Ushauri namna ya kufanya Service BMW X3

Upo sahihi mkuu.
 
Kuna sensor ya kuregulate thermostat ilikufa.

Unadhani nini kilitokea?
 
Huyo jamaa anachukua gari anajifungia nalo wewe u akaa nje ya geti badae anakuletea mkeka unafika 4M.

Nilimwambia ukitaka kufungua gari yangu lazima niwepo. Wewe sio Mungu nikuachie uchezee kienyeji, akagoma nikaondoka na gari yangu.

Kuna fundi jirani yangu nikitaka kubadili oil nanunua yeye anakuja na vifaa kubadili nampa labor charges tu.
 
Last time nimenunua engine oil ya Atlantic 5L kwa 75k (5w40)
 
Jerry spare
 
Wakiona namba E wanajua hujui..wanakuweka ofisini full a.c, wanaingiza ndani wanazuga zuga wanakuja na invoice ya laki Tano, just for oil change, imagine jamaa gari inayochujua 6.5L wanamuambia ni 8L, kwahiyo zikiingia gari 4 tayari anakua amepata dumu la oil la 6L la Bure .Kuna jamaa mwingine wa Subaru 0-60, naye anahuo mchezo wa bei za ajabu ajabu
 
Kuna sensor zinazo-regulate movement of some parts au mfumo.

Ikiharibika hiyo sensor mfumo mzima unachanganyikiwa au kufa.

So, sometimes sensor zinaharibika.
Sure...zinaharibika pia huwa zinaungua, zina mulfunction n.k mfano oxygen sensors etc.
 
Mwaka wa 40 naendesha gari, sijawahi kagua gari ati kama oil inatosha! Kikubwa dashboard tu. Mwenzetu yupo too theoretical.
 
πŸ˜„πŸ˜„ Wenyewe wanamwambia ndio mambo ya Germany Engineering hayo πŸ˜„

Hiko ni kitu cha kujisifia?

Ukiulizwa sababu ya kuzidisha ni zipi?
Huwa namwaga oil baada ya km 3000 Ila hata kama napitiliza Hadi km 4000 haina shida Sana kwasababu oil bado inakuwa iko vizuri Tu.. kumbuka kuna watu wanaenda Hadi km 7000 Ila Mimi ambaye nimepata elimu kupitia hapa JF naishia km 4000 na hiyo ni TOTAL OIL 5W - 40 full authentic
 
Jamaa wanapigwa sana kwa sababu ya branding kwenye kopo/packaging
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…