Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

🤣
 
Tafuta wa kwako na wewe uolewe na umueleze hutaki usumbufu ila tatizo kila akikuseach anaona bado upo single lazima akusumbue
 
Nampenda sana huyu mwanamke sema yeye ndio hataki kabisa kusikia kuhusu uoendo wangu. Kumbe kuna jamaa amekaa moyoni mwake
Tatizo hauko focused,
Masihara mengi, Anakuona hauko serious,
Malalamiko Ni Unatongoza wengi humu jf[emoji4]
 
Dear, nilichojifunza mahusiano ya mbali kudumu ni kwa % chache sana. Uzuri alikuambia mapema hivyo endelea na maisha mengne. Pole.
Iyo ndo shida namba moja naiona sidhani km tungekuwa karibu tungefikia hiv pia mm mwajiriwa kurudi huko ni. Changamoto lkn ndo maisha
 
Dear, nilichojifunza mahusiano ya mbali kudumu ni kwa % chache sana. Uzuri alikuambia mapema hivyo endelea na maisha mengne. Pole.
Usimiatishe tamaa,
Kama Yuko serious Aangalie upendo,
jamaa yake kachepuka TU bahat mbaya,
Na jamaa alivofala kakiri, ndo kaharibu kabisa
 
Pole sana najua how hard it is lakini unatakiwa kukaza moyo na kujikatalia look here huyu anakutafta ili kuondoa hatia moyoni hes feeling guulty nafsi inamsuta so anahitaji kuwa close na wewe as in kujipa tulio moyoni na kujifariji naomba usimpe hyo nafasi kwani line ya simu mpya sh ngapi? Badili line achana na hao ndg zake kwa kifupi jitoe fully otherwise u will neeeeeva move on kwanza unamjibu wa nini ss? Uyu anakuchezea na siku akioa utalia ukiendelea kumuendekeza em itiishe nafsi yako ikutii jiambie kwa nguvu kwamba nimekubali kwenda mbele usimuulizie usimchunguze usimuongelee na mtu anarhusiana nae yeyote mtoe kwenye maisha yako jipende focus kwenye kazi ukikaa kumbuka mabaya yake tu eventualy utamove on na siku utakumbuka ulivoumia utajizaba mibao kwa ujinga pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…