Ushauri: Nataka kuacha kula wanga kwa mwaka mzima

Chief kuna mazoezi halafu kuna mazoezi extreme. Kama unafanya extreme chakula chochote unachokula kitatumika katika kukupa nguvu.
 
Mi naona kitambi mtu unaumbiwa maana wengine kila mchanganyiko wanakula plus pombe hila hawana vitambi
 
Ungesema ugali, mahindi ya kuchemsha na ya kuchoma hayana shida. Tatizo ni ugali hasa wa sembe.
Achana na mahindi mkuu, si unaona jinsi akili za watanzania zimekaa upande upande?
 
Ugali hasa wa sembe ni tatizo kubwa, una virutubisho vichache na ni chanzo cha kiribatumbo na vitambi kwa watu wengi, watu wanatakiwa wale mahindi ya kuchemsha au kuchoma.
 
Wanga usio mzuri mwilini ni huu wanga mweupe wa kuchakata viwandani kama Sembe, ngano nyeupe,
Achana nao wapuuzi tu hao.

Wazee wwtu zamani walikula sana wanga hawakuwa na maobesity na visukari vilikuwa vichche.

Wazee wetu zamani walikunywa sana miti shamba na wala figo hazikupata shida ndio maana waliishi miaka mingi sana.
 
Ugali hasa wa sembe ni tatizo kubwa, una virutubisho vichache na ni chanzo cha kiribatumbo na vitambi kwa watu wengi, watu wanatakiwa wale mahindi ya kuchemsha au kuchoma.
Kweli lakini its all about portions. Maana kama mtu anakula ugali pekee then hapati nutrients. Sahani inatakiwa iwe na virutubisho vyote muhimu
 
Binadamu wengi wana asili ya unene, ni wachache ambao hawawi mabonge wakila sana.
Haya mambo ya unene na ulaji naonaga labda tu ni asili ya mtu si wengine tunabugia kila kitu na bado hatuwi mabonge.
 
Asante sana...bottom line pale pale...mbususu.
 
Chief kuna mazoezi halafu kuna mazoezi extreme. Kama unafanya extreme chakula chochote unachokula kitatumika katika kukupa nguvu.
Kwahiyo itabidi uwe mtu wa kufanya mazoezi extreme muda wote ili kuzuia hiyo hali ya kunenepa kutokana na chakula?
 
Kwahiyo itabidi uwe mtu wa kufanya mazoezi extreme muda wote ili kuzuia hiyo hali ya kunenepa kutokana na chakula?
Na ilivyo ni kwamba kuacha kula ili upungue haiwezekani unless umelenga kujipa bulimia
 
Sasa wewe unajutafutia maradhi ambayo hukuwanayo yakiwemo vidonda vya Tumbo jiulize tangu udogowako Mama alikuwa anakupa chakula gani hadi sasa hivi unajifanya hupendi vyakula vya wanga? Angalia isiige Maisha
 
Mimi nataka niwe fit tu na kupunguza mwili wangu. Maana najiona nanenepa kila uchwao.
Fanya intermittent fasting na mazoezi kidogo itakusaidia.
Mimi nimenenepa mpaka sijipendi ila nimepunguza kula hovyo nafanya na mazoezi kidogo lakini nimeanza kuona napungua taratibu.
Pia ukiweza unafunga na vimazoezi hata nyumbani asubuhi na jioni kwa nusu saa.
Ila sijui kama inaapply kwa kila mtu au inategemea na mtu.
Hiyo kuacha wanga ilinishinda Mana kipato changu hakinuruhusu zaidi nitakuwa nafanyia kazi tumbo.
 
Mkuu hiyo njia yako ya kula inaweza kukata kitambi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…