Ushauri: Nifanyeje juu ya hali hii ya maisha yangu?

Ondoka hapo ulipo nenda shule ya Inspire Kibaha kwa Mzee Bizulu kaombe kifundisha physics.Akikuelewa ujw kunishukuru.
Ahaaah, ngoja ntajaribu nione. Tatizo huwa wanakataa kutupatia kazi ya ualimu maana hatujasoma masomo ya ualimu, na Wapo sahihi kwa kigezo chao cha kuhitaji mwalimu aliyesomea hiyo kazi. Japo ninaweza kufundisha na nimefundisha sana wanafunzi.
 
Ondoka hapo ulipo nenda shule ya Inspire Kibaha kwa Mzee Bizulu kaombe kifundisha physics.Akikuelewa ujw kunishukuru.
Ahaaah, ngoja ntajaribu nione. Tatizo huwa wanakataa kutupatia kazi ya ualimu maana hatujasoma masomo ya ualimu., na Wapo sahihi kwa kigezo chao cha kuhitaji mwalimu aliyesomea hiyo kazi. Japo ninaweza kufundisha na nimefundisha sana wanafunzi.
 
Ahaaah mkuu Naomba uniambie hiyo nchi ambayo wanaandikisha askari wa kutoka nchi za nje hata hivyo bado kuna suala zima la nauli, acha visa passport n.k au niongee na mkuu Mshana Jr anifanyie mambo nifike hata kwa namna tofauti huko maana nikiskia au kukumbuka jeshi tuu mpaka roho inaumia kwa uchungu mkuu kwa nini sipo huko mpaka leo !. Suala la kuoa ni gumu kwa sasa, nimeachana nalo kwa sasa maana sina hela ya kuishi na mke. Achilia mbali Mungu akitupatia watoto, ni zaidi ya msongo wa mawazo hapo. Mwanamke atapata taabu sana, watoto watapata taabu sana na mimi kichwa kinaweza kupasuka kwa mawazo ya kushindwa kuitunza familia.
 
Life is how you think..kuna watu wanakipato cha laki moja na wanaish na wameoa wanafamilia so mtazamo wako juu ya maisha ndo unakupa shida..So cha kukushauri kama unashindwa kuweka akiba tafuta kikoba sehemu najua hauwez kukosa jipe malengo hata ya mwaka then utakuwa na amount kubwa tu ambayo mwisho wa siku unaweza fanya kitu kikubwa.
 
Unalalamika kipato Tsh 300,000 akitoshi na bado unatoa Sadaka, una matatizo mahali.
Kaka, siijui kesho yangu kufa ni mda wowote. Ninaamini Mungu kanileta duniani na siku moja atachukua roho yake kwa hiyo ndiyo maana ninasali kutoa sadaka, na kujaribu kutekeleza yale watumishi wa Mungu wanayosema kwa kadri ya uwezo wangu. Sadaka sizidishi sh.elfu mbili (2000) kila ijumaa pili maana ndiyo uwezo wangu, na zaka sitoi maana nikitoa ntakula vumbi mpaka nichakae. Ninaishi kwa akili usisikie kutoa sadaka ukajua ninatoa kila mchango wanaosema kanisani labda nusu ya hicho kiasi ninachopata nakitoa huko HAPANA.
 
Suala la kikoba, asante kwa ushauri kaka.
 
Asante, naomba unifikishie salamu zangu kwa huyo boda boda mpambanaji.
 
Achana na swala la kujibana u save hio hela ni ndogo sana. Ila nakushauri anza kujifunza ujuzi wowote sidehustle kwenye pc yako au simu yako

Piga msuri hasa wa ujuzi wowote kwa miezi 6 au mwaka.

Then anza kuuza.

Ujuzi unaoweza kujifunza
1. Crypto
2. Stock trading
3.Amazon FBA
4.copyrighting
5.freelencer
6.social media management etc

Vitu vya kujifunza ni vingi sana unanishangaza unaposema hujui cha kufanya na upo DAR huenda una smartphone.

Wakati sisi tupo mikoani vijijini tunapiga pesa kwa hizo skill above.

Mimi nilijifungia wakati wakati wa corona 2020 baada ya mwaka mmoja last year nimepiga $50k

Mwaka minimum nakunja $100k.

Huwa nacheka nikiona kijana ana comment biashara za mtandaoni ni utapeli[emoji16][emoji16][emoji16]

Shidakubwa ya watu maskini nilioiona ni arrogant (wajuaji) basi tunawazoom tunawaacha.

Utasikia “mtu hawezi kukwambia siri ya mafanikio yake”[emoji3][emoji3][emoji3]


Utajiri hauna siri ndugu zangu zaidi ya kuwa mwanafunzi wa kudumu (peppetual learner).

Niishie hapa nina meeting saa sita na client wangu na kipara kakata umeme.
 
Wewe umeshaenda mbali sana, mimi ninaishia kwenye money sms, mcmoney, premise walizingua, na profit sms .... ni jamaa wanakutumia sms wanakulipa 0.02 Usd n.k badae ukikusanya kisogo kisogo ikifika usd 2 unatoa lkn ni zinaishia kwenye vocha tuu. Vipi naskia kuna sites za kupiga surveys unapata ela, unazifahamu unipe mbili tatu ?
 

Achana na sites tafuta skills yoyote jigungie ndani kila ukitoka kazini baada ya mwaka utakuja na shukurani kanisani
 
Achana na sites tafuta skills yoyote jigungie ndani kila ukitoka kazini baada ya mwaka utakuja na shukurani kanisani
Sawa, nielekeze hiyo skill ya copywriting naanzaje, nifanyeje nipige hela kwa kutumia hiyo au lazima kuwa na skill zote ?
 
Hapo kweny kumwagilia moyo sasa
 
Hapo kweny kumwagilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…