Ushauri: Nataka kuacha kula wanga kwa mwaka mzima

Ongeza na samaki wa kuchoma, nyama choma
 
Mkuu jaribu kula miwa ya kukaanga & maji ya kupondwapondwa kwenye kinu
 
Mawatu yanjitesa hadi naamua kuyashangaa tu badala ya kuyaonea huruma [emoji28]

Ama kweli akili nyingi huondoa maarifa [emoji38]
 
Kwani kitambi kinauma?kwa Nini mateso yote hayo?mbinguni hamna wanga utaukumbuka!
Kisukari ni kibaya sana...
Presha ya mishipa ni hatari sana...

Anyway mtu akishindwa kula vaykula bora vya mpangilio .. ajiunge na BIMA YA AFYA kujiandaa kadri mri unavyokwenda.
Kuokaoa ghrama wakti akipambana na maumivu ya matibabu
 
Kuna mtu namfahamu yeye kila siku jan to December anakula wali ,hana kitambi ana mwili mzuri tu.

Ndugu yangu jilie tu mbinguni hakuna hotel, kule ni kuimba mapambio tu.
 
Soda, nyama nyekundu, nyama za kwenye makopo/beef sausage,kuku wa kizungu na mayai ya kizungu, sembe, ngano iliyokobolewa, maziwa ya ng'ombe wa kisasa, chipsi mayai feki, piza, baga, chai ya rangi ni hasara na ujinga mtupu wa Mtu kujitakia [emoji6]

Na bado tutaheshimiana tu, kama akili tumejaliwa afu hatuzitumii zaidi ya kujidai tuna uzungu mwiiingi kumbe ni pumba tupu [emoji4]
 
Reactions: len
Bila shaka kwa ratiba hii huna kitambi. Mwenye vidonda vya tumbo hii ratiba haiwezi.

Miili ya watu inatofautiana sana. Kuna mtu anakula sana yaani huwezi kumkuta hali labda kama kalala, ila cga ajabu hana tumbo liko flat.
 
Welcome to the club mkuu..

Mie huu mwezi wa pili sasa... Naona naendelea vizuri tu. Huwa nabeba kila kitu asubuhi nahakikisha nina lunch na breakfast. Mie hupendelea zaidi karoti, matango, mayai ya kuchemsha, parachichi na white meat na wakati mwingine maharage kiasi etc. So ni rahisi tu wala huwezi pata njaa.
 
Yeah ni kweli inagharimu sio sawa na kula wanga
 
Maisha yetu ya kitanzania wanga ndio main dish kuanzia asubuhi mpaka jioni. Ukiacha wanga labda uwe unajipikia mwenyewe maana ni ngumu sana kupata chakula kisicho na wanga mtaani.
Ni kweli mkuu.. Na ajipange kubeba otherwise ni changamoto
 
Kula kinyume chake.
Badala ya kula wali na maharage kula maharage na wali.
 
Bila shaka kwa ratiba hii huna kitambi. Mwenye vidonda vya tumbo hii ratiba haiwezi.

Miili ya watu inatofautiana sana. Kuna mtu anakula sana yaani huwezi kumkuta hali labda kama kalala, ila cga ajabu hana tumbo liko flat.
Well ni kweli, kimeisha. Nilikua obese plus plus, but kimeisha. Sema shida ni kwamba kila nikijisahau kidogo (especially on vacations) kinarudi. Na ukigain weight unanotice kabisa mwili umekua mzembemzembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…