Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Sometimes letting go, is the best way to go !

Ex wako sio tu kukuachana Nawewe, bado Hana utayari wa KUOA hata huyo walorudiana naye.

Kilichotokea jamaa anaendelea kua karibu yako Ili aendelee kua na Free K ya pembeni.

Sasa uamuzi ni wako, kuendelea kua kipoozeo? Au lah.

Kuendelea kujizibia nafasi Kwa mtu Fulani anayekuhitaji , au kuruhusu Maisha mapya!
Umemaliza kabisa
 
Nilikuwa kwenye serious relationship miaka 3 hivi na tulipanga tufunge ndoa mwaka huu baada ya kuwa mbali akaamua kurudiana na ex wake na mwisho akakubali kuwa kweli wamerudiana na kizuri zaidi alisema sijawahi mkwaza na hakuwa na sabbu ya msingi ya kunifanyia hivyo nikaona Riziki tu kumbe Ilikuwa imeisha maisha yaendelee.

Ila nilikuwa nawapenda sana yeye familia yake na hata mtoto wake na nilikuwa nawaona kama ndugu zangu kabisa lakini baada ya hayo sitaki mazoea nae kabisa niishi maisha yangu.

Shida ni kuwa analazimisha tuwe karibu na mm nilishakataa nishamblock mara kadhaa lakini atatafuta namba anipigie mara anitext nikaona nimuunblock tu

Ndugu zake Bado wananitafuta mara hivi mara hivi, naona wananirudisha nyuma Kila wakati. Mnipe mbinu mpya sitaki kusikia habari zao kabisa.
Pole sana, nahisi sasa ni muda sahihi Wa kumove on , Kama huto jali nipatie namba yako tuyajenge .
 
Kuhusu pesa nilimzidi kiasi mm nimekuwa na biasharayangu tangu nikiwa na miaka 22 lkn sikuwahi kumpa pesa lkn ushauri ni kitu kikubwa nilivokuwa nimewekeza kwake nilikuwa Nampa ushauri vitu vya maana na vingi vinenyooka ila x wake alikuwa anatoa pesa kias had Sasa zinafika milion nakitu alisema mwenyew bhana kachagua Hela Hela 😂😂😂
Pia kifamilia ni upendo tu Ile

kuwakimbilia wakat wa huzuni na furaha pesa hmna na nilishasema simpi Hela mwanaume mwenyew nazitafuta Kwa shida sana
Kumbe mkono wa birika halafu unataka uolewe 😂😂😂 endelea kuswampa tu! Sikuhizi watu wanaangalia na investment zimekaaje sawa tu na nyie mnavyolengaga.
 
Mimi naheshimika sana kuliko unavodhani kinachompa mtu heshima sio ndoa pekee ni the way anavoishi na watu na anavojiweka wew sema tu Sophy nimekuelewa sio masuala ya heshima 😂😂😂
Sophy nimekuelewa
 
Kumbe mkono wa birika halafu unataka uolewe 😂😂😂 endelea kuswampa tu! Sikuhizi watu wanaangalia na investment zimekaaje sawa tu na nyie mnavyolengaga.
Wee hawa ikija suala la ndalama sahau wao kukupatia. Wanachuku tuu
 
Back
Top Bottom