Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Haya mnayataka wenyewe, mwanamke inapaswa umzidi kila kitu..Alikuwa na issue zake hela ilikuwa ina flow, kei unaili akipenda, huna uhuru nae anarudi mda anaotaka, nikasema isiwe tabu, nikapotea kimya kimya kuendelea kupambana, karibuni nakutana nae haniambii kitu.. anajilengesha tena wakati nilisha amua kufunga zipu na kuwa kama padriii tuu š¤£š¤£š¤£š¤£ ila ni mateso sana kuwa na mwanamke kakuzidi hela au u busy, utapiga tu nje utake usitake kwa stress utazopata ndani
Elimu
Pesa
Ujanja hata hekima.
Ukizidiwa chochote katika hayo wewe mateso ni kwenu