Ushauri: Nina mchumba anasoma chuo cha Mkwawa Iringa, napitia magumu sana!

Ushauri: Nina mchumba anasoma chuo cha Mkwawa Iringa, napitia magumu sana!

[emoji848]kwani wewe unahisi nini mkuu ??.mbona kama huamini jibu lako
 
Haha!!Wacha niendelee kufa kimya kimya tu

Ila dogo mtamu balaa na mimi ndo nilikuwa mwanaume wake wa kwanza kutoa usichana wake(najivunia katika hilo)

Nawaza nilivyokuwa namfanya kuna jamaa atakuwa tayari kashaanza kumfanya(ila nisihukumu katika hili perhaps ni ubize wa masoma na ugeni wa mazingira)[emoji1]
Sasa we ulitoa bikra ya mbele tu wenzako wanang'oa mfuniko wa nyuma[emoji39][emoji848]
 
Wadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho!

Tatizo linakuja usiku hapokei simu kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga simu hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi simu hapokei!

Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma Mkwawa nisiendelee kupigwa!
Mkuu mimi naishi Mbeya na kila mwezi huwa naenda Iringa kikazi na mara zote lazima niende kutalii kule Mkwawa kila kigiza kikianza kuingia, au basi.....
 
Kuna mwana anaua third year pale nikupe no yake?[emoji23],,

Sikia mzee wasichana wengi wa chuo, wanampenzi wa chuo na pia wanampenzi wa nyumbani, kwahiyo saizi probably ni zamu ya huyo wa chuo we subiri arudi na huna namna utafanya kuzuia hilo labda ukawe lecture pale,,nimesema PROBABLY ila chance ni 80%

Ushauri
Iwe safari yake Bado(kama first au second year) au ndio mwaka wa mwisho wae amua kumsubiri, nimesema AMUA kumsubiri,Yani vumilia yote haya kwasabab wakiendaga chuo wanakuwaga na wenge sana ila wakimaliza ndo akili inawakaa kichwani

Lakini kumsubiri kwako kunaweza kusizae matunda maana uko uko chuo akampata wenyewe wanaitaga soulmate[emoji23], wake afu mwamba ikala kwako

Kwahy kama umeamua kuamini kwamba one day one time mambo yatakuwa yesi, fresh we believe mungu atakusaidia ila jiandae Kwa lolote chuo ni kiwanda cha uzinzi
Mkwawa
 
Shukuru kwamba mkeo yuko "Chuo"
Huko atajifunza mengi akirudi atakupa mapenzi matamu zaidi maana atakuwa keshajifunza kunyonya koni, pia atakupa full package yaani mbele na nyuma
 
Kwani hicho kikojoleo ulikikuta sealed mwamba!?

Utakonda kwa mawazo! Mwanamke mwenye akili sio ng'ombe kwamba anachungwa! hachungwi shee wangu.

Japo umbali unawatenganisha...je wewe unamalizia wapi haja zako ukiwa kama mwanaume Kamili!?...vivyo hivyo na kwake pia!

Na mazingira ya mkoa huo kijiografia Yako wazi kabisa! Kama cha mbuzi!
 
Hahaha!!We jamaa bhana[emoji1]

Nimempigia simu usiku huu simu yake unatumika tu

Nikampigia tena akapokea nimemwambia nampenda kakata simu[emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwache akutafute yeye ili usiwe unapata maumivu..
Chuo kuna uchafu sanaaa..
 
Back
Top Bottom