Ushauri: Nataka kuacha kula wanga kwa mwaka mzima

Ushauri: Nataka kuacha kula wanga kwa mwaka mzima

So bro umeacha kula wanga ili uburn calories? Hufanyi hata zoezi la kupanda ngazi na utachoma calories?
Mazo3zi ni muhimu sana ila kwa wavivu wenye vitambi itawasaidia sana kupunguza uzito kwanaza
 
Kuna magonjwa ya ajabu sasa hivi jaribu kuulizia operation ya mishipa iliyoziba ni kiasi gani kwa specialist,

hii yote ni wanga unachangia sana ... asubhi mchana na jioni ni wanga tu , ni watu wachache sana wanaofanya kazi za kutumia nguvu hata wakaitaji vyakula vingi vya wanga,

Life style imebadilika ,lakini ulaji wetu ni uleule kama mtu anaenda kulima mashamba ekari kadhaa.. kumbe upo ofcn unapigwa kiyoyozi
 
Mie siunaonaga sahani yangu haikosi ugali/wali/ndizi/chapoo na ndugu zao wengine. Nnachozingatia ni kiwango tu...ambapo hainipi shida kwavile mwili ushazoea.

Ngoja na mimi ntajaribu kuondoa wanga kwenye diet yangu mwezi ujao. Ntafanya for about a week nione itakuwaje....
unachokitafuta utakipata, Pakua yenyewe ndio vile unavyopakuaga

na bado unataka ondoa wanga,endelea tu ila utakipata unachokihamu nacho
 
Been to this mpaka wife ananisema sana. Mimi naweza kula asubuhi saa 2 nikala tena saa 2 usiku. Wife akijua sijala mchana anawaka balaa though. Thanks sana mdau.
Mimi hula asubuhi (kifungua kinywa cha kawaida tu) na mchana. Jioni/Usiku nakula tunda/matunda
 
  • Thanks
Reactions: len
"Unaambiwa " na nani?? Sukari ya kiwandani ile ni charcoal yani ule ni mkaa

Hauwezi fananisha ile na sukari inaypoatikana kwenye tunda , au unga wa mahindi baada ya wewe kula ugali
Kwahiyo umehitimishaje hapo mkuu au point ni ipi? Maana nilichokuwa nasema mimi ni kwamba mwili hauwezi kubainisha ya kwamba hii ni sukari ya asili(matunda,asali n.k) na hii ni sukari ya kiwandani.
 
Kwahiyo umehitimishaje hapo mkuu au point ni ipi? Maana nilichokuwa nasema mimi ni kwamba mwili hauwezi kubainisha ya kwamba hii ni sukari ya asili(matunda,asali n.k) na hii ni sukari ya kiwandani.
Uko sawa...sukari ni sukari. Na mechanism ya digestion yake ni ile ile...iwe ya kiwandani au ya tunda sukari ni sukari na effect yake kwenye mwili ni the same.
 
Kuna watu asali haisagiki kama maziwa inakuwa kwao sumu, ila sukari ya miwa hasa nyeupe karibu Kila mtu inamkubali, soda pia siyo mbaya kama kwa siku unatumia kiwango kinachotakiwa mfano unaambiwa vijiko viwili vya chai kwa sukari ndo kiwango maalumu Sasa unajipima kwenye soda na chai umetumia kiasi gani kwa siku na kuhusu matunda yenye sukari Wala hayana shida kama huna kisukari maana sukari yake inatumika kwenye utumbo zaidi.
Kwani soda inaweza ikawa na kiwango gani cha sukari na kwa siku tunashauriwa tutumie sukari kwa kiwango gani?
 
Ni kweli kabisa, tuachane na apple za South Africa, hata kama zinaonekana kama zinapendeza hivi lakini sio nzuri. Tuleni hizi za kutoka Lushoto
Kwanini mkuu hayo ya kutoka lushoto hayana sana sukari kama apples zengine au?
 
Mimi nilikua regular wa gym kwa miaka mnne na sijawahi kutana na mtu anayefanya mazoezi na akashindwa kupungua.

Chief, kama huyo mtu yupo basi hafanyi mazoezi inavyotakiwa.
Kwahiyo mkuu unaniambia unaweza ukala chochote bila kujali ila mazoezi tu pekee yakaweza kuondoa kitambi na kupunguza mwili kwa yeyote yule?
 
This is a very good thing. Ni a sort of keto diet. Kweli inasaidia sana kupunguza mwili plus kucontrol blood glucose ambayo inaletanga makisukari. Sio ngumu na sio rahisi pia. Mwili wa binadamu hua una adjust with time. Hapo chakula chako kikuu inabd iwe protein, fats na veggies. So hapo n mwendo wa nyama zote pkus samaki, maziwa, mboga mboga, matunda especially avocado na tango (yale yenye sukari ni kujidanganya.). Ukifanikiwa in one year the results unaeza jikuta unaandika kitabu, na hizi mbususu utapiga sana maana watakua wanakuona kijana tu.
But also kama unaona ni ngumu kuachana na wanga unaeza fanya kitu kinaitwa intermittent fasting, hyo inasaidia zaidi na haina restriction kiviile. With time mwili unazoea
Yale yale nisemayo...utafanya yote mwesho wa siku bottom line ni mbususu tuu
 
U
Kwahiyo mkuu unaniambia unaweza ukala chochote bila kujali ila mazoezi tu pekee yakaweza kuondoa kitambi na kupunguza mwili kwa yeyote yule?
Hicho kitu hakipo...ila vice versa i awezekana....meaning kupungua bila mazoezi
 
Mawatu yanjitesa hadi naamua kuyashangaa tu badala ya kuyaonea huruma [emoji28]

Ama kweli akili nyingi huondoa maarifa [emoji38]
Sasa haya maradhi yanayotusumbua kwenye jamii kwa sababu ya ulaji mkubwa wa vyakula vya wanga we hauoni kuwa ni mateso zaidi?
 
Soda, nyama nyekundu, nyama za kwenye makopo/beef sausage,kuku wa kizungu na mayai ya kizungu, sembe, ngano iliyokobolewa, maziwa ya ng'ombe wa kisasa, chipsi mayai feki, piza, baga, chai ya rangi ni hasara na ujinga mtupu wa Mtu kujitakia [emoji6]

Na bado tutaheshimiana tu, kama akili tumejaliwa afu hatuzitumii zaidi ya kujidai tuna uzungu mwiiingi kumbe ni pumba tupu [emoji4]
Hivi ubaya wa nyama nyekundu ni nini mkuu?
 
Kwahiyo mkuu unaniambia unaweza ukala chochote bila kujali ila mazoezi tu pekee yakaweza kuondoa kitambi na kupunguza mwili kwa yeyote yule?
Swali lako jibu lake lina maelezo ila jibu fupi ni ndiyo
 
Mchana ukiwa kazini unewezaje kupata parachichi, mchemsho wa mboga mboga unavichemshia wapi?

Nataka nipungue kidogo, ila mazingira ya kazini najikuta ni wali na chips. Usiku nilikuwa nimeweza kula mboga mboga na matunda na maziwa ila nikaja pata dalili za amoeba, nikajua ni ma mboga.

Nimeacha kula usiku ila bado sijapungua. Mimi sio mnene nina mwili wa kawaida ila naona kama kuna ka kitambi kanakuja kwa mbali.

Kuna rafiki yangu mchana ugali anaokula mkubwa nusu sahani jion bonge la sahani ya wali, cha ajabu hana tumbo hata kidogo haya maisha.

Kufanya diet yataka moyo, najikalia zangu ndani najilia nyanya chungu parachichi na ka ugali kadogo mara shoga yangu anaingia na kitimoto, najisemea moyoni sili, mara naonja moja, mara mbili kweli yataka moyo.
Inawezekana ukala milo miwili tu kwa siku na ukawa mwenye kushiba na sio kujinyima kula kwa kushinda na njaa, huku kula mara tatu au zaidi hutokana na mazoea pamoja na vyakula vya wanga hufanya kusikia njaa baada muda mfupi.
 
Swali lako jibu lake lina maelezo ila jibu fupi ni ndiyo
Kvp mkuu maana nijuavyo mimi kitambi au unene hutokana na vyakula sasa inakuaje ufanye mazoezi kisha ukirudi kutoka kufanya mazoezi uendelee tena kula chakula kilekile chenye kukusababishia kitambi na uzito kisha ukataraji kupata mafanikio kwenye hayo mazoezi?
 
Yale yale nisemayo...utafanya yote mwesho wa siku bottom line ni mbususu tuu
🤣🤣🤣 mkuu nin teeena? Kwenye maisha sio dhambi kujipongeza kila baada ya hatua flani. Kupata mbususu sio lazima, lakini mwili uliojengeka vzuri unakuweka katika advantage.
Hata binadamu ni wanyama pia, na katika animal kingdom females wanakua tayari kuti*wa na wale males ambao wanaonekana strong because wanaamini wataeza kupata vizazi ambavyo vina nguvu zaidi n.k.
Therefore, wewe hapo na likitambi lako plus mwili uliokaa kama bagia haimaanishi utakosa mbususu, utapata lakini nguvu utakayotumia ni kubwa na pia kiwango chako cha uchakataji lazima kiwe duni, pia hata huyo mams atakua hana uhuru na wewe especially mbele za watu because una umbo kama papai.
With a good body, hutumii nguvu nyingi na pia women wanaaminj huez kua na shoo mbovu maana uko mkakamavu.
So, choice ni yako
 
No parachichi ni nzuri sana kwa mtu anaefanya diet. Good source of protein and also fiber.
Asubuhi huwa nakula nusu parachichi + mayai mawili ya kukaanga, bacon na slice moja ya brown bread nashushia na glass moja ya maziwa fresh.
Hapo nashinda siku nzima sijala kitu.
Nakunywa maji tu kwa wingi. Nimefanikiwa kupungua zaidi ya kilo ishirini + kitambi kimepotea kabis
No parachichi ni nzuri sana kwa mtu anaefanya diet. Good source of protein and also fiber.
Asubuhi huwa nakula nusu parachichi + mayai mawili ya kukaanga, bacon na slice moja ya brown bread nashushia na glass moja ya maziwa fresh.
Hapo nashinda siku nzima sijala kitu.
Nakunywa maji tu kwa wingi. Nimefanikiwa kupungua zaidi ya kilo ishirini + kitambi kimepotea kabisa
Asante boss,bacon ni Nini?
 
Back
Top Bottom