Umemshauri vema..nadhani ataufuataUna ndugu wa kike,i mean dada zako,mama yako mzazi au wadogo au ma mkubwa? Ongea nao watakusaidia ila kama uliwalea watoto kwa misingi ya ajabu(unawapa uhuru mwingi,pesa ndogo ya matumizi,hujali wanatatizo au hawana,unachelewa kurudi nyumbani) itakua kazi sana kumrudisha mstarini
Mzee/Baba mtoto ww unachanganyikiwa nn ikiwa binti yako amevunja ungo na anajitambua mpaka anapima mimba kama iliingia!Habari zenu wana JF,
Niingie kwenye mada, binti yangu yupo kidato cha pili sasa hivi na ana miaka 14. Leo asubuhi hii ameenda shule. Mimi na mama yake tumeachana kwa hiyo watoto nakaa nao mimi mwenyewe na sina mke kwa sasa.
Leo hii asubuhi naingia chumbani kwake nakuta kimkoba kidogo kitandani kwake na nashawishika kukifungua. Napata mshtuko wa mwaka nakuta kikaratasi cha (URINE PREGNANCY TEST) kilichotumika.
Nimechanganyikiwa sijui niongee nae nini.
Naombeni ushauri wana jamii na wazazi wenzangu, 14yrs?
Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
ndo nasema hawe baba wakizungu aonge nae mtoto maswala ya yote ya kujamiana na adhari zake na dogo hakampime yani hamtishie hata picha nne tatu za watu wa ngoma dogo akili itaruka huyo, na hayo ndo matatizo ya malezi ya watoto kutengana kwa wazazi balaaa hilo.tatizo hawa watoto wa kike huwa wanaogopa sana mimba na mara nyingi hukimbilia kuitoa sawa mimba umetoa ukimwi nao utaenda kutoa?
Basi kama sababu ndiyo hyo mleta thread awe mpole huku akisubiria kulea mjukuu asiye na baba....Huwezi kusema arudishe mke walee watoto wakati hujui ni nini kimewatenganisha. Kuishi kwenye ndoa isiyo na afya haipendezi, kuna wakati inabidi tu kutengana. Wazazi wakiweka mawazo yao kwa watoto hata kama hawaishi wote mambo yanaenda sawa.
Ndio ujue umekua sasa
kuongea na mwalimu ata mchoma bure na asaivi raisi ndo kasha waka suala hilo, na walimu wasikuizi wapenda sifa ata mpiga picha nakusambaza whatsapp. hapo kwanza nikujua je mimba hipo au laaah maana kukutwa na bangi sio maana yake kua unavuta bangi so issue ya kwanza kujua hipo au la??? ya pili kikao na wewe baba ukiwepo muonge na binti yenu live tatu follow ups za nguvu full kufatilia hapo.Pole sana Kaka mkubwa kwa mtihani wa namna hiyo maana watoto wa sikuhizi hawasikii la mnadi swala wala la muadhin. My take ktk hili ni kwamba waite ndugu zako wa kike ili wakae nae private ili waongee nae na wewe usipanik kwanza kwa hicho ulichokiona chumba ni kwake. Baada ya mazungumzo yao wewe utapata marejesho kama mwanao ndio matured kwenye hayo mambo au laa. Lakini pia mimi ni mwl psychologically teachers are likely to notes the change ya mtoto wako mapema kuliko mzazi. Kwahio shule nako itabidi UMUONE mwl wa malezi akusaidie. Ushauri tu huu.
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Hahahaaa niko poa babuhujambo mkubwa mwenzangu?
Wewe unasema amuepushe na mimba!! Omba amuepushe na maradhi kama HIV. Balaa zaidi Mimba na HIV kwa pamoja.pole sana mkuu! mie nadhan ongea kwanza na mama yao umweleze!nae anaweza mwita ajue atamuingiaje! dah miaka 14 mbn bado katoto kbs! Ee Mungu muepushe mtoto huyu na mimba !
Nyie mmeshawahi kuwa wazazi? Some things you just ignore kama yamekuzidi, kama hujawa mzazi huwezi kuelewa mleta mada anamaanisha nini. As a parent, tena single parent ni muhimu sana kujua nyendo za mtoto.Ndo ukome.... Na wewe uache peku peku kwenye vitu vya bint yako ukikuta naniii!?
Umezidi umbea baba lazma uwe na adabu uwez kufungua mikoba ya mwanao....
Mm uyo dada angu tu au mtoto wa kike siwwz kufungua vitu vyako hata chumban kwake kuingia
Kuweni na adabu
Sent from my SHV-E275S using JamiiForums mobile app
Wewe unasema amuepushe na mimba!! Omba amuepushe na maradhi kama HIV. Balaa zaidi Mimba na HIV kwa pamoja.
Aisee kwanza pole sana mkuuu kwa yaliyokukuta...Kesho asbh nitaenda shuleni kwake.Napata hofu sana alafu yeye ndo mtoto wangu wa kwanza,yaani ni mtihani
Najisikia fahari kuwa MTANZANIA