Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Unalo la kusema mpenzi.Sina la kusema 😅😅😅naungana na wadau huko juu
Hujambo my love
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unalo la kusema mpenzi.Sina la kusema 😅😅😅naungana na wadau huko juu
Nimekosa 😅😅Unalo la kusema mpenzi.
Hujambo my love
Saivi unayo kitu inaitwa perceptual blind spot. Kiufupi hauna mke ameshakuzoea amekuona huna value kwake. Nakuambia ukweli sema hutonielewa Mana saivi unayo iyo perceptual blind spot in your mind. Yaani huwezi ona. Already you're operating under fight/flight mode of our survival ancestry caveman brain mode mkuu. Yaani narudia kopi hii isevu in your email baada ya miaka mitano utakuja kunielewa. Kama vipi nipe namba yako wozapu nikuokoe Kuna Kodi nyingine Naona tunaenda kupoteza ama kupunguza Mana huwezi fanya kazi zako vizuri. Nikuambie tu mie nimesoma na hao wanachuo mpaka nje kwa Putin nimesoma nimewachakata mbususu zote adi za kirusi Ila nimerudi bush kwetu nikaoa lasaba mkuu. Can you imagine like.wadau tupeane uzoefu kidogo ,nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari,huyu dada ni msukuma wa lunzewe, yupo chuo cha mkwawa iringa mwaka wa mwisho! Tatizo linakuja usiku hapokei cm kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka,akipata tatizo la pesa anapiga cm hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi cm hapokei! Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma mkwawa nisiendelee kupigwa!
Macho yanaona ila moyo wako unakataa. Ana bwana tena mwanafunzi mwenzake wewe ni atm tuwadau tupeane uzoefu kidogo ,nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari,huyu dada ni msukuma wa lunzewe, yupo chuo cha mkwawa iringa mwaka wa mwisho! Tatizo linakuja usiku hapokei cm kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka,akipata tatizo la pesa anapiga cm hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi cm hapokei! Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma mkwawa nisiendelee kupigwa!
Case closedMwanaume unapiga piga simu hovyo hadi usiku unataka kuripoti tukio la uhalifu ama?
Mwanamke ndiye anayepaswa kuwa anakupigia pigia simu...
Na kama hapokei simu zako, nawe acha kupokea za kwake...
Pole sana mkuu, huyo ni msukuma wa mchongo. Lunzewe hakuna wasukuma wa hovyoWadau tupeane uzoefu kidogo ,nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa lunzewe, yupo chuo cha mkwawa iringa mwaka wa mwisho!
Tatizo linakuja usiku hapokei cm kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga cm hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi cm hapokei!
Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma mkwawa nisiendelee kupigwa!
Mimi bhana sio mfuasi wa mada za aina hii lakini wacha tu nikuambia ukweli...Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma mkwawa nisiendelee kupigwa!
Pole sana huwezi ukaanza kuargue moja kwa moja huenda ni kweli unakuta harakati za masomo kwa siku zinamchanganya, mimi siamini kwamba kila msichana akifanya hivyo anakuwa anakusaliti hapana! Unaweza kukuta ni kweli anakua amechoka tafadhali usimhukumu moja kwa moja bila kupata uthibitisho. Sio kila msichana akionesha hivyo ni msaliti[emoji3578]Wadau tupeane uzoefu kidogo ,nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa lunzewe, yupo chuo cha mkwawa iringa mwaka wa mwisho!
Tatizo linakuja usiku hapokei cm kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga cm hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi cm hapokei!
Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma mkwawa nisiendelee kupigwa!
Duu mkuu umetoa bonge la wazo zuri ama neno zuri la kitalaamu kuwa. MACHO YANAFANYEJE NA MOYO JE, naomba urudie ili nikuelewe vizuriMacho yanaona ila moyo wako unakataa. Ana bwana tena mwanafunzi mwenzake wewe ni atm tu
Umeongea fact tupuKuna mwana anaua third year pale nikupe no yake?[emoji23],,
Sikia mzee wasichana wengi wa chuo, wanampenzi wa chuo na pia wanampenzi wa nyumbani, kwahiyo saizi probably ni zamu ya huyo wa chuo we subiri arudi na huna namna utafanya kuzuia hilo labda ukawe lecture pale,,nimesema PROBABLY ila chance ni 80%
Ushauri
Iwe safari yake Bado(kama first au second year) au ndio mwaka wa mwisho wae amua kumsubiri, nimesema AMUA kumsubiri,Yani vumilia yote haya kwasabab wakiendaga chuo wanakuwaga na wenge sana ila wakimaliza ndo akili inawakaa kichwani
Lakini kumsubiri kwako kunaweza kusizae matunda maana uko uko chuo akampata wenyewe wanaitaga soulmate[emoji23], wake afu mwamba ikala kwako
Kwahy kama umeamua kuamini kwamba one day one time mambo yatakuwa yesi, fresh we believe mungu atakusaidia ila jiandae Kwa lolote chuo ni kiwanda cha uzinzi