USHAURI: Nini cha kufanya kama mwenza wako alikuficha kuwa ana mtoto, Ukaja kujua baada ya miaka zaidi ya 10 baadaye?

Hahahahaha,unajitahidi inaoneshaa jinsi gani UMEGUSWA NA HILI ,ila bi mdada we unajibu kwa upande wako, walio wengi humu ni WANAUME na umeona MAJIBU yao ,tuko SAWA na mwamba huyo ...

Kikubwa kubali mwenzako kachemka mambo yenu ya SIRI yasizidi sana
Ninyi ni wabinafsi sana ndio maana hamuwezi kuona hili suala kwa jicho la tatu, umeishi na mtu miaka 15 na ameshazaa watoto wanne unamuacha akaanze maisha ya usingle, mna watoto wanne tayari watoto waanze kulelewa bila wazazi wote wawili mlishawaza jinsi gani mnawaathiri kisaikolojia? je mahusiano ya mama na mtoto aliyemficha kwa miaka 20 yatakuaje? hamuoni kuna chuki itazalika kua ujio wake ndio umemfanya ameikosa ndoa yake?

Kosa lenyewe la kijinga kabisa.
 
Mtoto ni mkubwa yupo chuo sidhani kama amekuja kusomeshwa au kupewa hifadhi yeye alitaka kumjua au kumuona mama ake, basi maisha yaendelee kama yalivyokua zamani, mtoto akiwa likizo ruksa kuja pale kumuona mama ake na ndugu zake, Mumewe asijiingize kwenye malezi ya aina yoyote ukizingatia Baba mtu yupo na amemlea miaka yote.....
Una hoja,usikilizwe mkuu
 
Ninyi ni wabinafsi sana ndio maana hamuwezi kuona hili suala kwa jicho la tatu, umeishi na mtu miaka 15 na ameshazaa watoto wanne unamuacha akaanze maisha ya usingle, mna watoto wanne tayari watoto waanze kulelewa bila wazazi wote wawili mlishawaza jinsi gani mnawaathiri kisaikolojia? je mahusiano ya mama na mtoto aliyemficha kwa miaka 20 yatakuaje? hamuoni kuna chuki itazalika kua ujio wake ndio umemfanya ameikosa ndoa yake?

Kosa lenyewe la kijinga kabisa.
Hahahahaha nadhani MJINGA zaidi ni huyo mama kushindwa kutubu na kusema ukweli huo, hiii DHAMBI ya USIRI mnyo sana
 
Mkuu una hoja. Ila kwa unavyoona mwanaume alizingua? Si tulimshauri akaushe ila ni kama haelewi
Hakuna Mtu mwenye hela anayependa stress iwe mwanamme au mwanamke. Wanawake hamkubali kuolewa na mtu asiye vizuri kiuchumi. Kama umeolewa na mtu na anatimiza majukumu yake kama mume mng'amng'anie . Ukizoea hayo maisha ukakimbilia kuachana naye utaishia kudanga. Na utagawa K hadi kwa wasiojielewa. Ukitaka mwanaume wa kwako pekee yako si kuna haki sawa ingia mzigoni tafuta hela. Then tafuta kijana uwe unamlisha unamvisha kama Zari ze Bosslady alivyofanya. Tatizo ni kuwa hela inatafutwa kwa shida, kwa hio jamani usimpe mumeo stress. Kama mwanamke unataka kuwa na thamani have your own money na siyo hela za kudanga. Maana ukiwa unadanga thamani yako ni fedha . Na fedha ni relative we unaweza ukanunuliwa range kwa ajili ya sex ukaona umemuweza mwanaume. Lakini aliyekununulia anaona sio hela nyingi kwa sababu umepunguzia stress kidogo.
 
Hapo Mume amewaza kama amefichwa suala la Mtoto kwa miaka yote hiyo, na kulikuwa na mawasiliano ya siri Baina ya Mkewe, Baba Mtoto pamoja Mtoto mwenyewe, basi kuna uwezekano mkubwa kuna vingine vingi vya siri vilikuwa vinaendelea baina ya Mkewe na huyo Baba wa Mtoto.. Na hapo ndipo panampa ugumu kusamehe..
kabisa kabisa harafu ndio ukute watoto hao wanne mmoja ambae wa kwanza hata humuelewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Mm nilitaka kukumbana nalo hilo janga nashukuru Mungu kwanza sikuwa n mpango wa kuoa, ila yule bint nimemvulia kofia kwa usiri ule.

Kingine mwanamke akizaa anajurikana tu
 
Ninyi ni wabinafsi sana ndio maana hamuwezi kuona hili suala kwa jicho la tatu, umeishi na mtu miaka 15 na ameshazaa watoto wanne unamuacha akaanze maisha ya usingle, mna watoto wanne tayari watoto waanze kulelewa bila wazazi wote wawili mlishawaza jinsi gani mnawaathiri kisaikolojia? je mahusiano ya mama na mtoto aliyemficha kwa miaka 20 yatakuaje? hamuoni kuna chuki itazalika kua ujio wake ndio umemfanya ameikosa ndoa yake?

Kosa lenyewe la kijinga kabisa.
Nasemajee,una kitu,utafika mbali sana,ni wachache tu watakaokuelewa
 
Umeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?

Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.
Hapana mkuu ni bora kamuacha na mke akubali kuachika.

Wanaume huwa ni ngumu kusamehe kwa makosa ya kuchapiwa.

Kama alikua anawasiliana na baba wa mtoto bila shaka jamaa alikua anaruka nae kwa miaka yote 20.
 
Hakuna Mtu mwenye hela anayependa stress iwe mwanamme au mwanamke. Wanawake hamkubali kuolewa na mtu asiye vizuri kiuchumi. Kama umeolewa na mtu na anatimiza majukumu yake kama mume mng'amng'anie . Ukizoea hayo maisha ukakimbilia kuachana naye utaishia kudanga. Na utagawa K hadi kwa wasiojielewa. Ukitaka mwanaume wa kwako pekee yako si kuna haki sawa ingia mzigoni tafuta hela. Then tafuta kijana uwe unamlisha unamvisha kama Zari ze Bosslady alivyofanya. Tatizo ni kuwa hela inatafutwa kwa shida, kwa hio jamani usimpe mumeo stress. Kama mwanamke unataka kuwa na thamani have your own money na siyo hela za kudanga. Maana ukiwa unadanga thamani yako ni fedha . Na fedha ni relative we unaweza ukanunuliwa range kwa ajili ya sex ukaona umemuweza mwanaume. Lakini aliyekununulia anaona sio hela nyingi kwa sababu umepunguzia stress kidogo.
🫱🏻‍🫲🏽 natafta namna ya kwenda kumuwasilishia hili. Hii mada tulienda nayo wiki nzima anakomaa kuuliza anastahili kusamehewa au la tukasema mambo ya ndoa hayaingiliwi. By the way maisha ya kwao ni ya kawaida mme mfanyabiashara wa kawaida na yeye ni muhasibu ofisini kwetu
 
Hapo Mume amewaza kama amefichwa suala la Mtoto kwa miaka yote hiyo, na kulikuwa na mawasiliano ya siri Baina ya Mkewe, Baba Mtoto pamoja Mtoto mwenyewe, basi kuna uwezekano mkubwa kuna vingine vingi vya siri vilikuwa vinaendelea baina ya Mkewe na huyo Baba wa Mtoto.. Na hapo ndipo panampa ugumu kusamehe..
Uko sahihi
 
Umeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?

Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.
Mama Kinachoshangaza kweny comment yako ni kwamba unakosoa maamuzi ya mwanaume ambaye hana makosa yeyote...yaan makosa afanye mwanamke alaf mwanaume ndo alalamikiwe.

Usimtetee mwanamke mwenzako bhana amekosea, kama kakuficha ana mtoto miaka 15 atakuwa amekuficha mangapi??
Kwann akufiche miaka yote hiyo mtu unalala nae na kuamka kitanda kimoja, mnakula meza moja kila siku mnaangaliana usoni anakuficha ana mtoto miaka 15.

WANAWAKE MNATISHA AISEE, UKIACHANA NA MUNGU HAMNA KITU NAOGOPA HAPA DUNIANI KAMA MWANAMKE.

Impression yangu ni kwamba huyo mwanamke alikuwa ni mhuni na alikuwa anajaribu kuficha.

Ndoa na kufichana ukweli ni vitu viwili tofauti.
 
Bora hiyo hiyo ndoa ivunjwe tu maana huyo mwanamke Ni mpumbavu Kweli Kweli.

Kama mtu anaweza kukuficha kuhusu mtoto aliyepatikana nje ya ndoa hiyo Ni ishara kwamba yapo mengine mengi Sana ambayo ameyaficha.
 
Mama Kinachoshangaza kweny comment yako ni kwamba unakosoa maamuzi ya mwanaume ambaye hana makosa yeyote...yaan makosa afanye mwanamke alaf mwanaume ndo alalamikiwe.

Usimtetee mwanamke mwenzako bhana amekosea, kama kakuficha ana mtoto miaka 15 atakuwa amekuficha mangapi??
Kwann akufiche miaka yote hiyo mtu unalala nae na kuamka kitanda kimoja, mnakula meza moja kila siku mnaangaliana usoni anakuficha ana mtoto miaka 15.

WANAWAKE MNATISHA AISEE, UKIACHANA NA MUNGU HAMNA KITU NAOGOPA HAPA DUNIANI KAMA MWANAMKE.

Impression yangu ni kwamba huyo mwanamke alikuwa ni mhuni na alikuwa anajaribu kuficha.

Ndoa na kufichana ukweli ni vitu viwili tofauti.
Kwa maelezo ya mtoa mada ni kua, mwanamke aliolewa akiwa ana miaka 21, na sasa mtoto ana miaka 20, hatujui sababu ya yeye kutengana na mtoto wake na hatujui sababu ya yeye kutokumwambia mumewe kua ana mtoto, mtoto alikua analelewa na baba ake, what if alinyang'anywa mtoto akaamua kuanza upya na huyo mume wake? Kwanini umuite muhuni kisa tu hakukwambia kuhusu mtoto,

Kwanini uumie sana hadi utoe talaka, alikuomba matumizi ya mtoto? Kama miaka yote mlikua vizuri hilo tu ndio umuache? hapo ni wazi ulikua unamtafutia sababu hakuna kingine unless kuwe na jambo lingine mleta mada halijui.
 
Aisee kwa saikolojia yetu wanaume ni wachache sana utamweleza tukio kama hilo akaelewa .
 
Ila sasa si alifanya wakati hawajaoana. Ye anasema mume alimwambia alifanya kabla ya ndoa kwakuwa hawakua kitu kimoja mke ni haelewi kitu. Haya mambo haya sio poa🙌
Ok ila pia ni ashiria kuwa mume wake sio mwaminifu.

Sasa wanaugomvi na mume wake ??
 
Back
Top Bottom