Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

🀣🀣🀣Nimecheka balaa
 
Ulikuwa unampa hela huyo, hawezi kukuacha🀣🀣
Dada kung'uta vumbi la makalio sepa, utapata mwingine, Ila ukipata mwingine kanuni ni Ile Ile USIMPE MWANAUME HELA!, hata Kama unajua Hana hela we muombe hela, kwanza mwanaume ukimsaidia unampunguza nguvu za kiume!

Na hao ndugu zake wanavizia hela zako tu, pole
 
Uyo alichepuka TU,
ila bado jamaa anakupenda sana.

Sema Hapo ndo unaonekana ule umuhimu wa kutokukiri kosa la kuchepuka hata ukutwe mapajani mwa mwanamke,

Ona Sasa,
Jamaa yako kakiri kosa la kukucheat, na hiki ndicho Kinachokuumiza Sana moyoni.

Laiti asingekiri, msingefika kote huko.

Jamaa yako Ni mjinga sana,
kayavuruga mahusiano yake kizembe sana
 
Good kuachana siyo uadui
 
Mimi naheshimika sana kuliko unavodhani kinachompa mtu heshima sio ndoa pekee ni the way anavoishi na watu na anavojiweka wew sema tu Sophy nimekuelewa sio masuala ya heshima [emoji23][emoji23][emoji23]
Akuelewe Mara ngapi,
Kila siku mwenzio anakulilia humu[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…