Ushauri: Nataka kuacha kula wanga kwa mwaka mzima

So bro umeacha kula wanga ili uburn calories? Hufanyi hata zoezi la kupanda ngazi na utachoma calories?
Mazo3zi ni muhimu sana ila kwa wavivu wenye vitambi itawasaidia sana kupunguza uzito kwanaza
 
Kuna magonjwa ya ajabu sasa hivi jaribu kuulizia operation ya mishipa iliyoziba ni kiasi gani kwa specialist,

hii yote ni wanga unachangia sana ... asubhi mchana na jioni ni wanga tu , ni watu wachache sana wanaofanya kazi za kutumia nguvu hata wakaitaji vyakula vingi vya wanga,

Life style imebadilika ,lakini ulaji wetu ni uleule kama mtu anaenda kulima mashamba ekari kadhaa.. kumbe upo ofcn unapigwa kiyoyozi
 
unachokitafuta utakipata, Pakua yenyewe ndio vile unavyopakuaga

na bado unataka ondoa wanga,endelea tu ila utakipata unachokihamu nacho
 
Been to this mpaka wife ananisema sana. Mimi naweza kula asubuhi saa 2 nikala tena saa 2 usiku. Wife akijua sijala mchana anawaka balaa though. Thanks sana mdau.
Mimi hula asubuhi (kifungua kinywa cha kawaida tu) na mchana. Jioni/Usiku nakula tunda/matunda
 
Reactions: len
"Unaambiwa " na nani?? Sukari ya kiwandani ile ni charcoal yani ule ni mkaa

Hauwezi fananisha ile na sukari inaypoatikana kwenye tunda , au unga wa mahindi baada ya wewe kula ugali
Kwahiyo umehitimishaje hapo mkuu au point ni ipi? Maana nilichokuwa nasema mimi ni kwamba mwili hauwezi kubainisha ya kwamba hii ni sukari ya asili(matunda,asali n.k) na hii ni sukari ya kiwandani.
 
Kwahiyo umehitimishaje hapo mkuu au point ni ipi? Maana nilichokuwa nasema mimi ni kwamba mwili hauwezi kubainisha ya kwamba hii ni sukari ya asili(matunda,asali n.k) na hii ni sukari ya kiwandani.
Uko sawa...sukari ni sukari. Na mechanism ya digestion yake ni ile ile...iwe ya kiwandani au ya tunda sukari ni sukari na effect yake kwenye mwili ni the same.
 
Kwani soda inaweza ikawa na kiwango gani cha sukari na kwa siku tunashauriwa tutumie sukari kwa kiwango gani?
 
Ni kweli kabisa, tuachane na apple za South Africa, hata kama zinaonekana kama zinapendeza hivi lakini sio nzuri. Tuleni hizi za kutoka Lushoto
Kwanini mkuu hayo ya kutoka lushoto hayana sana sukari kama apples zengine au?
 
Mimi nilikua regular wa gym kwa miaka mnne na sijawahi kutana na mtu anayefanya mazoezi na akashindwa kupungua.

Chief, kama huyo mtu yupo basi hafanyi mazoezi inavyotakiwa.
Kwahiyo mkuu unaniambia unaweza ukala chochote bila kujali ila mazoezi tu pekee yakaweza kuondoa kitambi na kupunguza mwili kwa yeyote yule?
 
Yale yale nisemayo...utafanya yote mwesho wa siku bottom line ni mbususu tuu
 
U
Kwahiyo mkuu unaniambia unaweza ukala chochote bila kujali ila mazoezi tu pekee yakaweza kuondoa kitambi na kupunguza mwili kwa yeyote yule?
Hicho kitu hakipo...ila vice versa i awezekana....meaning kupungua bila mazoezi
 
Mawatu yanjitesa hadi naamua kuyashangaa tu badala ya kuyaonea huruma [emoji28]

Ama kweli akili nyingi huondoa maarifa [emoji38]
Sasa haya maradhi yanayotusumbua kwenye jamii kwa sababu ya ulaji mkubwa wa vyakula vya wanga we hauoni kuwa ni mateso zaidi?
 
Hivi ubaya wa nyama nyekundu ni nini mkuu?
 
Kwahiyo mkuu unaniambia unaweza ukala chochote bila kujali ila mazoezi tu pekee yakaweza kuondoa kitambi na kupunguza mwili kwa yeyote yule?
Swali lako jibu lake lina maelezo ila jibu fupi ni ndiyo
 
Inawezekana ukala milo miwili tu kwa siku na ukawa mwenye kushiba na sio kujinyima kula kwa kushinda na njaa, huku kula mara tatu au zaidi hutokana na mazoea pamoja na vyakula vya wanga hufanya kusikia njaa baada muda mfupi.
 
Swali lako jibu lake lina maelezo ila jibu fupi ni ndiyo
Kvp mkuu maana nijuavyo mimi kitambi au unene hutokana na vyakula sasa inakuaje ufanye mazoezi kisha ukirudi kutoka kufanya mazoezi uendelee tena kula chakula kilekile chenye kukusababishia kitambi na uzito kisha ukataraji kupata mafanikio kwenye hayo mazoezi?
 
Yale yale nisemayo...utafanya yote mwesho wa siku bottom line ni mbususu tuu
🤣🤣🤣 mkuu nin teeena? Kwenye maisha sio dhambi kujipongeza kila baada ya hatua flani. Kupata mbususu sio lazima, lakini mwili uliojengeka vzuri unakuweka katika advantage.
Hata binadamu ni wanyama pia, na katika animal kingdom females wanakua tayari kuti*wa na wale males ambao wanaonekana strong because wanaamini wataeza kupata vizazi ambavyo vina nguvu zaidi n.k.
Therefore, wewe hapo na likitambi lako plus mwili uliokaa kama bagia haimaanishi utakosa mbususu, utapata lakini nguvu utakayotumia ni kubwa na pia kiwango chako cha uchakataji lazima kiwe duni, pia hata huyo mams atakua hana uhuru na wewe especially mbele za watu because una umbo kama papai.
With a good body, hutumii nguvu nyingi na pia women wanaaminj huez kua na shoo mbovu maana uko mkakamavu.
So, choice ni yako
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…