake wataona anawasaliti,
Bila kumtaja magufuli hana kitu kingine anaweza kusema ambacho yeye atakuwa wa kwanza kukisema hapa duniani.
Anasema amgufuli anajenga bwawa na kwamba sio wa kwanza kujenga hilo bwawa, eti kuna mabwawa mengi yalijengwa, je yalimaliza matatizo?
Je yeye akiingia madarakani atatoa vitu vya kufanya hapa tanzania kutoka mbinguni ili vionekane tofauti na vilivyopo?
Ni kipi yeye atafanya ambacho hakipo tanzania au hapa duniani?
Je atajenga hospitali angani au?
Je atanunua ndege za kkukimbia ardhini bila kuruka?
Je yeye atafanya nni ambacho hakijafanyika hapa tanzania?
AU atahalalisha ushoga kwenye katiba?
Akumbuke kwamba hayo mabwawa yalijengwa na chama cha mapinduzi na magufuli anaendeleza kwa hali ya sasa na ijayo kulingana na mahitaji ya watu hivyo basi hakuna haja ya kuweka chama kingine kwa kuwa hakina jipya kitakacholeta kwenye ardhi hii hata wapate uongozi wataendeleza vilivyoanzishwa na CCM.
Hapa ni ushauli tu kama anataka vitu vipya basi akasome hapa
1, reli ya ndni ya maji
2 jutengeneza submarine ,
3 kutengenez hizo ndege tanzania
4, viwanda vikubwa vya magari
5, tecknorojia ya anga
6,mabarabara ndani ya maji.
7, nk
Hapo atweza kuonyesha utofauti na chma caha CCM.