NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Unapigwa, mabinti wa vyuoni wapo moto sana!!
Happ tayari ana mpenzi wake wa huko chuoni aidha ni mwnafunzi mwenzake ama mwalimu anaempa penzi ili apewe maksi za chupi.
Subiri amalize chuo kwanza aachane na mambo ya huko, kwa sasa utaumiza kichwa tu.