Ushauri: Nataka kuacha kula wanga kwa mwaka mzima

Ila tunaambiwa mwili haubagui kuwa hii ni sukari ya chai matunda soda wala asali.
 
Kuna mtu namfahamu yeye kila siku jan to December anakula wali ,hana kitambi ana mwili mzuri tu.

Ndugu yangu jilie tu mbinguni hakuna hotel, kule ni kuimba mapambio tu.
Ila wanga unaleta maradhi mengi sio unene tu.
 
Wapo mkuu wanalalamika hawapungui pamoja na kufanya sana mazoezi, kwani hujawahi kusikia kitu kama hicho?
Mimi nilikua regular wa gym kwa miaka mnne na sijawahi kutana na mtu anayefanya mazoezi na akashindwa kupungua.

Chief, kama huyo mtu yupo basi hafanyi mazoezi inavyotakiwa.
 
Wapo mkuu wanalalamika hawapungui pamoja na kufanya sana mazoezi, kwani hujawahi kusikia kitu kama hicho?
Mimi nilikua regular wa gym kwa miaka mnne na sijawahi kutana na mtu anayefanya mazoezi na akashindwa kupungua.

Chief, kama huyo mtu yupo basi hafanyi mazoezi inavyotakiwa.
 
Afya nzuri ya akili ya mtu na IQ hua inajengwa hasa na vyakula vinginevyo itokee tu mtu kazaliwa yuko timamu haswa. Ili mtoto awe timamu vizuri kuna vyakula anatakiwa asitumie mara nyingi kama mahindi ni hatari.
 
Achana nao wapuuzi tu hao.

Wazee wwtu zamani walikula sana wanga hawakuwa na maobesity na visukari vilikuwa vichche.

Wazee wetu zamani walikunywa sana miti shamba na wala figo hazikupata shida ndio maana waliishi miaka mingi sana.
Tatizo itakua ni GMO mkuu zamani mazao hayakuboreshwa mbegu zake.
 
Mkuu tumia hii 16:8 ni intermittent fasting

unakula kwa masaa 16 afu masaa nane unatumia vyakula vyepesi hasa mapapai, parachici, mananasi ukipenda supu, ukipenda chai.

Vyakula vya wanga ni vyakula vikuu, hujenga na kuupa mwili nguvu… haishauriwi kuacha kula kabisa ila ule kwa kiasi kidogo mfano

kwa sahani yako weka kiasi cha ugali, wali usawa wa ngumi yako (yaan kunja ngumi….. basi kiwango cha chakula kiwe cha saizi ya ngumi yako)
 
Good idea.
 
Ila tunaambiwa mwili haubagui kuwa hii ni sukari ya chai matunda soda wala asali.
Kuna watu asali haisagiki kama maziwa inakuwa kwao sumu, ila sukari ya miwa hasa nyeupe karibu Kila mtu inamkubali, soda pia siyo mbaya kama kwa siku unatumia kiwango kinachotakiwa mfano unaambiwa vijiko viwili vya chai kwa sukari ndo kiwango maalumu Sasa unajipima kwenye soda na chai umetumia kiasi gani kwa siku na kuhusu matunda yenye sukari Wala hayana shida kama huna kisukari maana sukari yake inatumika kwenye utumbo zaidi.
 
Ni kweli kabisa, tuachane na apple za South Africa, hata kama zinaonekana kama zinapendeza hivi lakini sio nzuri. Tuleni hizi za kutoka Lushoto
Huko Makete apples zinaoza na kutupwa tu msimu wake. Hazina soko
 
Kwahiyo wewe hufanyi mazoezi una deal na misosi tu?
Chakula 80% mazoezi 20%. Kuna mazoez ya kujenga mwili, mengine kupunguza mwili n.k. so kwa mfano kipindi najitahd ku cut weight, mostly nafanya cardio exercises, weight ikiwa stable nafanya normal exercises za kuniweka fit tu. Siendi hata gym, its jus in my home, pushups, sit ups, squats, dips, e.t.c.
 
Kisukari ni kibaya sana...
Presha ya mishipa ni hatari sana...

Anyway mtu akishindwa kula vaykula bora vya mpangilio .. ajiunge na BIMA YA AFYA kujiandaa kadri mri unavyokwenda.
Kuokaoa ghrama wakti akipambana na maumivu ya matibabu
Usisahau mwili unahitaji balanced diet....kukosa fungu moja kabisaa Ni hatari kwa afya....Kama Ni diet angeweza ale Wanga kwa kiasi kidogo ingefaa.
 
Usisahau mwili unahitaji balanced diet....kukosa fungu moja kabisaa Ni hatari kwa afya....Kama Ni diet angeweza ale Wanga kwa kiasi kidogo ingefaa.
Sawa, pia anaweza kula tu vyakula vyenye low carb. Badala ya full wanga..

Watu wanaofanya kazi zakutumia nguvu ya mwili wasiache wanga
 
Ila tunaambiwa mwili haubagui kuwa hii ni sukari ya chai matunda soda wala asali.
"Unaambiwa " na nani?? Sukari ya kiwandani ile ni charcoal yani ule ni mkaa

Hauwezi fananisha ile na sukari inaypoatikana kwenye tunda , au unga wa mahindi baada ya wewe kula ugali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…