Ushauri: Nina mchumba anasoma chuo cha Mkwawa Iringa, napitia magumu sana!

Ungemnunulia kamba na stuli alafu ungempelekea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji2] Haya mambo yanachekesha lkn yanaumiza sana. Mna muda gan kwenye mahusiano??

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeipokea hali na kuikubali japo naumia sana kwa jinsi tulivyokuwa tunapendana[emoji1]

Kanitumia asubuhi sms ya "Morning my soulmate"Nikasema Hiiiiiiiii bhagosha[emoji1]

Tupo kwenye penzi/uhusiano miaka minne sasa
 
Nimeipokea hali na kuikubali japo naumia sana kwa jinsi tulivyokuwa tunapendana[emoji1]

Kanitumia asubuhi sms ya "Morning my soulmate"Nikasema Hiiiiiiiii bhagosha[emoji1]

Tupo kwenye penzi/uhusiano miaka minne sasa
[emoji134]miaka 4? Washakuwah mzee baba pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji134]miaka 4? Washakuwah mzee baba pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!!kuna hali fulani hivi inaniijia tulivyokuwa tunafanya(dogo mtundu sana kunako)na ahadi kemukemu na kupanga majina ya watoto wetu wapendwa tutakao barikiwa kuwapata[emoji1]

Leo hii kuna jamaa anapita/ingiza/nyonya/lamba pale nilipokuwa nafanya hivyo mimi[emoji1]

Naumia sana nikikumbuka hivyo Kelsea
 
Haya mambo yanaumiza sana, pole rafiki yangu. Hakuna namna zaidi ya kuukubali ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAKUPENDI..sisi wanawake tukichepuka huwaga yule wa kwanza hatumpendi tena kwa kifupi huna chako ukilazimisha utazua matatizo tu baadae unaweza ukalazimisha ukamuoa ila hutokua na furah akwa vituko vyake
 
Asilimia kubwa yan 70+ ya wanafunz wa chuo huwa na wapenzi wao huko vyuoni..

Hii haijarishi ameoa au ameolewa hata bint atoke kwao bikra akifika chuo asalimia kubwa itapotea...

Chuo Kuna vishawishi vingi Sana, Nime bahatika kuwa na nakazi Kati Kati ya chuo kimoja cha udaktari nawaona jins wa navyo ishi yani wanaoana kabisa kwa iyo miaka ya masomo so kuwa na mpenz ambae anasoma chuo tena mbali NAWE ni janga lingine.

Sio wote ila wengi wao wana poteana huko
 
Hivi bado mpogi, mkuu utakufa kwa presha..... wachumba wa mashuleni "WANAUME" alishaacha zamani.
 
Hebu tafuta kazi za kufanya
 
Acha kumsumbua mpenzi wa mtu usiku. Elewa kwamba ana mpenzi wake anayempenda na kuna wewe maalum kwa kuchunwa. Move on tafuta mtu mwingine.
 
We ni zoba Sasa hapo ushauri wa nin huna chako piga chini
 
Kubali tu ukweli mkuu. Huyo Mwanamke hakupendi. Move on kaka. Muombe Mungu akupatie mwanamke mwema.
 
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji375]
 
Sometimes wanaume tunakuwa kama mazezeta flani kisa mapenzi
Ni Kawaida kuitwa zezeta haswa ukipata mwanamke ambaye sio sahihi.

Ila at least tuna play part yetu kama wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…