Ushauri: Nina mchumba anasoma chuo cha Mkwawa Iringa, napitia magumu sana!

Ushauri: Nina mchumba anasoma chuo cha Mkwawa Iringa, napitia magumu sana!

Mkuu usicheke[emoji1]

Nimepiga simu ikapokelewa nikamwambia nampenda simu ikakatwa na sasa haipatikani
Mkuu nimeishi maisha ya Mungu umri wangu lakini chuo hata sijui ilikuwaje
Kufanya ujinga ambao ni ujinga..
Sasa mimi nimwanaume
Je huyo mwanamke anaetongozwa ana hali gani??
We punguza mawasiliano tu hii ndo dawa
Lakini ukiendekeza kumtafutatafuta umekwisha utake usitake...
 
Hutamuoa huyo, na ukimuoa utaumia mno,mno. Yalinikuta 2020 alikua chuo, alikua nilifuatilia kwa njia ya apps ya kutrac text, I remember niliumia mno, nilimpa nafasi ajirekebishe haikuwezekana
Hii ndo ajabu yaani...
Ukitaka kuona maajabu zaidi pale ukimwacha kule alikokuwa anakimbilia huwa panafunga anabaki kama mwehu..
 
Anajiuza H.D huyo shauri yako wenyeji wa iringa nadhani wanaelewa H.D niwapi na wanachuo huwa wanaenda kuuza Mbususu usiku
 
Niliwahi kuwa na msichana mwanachuo chuo Cha st Augustine university Mwanza,,
Nilimlipia kila kitu hostel,,matumizi nk,.
Lakini bado alikuja kunitenda,,

--Kwnza always usiku hapokei simu,, kisingizio yupo discussion..
--Week end ndy kabisa ikifika jioni simu inazimwa hadi j tatu.

Siku Moja nilipiga Simu saa 2300HRS likapokea dume likasema niache usumbufu kwa wake za watu...
Kwakweli niliumia sana moyoni..

Msichana ambaye namlipia Kila kitu leo naambiwa niache usumbufu?

Kuanzia hapo mwanafunzi wa chuo ni kupiga mbupu na kusepa,

Kusubiri mchumba msichana mwanachuo akiwa masomoni ni sawa na kusubiri maembe chini ya mnazi..

Jiandae kisaikolojia hapo huna mchumba bali ni mke wa wenzio Kwa Sasa.
 
Wadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho!

Tatizo linakuja usiku hapokei simu kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga simu hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi simu hapokei!

Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma Mkwawa nisiendelee kupigwa!
Relax Maisha lazima yaendelee najua unayopitia..
Jambo la kwanza kubali mahusiano hayo hayatakuja kuwa ya furahaa.
Pili anza kuepeka /kupunguza mawasiliano hii ndo itakuponya.
Najua ni ngumu ila we anza na mawasiliano kwanza punguza mwishoni Akili yako itaamka automatically...
 
Niliwahi kuwa na msichana mwanachuo chuo Cha SAUTI Mwanza,,
Nilimlipia kila kitu hostel,,matumizi nk,.
Lakini bado alikuja kunitenda,,

--Kwnza always usiku hapokei simu,, kisingizio yupo discussion..
--Week end ndy kabisa ikifika jioni simu inazimwa hadi j tatu.

Siku Moja nilipiga Simu saa 2300HRS likapokea dume likasema niache usumbufu kwa wake za watu...
Kwakweli niliumia sana moyoni..

Msichana ambaye namlipia Kila kitu leo naambiwa niache usumbufu?

Kuanzia hapo mwanafunzi wa chuo ni kupiga mbupu na kusepa,

Kusubiri mchumba msichana mwanachuo ni sawa na kusubiri maembe chini ya mnazi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hope ulimwacha mke wa mtu
Na nadhani huyo jamaa ndo kaoa mpaka sasa au?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kashaliwa huyo buda,anza kutafta mwingine tuu
 
Wasichana wengi ni weak katika kufanya chaguzi makini hasa ikiwa amekutana na options nyingi.

That's why haishauriwa kuwaamini hawa watu kwa asilimia mia-it is too risky

Hawafanyi critical reasoning,sasa mpaka mtu kakutolea mahari...inaonesha ni kiasi gani mtu yupo serious na wewe

Hapo tayari ukute kuna jamaa amemuelewa..anakuona wewe hauna maana

ivi kweli unaweza ukakosa muda wa kupokea cm tu yaani 24 hours uko bize kiasi kwamba cm hauwezi kupokea? Tena ya mtu muhimu..24hrs?

Mkuu be prepared ,yajayo yanafurahisha
 
Mwanaume unapiga piga simu hovyo hadi usiku unataka kuripoti tukio la uhalifu ama?

Mwanamke ndiye anayepaswa kuwa anakupigia pigia simu...

Na kama hapokei simu zako, nawe acha kupokea za kwake...
Kama huna cha kuandika uwe unauchuna... Unajichoresha dogo
 
Hutamuoa huyo, na ukimuoa utaumia mno,mno. Yalinikuta 2020 alikua chuo, alikua nilifuatilia kwa njia ya apps ya kutrac text, I remember niliumia mno, nilimpa nafasi ajirekebishe haikuwezekana
Naomba hy app
 
Chuoni mabinti wanaolewa kabisa wanaishi kinyumba na masela. Wengi mnaooa wanawake waliopita chuoni mnaoa ex wives wa watu. Miaka miwili - mitatu mtu anapakuliwa deile na masela, anapika, anafua...Baada ya chuo sasa kila mmoja anashika lwake na ndoa hizi uchwara zinakufa leaving behind psychologically damaged, bitter, men-hating, confused and angry girls.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hope ulimwacha mke wa mtu
Na nadhani huyo jamaa ndo kaoa mpaka sasa au?
Hakuna Cha kuoa wala uchumba,,

Baada ya Mimi kukaa kimya kama mwezi,,
Demu uzalendo ukamshinda akatema ndoano.,

Kumbe yule jamaa ni mwanafunzi mwenzie ambaye walikuwa na mahusiano,,,na hakuwa na msaada wowote Kwa yule mwanachuo zaidi ya kupiga mbupu.
Zile pesa zngu ndy zilikuwa zinawalisha wao..
Chumba nalipa kumbe yupo na kidume mle ndani..

Demu kuona njaa Kali akarudi kupiga magoti,,

Lakini nilimtupa kabisa,,,,
 
Kuna msela anakula mzigo usiku wewe endelea kutuma ela za matumizi
 
Back
Top Bottom