Ushauri: Nifanyeje juu ya hali hii ya maisha yangu?

Mkuu umekulia mazingira ya kijijini au mjini?
 
Tatizo ni moja kwanza moyo wako bado haujui unataka nin.
Ukiona nyeupe unataka, nyeusi unataka, blue unataka.
Kuacha unajitolea na unapata hata hyo elf kumi na tano wenzio wanajitolea hawapati senti.

Ukijua unataka nin tofauti na hicho kias kidg Cha pesa utajua jinsi au namna gani ya kutengeza pesa nyingine ndogo ndogo nje na hyo sehem ya kujitolea au fursa nyingine hapo hapo kweny hyo ofis unayojitolea.
 
Any way kwa miaka uliyo nayo alafu unalia lia hapa as if huna kipato that is nonesense.

wewe unataka kusema unashindwa kabisa kufikiri utasave vipi 300k, weka 100K assume unalipwa 200K then ndiyo iwe kwenye matumizi iyo 200K.

200K imagine unalipa kodi plus maji na umeme 50K covered, inasalia 150K.

Assume unatumia 100K kila mwezi kwenye food. 50K iliyobaki ni mavazi na sabuni kwa kila mwezi.

Plan kuinvest 100K kwenye issues nyingine.

Unapata alafu unasema hupati.....😅😅
 
Yani mpaka dunia ya leo unawaza kusoma
Ndio maana ni talanta yangu. Mwenyezi Mungu amempatia kila mtu talanta yake hapa duniani, kuna uimbaji mziki wa kidunia, uimbaji nyimbo za injili, uimbaji kaswida, kuna madaktari, wakulima, boda boda madereva, walimu, makuli, mafundi umeme n.k mimi ninapenda kusoma.
 
room yako ya 45-50 Unalipa kodi ya miezi 6 then unaanza ku,make kila siku matumizi ya kula yasizidi 5k.... usafiri jua mwenyewe utacheza vp ila kila siku save 7k kwa week siku sita una 42k ambayo mara mwezi ni 168k ukitoa hayo masula ya umeme,maji na mtakataka yote ya maushuru ya makazi haushindwi kusave 140k ambayo mara mwaka una 1,680,000 then amua nini ufanye maana hiyo hela yatosha.
 
Mkuu

Kazi unayo sema unaodharau TU!

Bana matumizi weka akiba usijiachie Sana!!

We oa usiogope MAISHA hela ya kula unayo!sema usioe golikipa oa hata muuza nyanya au mpishi wa hoteli au hata mhudumu wa hoteli!

Mafanikio hayana kanuni FULANI zaidi ya kuchapa kazi Sana!

Haimaanishi ukioa au usipooa ndio utafanikiwa au hautofanikiwa!

Chapa kazi Buni biashara hata ndogo ya 200000/= anzia hapo Mkuu!!
 
Ninataka nipate hela ya kutosha kufanyia biashara au kufanya mambo hayo mengine. Namna ya kupata kiasi kingine cha fedha ndio nipo njia panda sasa. Kitu cha kufanya siyo shida, shida ni jinsi ya kupata hela ya kukifanyia hicho kitu
 
Gharama za maisha haziko hivyo ndugu. Ziko juu sana, kwa huu mpangilio wa matumizi siwezi kuishi hili eneo. Ningependa niweke akiba lakini ni ngumu.
 
Gharama za maisha haziko hivyo ndugu. Ziko juu sana, kwa huu mpangilio wa matumizi siwezi kuishi hili eneo. Ningependa niweke akiba lakini ni ngumu.
Sasa mkuu wewe acha kazi uone ilivo kazi kupata kazi, acha kazi ukiwa na plans, mkuu wewe pambana sana, maisha siyo marahisi kiivo.
 
Futa mawazo ya kurudi chuo.Futa mawazo ya kuajiriwa.Futa mawazo ya mshahara mdogo.Weka wazo la Je leo ukisimamishwa happy utaishi vipi???
Cha kufanya,chukulia Kila mwezi unalipwa laki 2.Laki moja week akiba.
Kwanza hamia kwenye chumba Cha Bei nafuu,au tafuta mtu mwaminifu mchangie chumba.
Pili,sadaka ni muhimu Je huwa unaiombea kabla ya kutoa???Kama huiombei basi Bora uache kutoa sadaka.
Tatu,Huwa unatumia vocha ya kiasi gani kwa mwezi???Mfano,vocha ya buku unajiunga kifurushi Cha meseji mwezi mzima.
Je kazini Huwa unatoka saa ngapi???Kama ni mapema,basi tafuta kitu Cha kujiongezea kipato baada ya masaa ya kazi.Mfano unaweza kuanzisha biashara ya kuuza mchele hapo mtaani kwako.
Au unaweza kutafuta goli la kuuza kuku jioni.
 
Ninataka nipate hela ya kutosha kufanyia biashara au kufanya mambo hayo mengine. Namna ya kupata kiasi kingine cha fedha ndio nipo njia panda sasa. Kitu cha kufanya siyo shida, shida ni jinsi ya kupata hela ya kukifanyia hicho kitu
Pesa haiji kimazingara.
Jipange ni namna gani hyo elf kumi na tano utaibana ufanye kitu chchte kitakachokuingizia elf 5 kwa siku ukifika hatua hyo utawaza kikubwa kwa sabb tayali kuna kidg unapata
 
Hatua ta kwanza acha kujilinganisha na wengine, hapo utajiona wewe na utajielewa zaidi.

Hatua ya pili, leo usiku ule muda wa kwenda kulala kabla hujapata usingizi, anza kuzitatafakari ndoto zako zote ulizo nazo. Kisha kuna kitu utakipata.

Hatua ta tatu, ili ufanikishe ndoto zako inakupasa uamke usingizini. Mafanikio hukaa kwenye akili ya mhusika na hakuna kanuni kwamba ukifanya hivi na hivi lazima ufanikiwe kimaisha, hivyo cha msingi kuwa makini na intuitions zako mwenyewe hapo ndipo kuna siri za mafanikio yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…