Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Haya nasubiri story yakoHoja mezani: Ni kuwa hili ni kosa kubwa kwani lina implications nyingi kwenye ndoa. Ngoja nikikaa vizuri nitakuelezea kwa kirefu kwani limeshanipata mimi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya nasubiri story yakoHoja mezani: Ni kuwa hili ni kosa kubwa kwani lina implications nyingi kwenye ndoa. Ngoja nikikaa vizuri nitakuelezea kwa kirefu kwani limeshanipata mimi.
Ndo mume anamwambia alifanya kwasababu walikuwa bado hawajaona.Mume wake anasemaje??
Ninyi ni wabinafsi sana ndio maana hamuwezi kuona hili suala kwa jicho la tatu, umeishi na mtu miaka 15 na ameshazaa watoto wanne unamuacha akaanze maisha ya usingle, mna watoto wanne tayari watoto waanze kulelewa bila wazazi wote wawili mlishawaza jinsi gani mnawaathiri kisaikolojia? je mahusiano ya mama na mtoto aliyemficha kwa miaka 20 yatakuaje? hamuoni kuna chuki itazalika kua ujio wake ndio umemfanya ameikosa ndoa yake?Hahahahaha,unajitahidi inaoneshaa jinsi gani UMEGUSWA NA HILI ,ila bi mdada we unajibu kwa upande wako, walio wengi humu ni WANAUME na umeona MAJIBU yao ,tuko SAWA na mwamba huyo ...
Kikubwa kubali mwenzako kachemka mambo yenu ya SIRI yasizidi sana
Naomba kuuliza,ingekuwa upande wa mwanaume ingekuwaje?? Au wanawake wanastahili kufichwa ila wanaume hawastahili??Achana nae kama kaweza kukuficha jambo kubwa kama hilo basi kuna mengi sana hujui kuhusu yeye, yupo hapo kwasababu ananufaika na vitu fulani tu.
Una hoja,usikilizwe mkuuMtoto ni mkubwa yupo chuo sidhani kama amekuja kusomeshwa au kupewa hifadhi yeye alitaka kumjua au kumuona mama ake, basi maisha yaendelee kama yalivyokua zamani, mtoto akiwa likizo ruksa kuja pale kumuona mama ake na ndugu zake, Mumewe asijiingize kwenye malezi ya aina yoyote ukizingatia Baba mtu yupo na amemlea miaka yote.....
Hahahahaha nadhani MJINGA zaidi ni huyo mama kushindwa kutubu na kusema ukweli huo, hiii DHAMBI ya USIRI mnyo sanaNinyi ni wabinafsi sana ndio maana hamuwezi kuona hili suala kwa jicho la tatu, umeishi na mtu miaka 15 na ameshazaa watoto wanne unamuacha akaanze maisha ya usingle, mna watoto wanne tayari watoto waanze kulelewa bila wazazi wote wawili mlishawaza jinsi gani mnawaathiri kisaikolojia? je mahusiano ya mama na mtoto aliyemficha kwa miaka 20 yatakuaje? hamuoni kuna chuki itazalika kua ujio wake ndio umemfanya ameikosa ndoa yake?
Kosa lenyewe la kijinga kabisa.
Hakuna Mtu mwenye hela anayependa stress iwe mwanamme au mwanamke. Wanawake hamkubali kuolewa na mtu asiye vizuri kiuchumi. Kama umeolewa na mtu na anatimiza majukumu yake kama mume mng'amng'anie . Ukizoea hayo maisha ukakimbilia kuachana naye utaishia kudanga. Na utagawa K hadi kwa wasiojielewa. Ukitaka mwanaume wa kwako pekee yako si kuna haki sawa ingia mzigoni tafuta hela. Then tafuta kijana uwe unamlisha unamvisha kama Zari ze Bosslady alivyofanya. Tatizo ni kuwa hela inatafutwa kwa shida, kwa hio jamani usimpe mumeo stress. Kama mwanamke unataka kuwa na thamani have your own money na siyo hela za kudanga. Maana ukiwa unadanga thamani yako ni fedha . Na fedha ni relative we unaweza ukanunuliwa range kwa ajili ya sex ukaona umemuweza mwanaume. Lakini aliyekununulia anaona sio hela nyingi kwa sababu umepunguzia stress kidogo.Mkuu una hoja. Ila kwa unavyoona mwanaume alizingua? Si tulimshauri akaushe ila ni kama haelewi
kabisa kabisa harafu ndio ukute watoto hao wanne mmoja ambae wa kwanza hata humuelewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hapo Mume amewaza kama amefichwa suala la Mtoto kwa miaka yote hiyo, na kulikuwa na mawasiliano ya siri Baina ya Mkewe, Baba Mtoto pamoja Mtoto mwenyewe, basi kuna uwezekano mkubwa kuna vingine vingi vya siri vilikuwa vinaendelea baina ya Mkewe na huyo Baba wa Mtoto.. Na hapo ndipo panampa ugumu kusamehe..
Nasemajee,una kitu,utafika mbali sana,ni wachache tu watakaokuelewaNinyi ni wabinafsi sana ndio maana hamuwezi kuona hili suala kwa jicho la tatu, umeishi na mtu miaka 15 na ameshazaa watoto wanne unamuacha akaanze maisha ya usingle, mna watoto wanne tayari watoto waanze kulelewa bila wazazi wote wawili mlishawaza jinsi gani mnawaathiri kisaikolojia? je mahusiano ya mama na mtoto aliyemficha kwa miaka 20 yatakuaje? hamuoni kuna chuki itazalika kua ujio wake ndio umemfanya ameikosa ndoa yake?
Kosa lenyewe la kijinga kabisa.
Hapana mkuu ni bora kamuacha na mke akubali kuachika.Umeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?
Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.
🫱🏻🫲🏽 natafta namna ya kwenda kumuwasilishia hili. Hii mada tulienda nayo wiki nzima anakomaa kuuliza anastahili kusamehewa au la tukasema mambo ya ndoa hayaingiliwi. By the way maisha ya kwao ni ya kawaida mme mfanyabiashara wa kawaida na yeye ni muhasibu ofisini kwetuHakuna Mtu mwenye hela anayependa stress iwe mwanamme au mwanamke. Wanawake hamkubali kuolewa na mtu asiye vizuri kiuchumi. Kama umeolewa na mtu na anatimiza majukumu yake kama mume mng'amng'anie . Ukizoea hayo maisha ukakimbilia kuachana naye utaishia kudanga. Na utagawa K hadi kwa wasiojielewa. Ukitaka mwanaume wa kwako pekee yako si kuna haki sawa ingia mzigoni tafuta hela. Then tafuta kijana uwe unamlisha unamvisha kama Zari ze Bosslady alivyofanya. Tatizo ni kuwa hela inatafutwa kwa shida, kwa hio jamani usimpe mumeo stress. Kama mwanamke unataka kuwa na thamani have your own money na siyo hela za kudanga. Maana ukiwa unadanga thamani yako ni fedha . Na fedha ni relative we unaweza ukanunuliwa range kwa ajili ya sex ukaona umemuweza mwanaume. Lakini aliyekununulia anaona sio hela nyingi kwa sababu umepunguzia stress kidogo.
Uko sahihiHapo Mume amewaza kama amefichwa suala la Mtoto kwa miaka yote hiyo, na kulikuwa na mawasiliano ya siri Baina ya Mkewe, Baba Mtoto pamoja Mtoto mwenyewe, basi kuna uwezekano mkubwa kuna vingine vingi vya siri vilikuwa vinaendelea baina ya Mkewe na huyo Baba wa Mtoto.. Na hapo ndipo panampa ugumu kusamehe..
Mama Kinachoshangaza kweny comment yako ni kwamba unakosoa maamuzi ya mwanaume ambaye hana makosa yeyote...yaan makosa afanye mwanamke alaf mwanaume ndo alalamikiwe.Umeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?
Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.
Kwa maelezo ya mtoa mada ni kua, mwanamke aliolewa akiwa ana miaka 21, na sasa mtoto ana miaka 20, hatujui sababu ya yeye kutengana na mtoto wake na hatujui sababu ya yeye kutokumwambia mumewe kua ana mtoto, mtoto alikua analelewa na baba ake, what if alinyang'anywa mtoto akaamua kuanza upya na huyo mume wake? Kwanini umuite muhuni kisa tu hakukwambia kuhusu mtoto,Mama Kinachoshangaza kweny comment yako ni kwamba unakosoa maamuzi ya mwanaume ambaye hana makosa yeyote...yaan makosa afanye mwanamke alaf mwanaume ndo alalamikiwe.
Usimtetee mwanamke mwenzako bhana amekosea, kama kakuficha ana mtoto miaka 15 atakuwa amekuficha mangapi??
Kwann akufiche miaka yote hiyo mtu unalala nae na kuamka kitanda kimoja, mnakula meza moja kila siku mnaangaliana usoni anakuficha ana mtoto miaka 15.
WANAWAKE MNATISHA AISEE, UKIACHANA NA MUNGU HAMNA KITU NAOGOPA HAPA DUNIANI KAMA MWANAMKE.
Impression yangu ni kwamba huyo mwanamke alikuwa ni mhuni na alikuwa anajaribu kuficha.
Ndoa na kufichana ukweli ni vitu viwili tofauti.
Mume akikataa kujaruksa kuja pale kumuona mama ake
Sio ndugu wamezaliwa kutoka mbegu tofautindugu zake
Ok ila pia ni ashiria kuwa mume wake sio mwaminifu.Ila sasa si alifanya wakati hawajaoana. Ye anasema mume alimwambia alifanya kabla ya ndoa kwakuwa hawakua kitu kimoja mke ni haelewi kitu. Haya mambo haya sio poa🙌
Ni sahihi, lakini si kila mtu anaweza kusamehe.Lakini sio kosa la kumuacha Mke, kama mmeishi miaka zaidi ya 18 pamoja ndiyo mje kuachana Uzeeni?
Tumeambiwa tusamehe 7x70