Ushauri: Nina mchumba anasoma chuo cha Mkwawa Iringa, napitia magumu sana!

Ushauri: Nina mchumba anasoma chuo cha Mkwawa Iringa, napitia magumu sana!

Kama una bunduki isalimishe
Kama unawaza kujinyonga kaa mbali na miti
Hata makaa usinunue
Kuna wakati mwingine unaweza ukatabiri yanayokuja wewe mwenyewe halafu unapanga zaidi huku ukijua unaenda kubaya ila unasema potelea mbali
Sijui kama nimeeleweka maana nawaza matukio ya nyuma tu
 
Kama una bunduki isalimishe
Kama unawaza kujinyonga kaa mbali na miti
Hata makaa usinunue
Kuna wakati mwingine unaweza ukatabiri yanayokuja wewe mwenyewe halafu unapanga zaidi huku ukijua unaenda kubaya ila unasema potelea mbali
Sijui kama nimeeleweka maana nawaza matukio ya nyuma tu
Eti kaa mbali na miti 😂😂😂
 
Haha!!Wacha niendelee kufa kimya kimya tu

Ila dogo mtamu balaa na mimi ndo nilikuwa mwanaume wake wa kwanza kutoa usichana wake(najivunia katika hilo)

Nawaza nilivyokuwa namfanya kuna jamaa atakuwa tayari kashaanza kumfanya(ila nisihukumu katika hili perhaps ni ubize wa masoma na ugeni wa mazingira)[emoji1]


Mwenyezi Mungu akupe nguvu kipindi hiki kigumu
 
Wadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho!

Tatizo linakuja usiku hapokei simu kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga simu hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi simu hapokei!

Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma Mkwawa nisiendelee kupigwa!
Stuka unapigwa.!
Hapo anaishi na msela gheto jamaa analoweka utambi halafu weye unajiita una mchumba.
 
Kama una bunduki isalimishe
Kama unawaza kujinyonga kaa mbali na miti
Hata makaa usinunue
Kuna wakati mwingine unaweza ukatabiri yanayokuja wewe mwenyewe halafu unapanga zaidi huku ukijua unaenda kubaya ila unasema potelea mbali
Sijui kama nimeeleweka maana nawaza matukio ya nyuma tu
[emoji38][emoji38][emoji38]Umeandika kikatili Sana mkuu
 
Huyo sio mchumba. Huyo ni muwekazaji. Na wewe ndio biashara yenyewe. Akihitaji faida ya biashara yake anakutafuta.

Asipopokea siku nyingine basi elewa yupo kwenye kufuatilia biashara zake nyingine. Kawaida kuna biashara huwa zina faida zaidi na hizo ndizo wawekezaji hupenda kutumia muda mwingi nazo.
Dah..!
Hii koment sio poa yaan
Ila ni ukweli mchungu[emoji848]
 
Kuna mwana anaua third year pale nikupe no yake?[emoji23],,

Sikia mzee wasichana wengi wa chuo, wanampenzi wa chuo na pia wanampenzi wa nyumbani, kwahiyo saizi probably ni zamu ya huyo wa chuo we subiri arudi na huna namna utafanya kuzuia hilo labda ukawe lecture pale,,nimesema PROBABLY ila chance ni 80%

Ushauri
Iwe safari yake Bado(kama first au second year) au ndio mwaka wa mwisho wae amua kumsubiri, nimesema AMUA kumsubiri,Yani vumilia yote haya kwasabab wakiendaga chuo wanakuwaga na wenge sana ila wakimaliza ndo akili inawakaa kichwani

Lakini kumsubiri kwako kunaweza kusizae matunda maana uko uko chuo akampata wenyewe wanaitaga soulmate[emoji23], wake afu mwamba ikala kwako

Kwahy kama umeamua kuamini kwamba one day one time mambo yatakuwa yesi, fresh we believe mungu atakusaidia ila jiandae Kwa lolote chuo ni kiwanda cha uzinzi
Ukute huko chuo anaishi kabisa na lijamaa wanabebeshana mimba wanatoa
Akirudi likizo ni mkeo[emoji1787]
 
Mchumba anasomeshwa cherehani tu mkuu[emoji4]
Haha!!

Sikasomeshi mkuu wangu japo kipindi kana jiandaa kwenda chuo kuna baadhi ya mahitaji niligharamia

Kinachoniuma imekuwa ghafula sana mawasiliano kupungua sheikh wangu [emoji1]

Halafu kalivyo katamu na kasafi sasa roho inaniuma sana kama nitakapoteza

NISIHUKUMU SANA[emoji1]
 
Pole sana huwezi ukaanza kuargue moja kwa moja huenda ni kweli unakuta harakati za masomo kwa siku zinamchanganya, mimi siamini kwamba kila msichana akifanya hivyo anakuwa anakusaliti hapana! Unaweza kukuta ni kweli anakua amechoka tafadhali usimhukumu moja kwa moja bila kupata uthibitisho. Sio kila msichana akionesha hivyo ni msaliti[emoji3578]
Mkuu acha kimdanganya vyuoni mabinti wanagongwa sio kidogo
 
Back
Top Bottom