Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Mi naona kitambi mtu unaumbiwa maana wengine kila mchanganyiko wanakula plus pombe hila hawana vitambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chief kuna mazoezi halafu kuna mazoezi extreme. Kama unafanya extreme chakula chochote unachokula kitatumika katika kukupa nguvu.Kvp mkuu maana nijuavyo mimi kitambi au unene hutokana na vyakula sasa inakuaje ufanye mazoezi kisha ukirudi kutoka kufanya mazoezi uendelee tena kula chakula kilekile chenye kukusababishia kitambi na uzito kisha ukataraji kupata mafanikio kwenye hayo mazoezi?
Achana na mahindi mkuu, si unaona jinsi akili za watanzania zimekaa upande upande?
😅Maziwa sasa nikahisi kama nakaribia kuanza kunyonya soon
Uko sawa. Then hapo shida sio kushindilia ugali, shida ni jamii kutopata elimu kuhusu suala la ku incorporate aina zingine za chakula kwenye main dish a.k.a ugali. Hilo likifanyika i think watu watafunguka akili maana watanzania wengi wanahusudu mboga zaidi so n kama wanajibania.
I wil give you an example, watu wanaoishi maeneo ya ziwani, chakula chao kikuu ni ugali lakini huez kukuta wana utapiamlo kwa sababu wanapata samaki wengi hivyo chakula chao kinakua na protein ya kutosha
Achana nao wapuuzi tu hao.
Wazee wwtu zamani walikula sana wanga hawakuwa na maobesity na visukari vilikuwa vichche.
Wazee wetu zamani walikunywa sana miti shamba na wala figo hazikupata shida ndio maana waliishi miaka mingi sana.
Kweli lakini its all about portions. Maana kama mtu anakula ugali pekee then hapati nutrients. Sahani inatakiwa iwe na virutubisho vyote muhimuUgali hasa wa sembe ni tatizo kubwa, una virutubisho vichache na ni chanzo cha kiribatumbo na vitambi kwa watu wengi, watu wanatakiwa wale mahindi ya kuchemsha au kuchoma.
Haya mambo ya unene na ulaji naonaga labda tu ni asili ya mtu si wengine tunabugia kila kitu na bado hatuwi mabonge.
Hajui mwili wa mwanadamu unavyofanya kaziKuna jamaa anasema huwezi kupungua bila mazoezi au kufanyiwa operation.
Asante sana...bottom line pale pale...mbususu.🤣🤣🤣 mkuu nin teeena? Kwenye maisha sio dhambi kujipongeza kila baada ya hatua flani. Kupata mbususu sio lazima, lakini mwili uliojengeka vzuri unakuweka katika advantage.
Hata binadamu ni wanyama pia, na katika animal kingdom females wanakua tayari kuti*wa na wale males ambao wanaonekana strong because wanaamini wataeza kupata vizazi ambavyo vina nguvu zaidi n.k.
Therefore, wewe hapo na likitambi lako plus mwili uliokaa kama bagia haimaanishi utakosa mbususu, utapata lakini nguvu utakayotumia ni kubwa na pia kiwango chako cha uchakataji lazima kiwe duni, pia hata huyo mams atakua hana uhuru na wewe especially mbele za watu because una umbo kama papai.
With a good body, hutumii nguvu nyingi na pia women wanaaminj huez kua na shoo mbovu maana uko mkakamavu.
So, choice ni yako
Daaah!!! Mbususu ni kama kachumbari kwenye pilau. Haimaanishi bila kachumbari pilau hailikiAsante sana...bottom line pale pale...mbususu.
Kwahiyo itabidi uwe mtu wa kufanya mazoezi extreme muda wote ili kuzuia hiyo hali ya kunenepa kutokana na chakula?Chief kuna mazoezi halafu kuna mazoezi extreme. Kama unafanya extreme chakula chochote unachokula kitatumika katika kukupa nguvu.
Na ilivyo ni kwamba kuacha kula ili upungue haiwezekani unless umelenga kujipa bulimiaKwahiyo itabidi uwe mtu wa kufanya mazoezi extreme muda wote ili kuzuia hiyo hali ya kunenepa kutokana na chakula?
Sasa wewe unajutafutia maradhi ambayo hukuwanayo yakiwemo vidonda vya Tumbo jiulize tangu udogowako Mama alikuwa anakupa chakula gani hadi sasa hivi unajifanya hupendi vyakula vya wanga? Angalia isiige MaishaHabari wana jamvi.
Kijana wenu nikiwa na umri wangu wa miaka 33 kamili, nimedhamiria kwa hiyari yangu mwenyewe, bila kushurutishwa wala kushawishiwa na mtu yeyote; kuacha kula kabisa vyakula vyenge wanga. Vyakula vyenye wanga kwa wingi ni kama mahindi, mpunga, mihogo, viazi, magimbi, ngano, mtama n.k
Inaaminika kisayansi vyakula hivi vikitumika kwa wingi vinasababisha sana kitambi na unene, kisukari na magonjwa ya moyo.
Juzi Jumatatu, 21.03.22 nikaanza movement yangu bila kuwa na mpango maalum. Asubuhi sikujua ntakula nini...mpaka imefika saa 5 sijala kitu. Sehemu za kula zote zina vitafunwa tulivyovizoea maandazi, chapati, vitumbua, mikate, viazi, mihogo and the likes. Ikafika saa 7 njaa inauma vibaya sana mpaka nikahisi kutetemeka mwili.
Nikajisemea cha kufia nini? Nikala zangu dona safi, nyama, maharage na spinach. Baadae nikawa nakunywa tu maji.
Sasa najiona kabisa sina plan na sielewi hii game inachezwaje. Najua humu kuna wazoefu wa haya mambo. Naomba mnisaidie wenzangu msiokula wanga ama heavy meals mnafanyaje?
Mnakula nini hasa? Na mliishindaje njaa hizi siku za mwanzo mpaka tumbo lizoee? Maana ile juzi nilihisi mpaka kizungu zungu.
Mimi napenda sana nyama iwe ya kuku, ng'ombe, mbuzi, kuku n.k. Ndio udhaifu wangu mkubwa.
Nipeni ushauri wadau. Hili ndio lengo la uzi.
Asanteni.
NB: sina ugonjwa wowote unaonizuia kula chochote.
Sio kuacha kula bali kuacha baadhi vyakula.Na ilivyo ni kwamba kuacha kula ili upungue haiwezekani unless umelenga kujipa bulimia
Haya sawaSio kuacha kula bali kuacha baadhi vyakula.
Fanya intermittent fasting na mazoezi kidogo itakusaidia.Mimi nataka niwe fit tu na kupunguza mwili wangu. Maana najiona nanenepa kila uchwao.
Mkuu hiyo njia yako ya kula inaweza kukata kitambi?Pia to add on that, epuka kabisa sugars and processed foods. Hasa hasa soda. Pia product za ngano digestion yake hua inachukua muda so sio nzuri. Pendelea kukula vyakula vya asili kama ugali n.k.. Uandaaji pia ni suala lingine, the food should be nutritious zaidi kuliko ya kujaza tumbo tu