USHAURI: Nini cha kufanya kama mwenza wako alikuficha kuwa ana mtoto, Ukaja kujua baada ya miaka zaidi ya 10 baadaye?

USHAURI: Nini cha kufanya kama mwenza wako alikuficha kuwa ana mtoto, Ukaja kujua baada ya miaka zaidi ya 10 baadaye?

Mkuu mimi nimewahi kukuta case hii.

Dada mmoja alilalamika sana , kipindi wapo wachumba alimuuliza mchuma una mtoto akamwambia hana. Tena alimuuliza marakwa mara unamtoto akamwambia hana.

Sasa baada ya ndoa wakakaa miaka 10.
Akajakujua mume wake anamtoto anaumri wa miaka 15 kupitia maongezi ya simu wanapanga na familia yake jinsi ya kumleta mtoto home pale. Mtoto anaumri wa miaka 15.

Sasa kwa situation kama hii dada huyu akikataa utamuita anaroho mbaya??
Mwanamke kila jambo hata asifanye yeye atabebeshwa lawama yeye, ndiyo maana wanakuwa na roho ngumu maana maisha yao yanapitia mambo mazito sana
 
Hayanaga akili kabisa nashangaa wanavyo dharau wanawake wakati yenyewe yapo kama mazombi
Unakuta mwanaume anatukana mwanamke mpaka unajiuliza kwani huyu alizaliwa na nguruwe madume tupu au? Maana ukimwangalia mama yake hana hata cha maana
 
Mie hapana bora nionekane kiatu hilo bao lao wakalitunzie huko huko!
Sema wakamlee huyo mtoto wao huko kwingine, maana bao la Mwanaume either of XY chromosome likiingia kwenye mji wa mimba likakuta yai la kike XX basi kitakachotungwa ni mimba ya mtoto either wa kike XX ama wakiume XY

Kwahiyo matokeo yake haitakuwa Bao tena bali ni kiumbe .....

Siku hizi kuna trend ya Wanawake kutaka Usawa hadi kwenye kucheat na kubeba mimba za Nje.

Ila kimaumbile ni kuwa Mwanaume akiwa timamu (Afya) anaweza kuzalisha Watoto 365 kwa Mwaka iwapo mtaishi kwa kukomoana.

Muhimu kila Mwanandoa kuiheshimu ndoa yake kama alivyokula kiapo.

Hata kama kuna kucheat, haitakiwi ifanyike hadi Mwenza wako ajue, huko ni kumvunjia heshima Mwenza wako.

Ingawa tutambue Kucheat ni neno limewekwa na Mzungu badala ya neno la kwenye Biblia/Quraan Kuzini/Uzinifu ambayo ni kuvunja amri ya 6.

Na yeyote anayefanya hivyo, Msanii Dullah Makabila alisema "utaPita Huku"
 
Mwanamke hujamuoa bikira halafu unashangaa kupata ana mtoto kabla ya ndoa...eboh!!!
 
@trudie mama kipenzi.
Bila shaka nawe ni muhanga wa hii situation, kuzaa na mtu na akasepa;

Nisikilize kwa makini.
1. Kukimbiana hutokana na kuzaa na mtu ambaye hamkuwa na malengo, mara nyingi ni ushikaji hatimaye mtoto....kosa ni lenu, unapaswa ubane mapaja hadi uchumbiwe na uolewe ksma hutaki hii kadhia

2. Kudate na wavulana au waume za watu, mnaingia kichwa kichwa nyie tena wengi kwa tamaa za kijinga tu.

3. Ni ukorofi wenu, mkishapewa mimba huanzi vitimwi kwanini msiachwe, mwanaume hapendi mwanamke korofi kama Dream Queen au faizafoxy

4. Kudate na wanaume wahuni, unategemea nini?

Narudia, kama hutaki aibu, bana mapaja hadi uolewe.

Wanaume tunapenda sana kuoa wanawake wagumu kutoa UCHI, hii ni siri.

Kama utanipa mzigo kirahisi, napata hisia kuwa wewe malaya, napiga nasonga mbele kama injili....tulizeni vidude vyenu.

LAKINI IKITOKEA UMEZAA...JIKUBALI...UKIPATA MUOAJI MWAMBIE UKWELI, USIOGOPE KUACHWA, KUNA MTU ATAKUPENDA NA MWANAO.

Pili utaepuka kuachika baadae mmeo skiujua ukweli.
Hapana mkuu mimi sio mhanga wa kutelekezwa, ingawa ulichoongea ni sahihi kabisa na elimu kwa sisi kina dada/ mama wote. Asante
 
Kama qmeweza kuficha kitu ambacho ni tangible.. kinachoweza kushikika kuonekana nk mwa miaka 15 inakuaje kwa vitu ambavyo si tangible...atakiwa amesaliti mara ngapi kwenye hyo miaka 15 ?
Akwendreeeee
 
Muongezee mke bora kabisa Donatila
Bila mchango wa mama D hapa ni kazi bure.
Yeye ni muumini mzuri kuhusu mambo ya ndoa.

Atakushauri cha kufanya, japo ujinga alioufanya kuficha siri Kwa Muda mrefu umemchukiza.

hahaha
Habari wana JF.

Kuna Ndoa imevunjika hapa ndoa ya miaka 15.

Mke alizaa kabla ya ndoa, sasa mama huyu alimficha mtoto,

Huyu mtoto alikuwa anaishi na Baba yake.

Mume alijua kwa mawasiliano ya simu Mama alipokuwa anaongea na mwanae.

Na mtoto ana umri wa miaka 20.

Mume wa ndoa kazaa naye watoto 4.

Dawati la suluhisho walijaribu kuweka sawa ili wasiachane ila ilishindika. Hata wachungaji walishauri kuwa asamehe tuu kwani hata mtoto kashakuwa mkubwa hakuna shida yoyote lkn ndo hivyo ndoa imevunjwa jana na mahakama.

Huyu mama alizaa kipindi ana umri wa miaka 21.

Sasa wanajamii hivi vitu vinatokana na nini mpk mmoja anaamua kuficha mtoto?

NI NINI CHA KUFANYA BAADA YA KUJUA HATA KWA MUME KAMA ALIFICHA KUWA ALIKUWA ANAMTOTO.

Huyu mwanaume alishamchoka mke issue ya kuwa alimficha mtoto imekazia maamuzi tuu😃😃😃😃

Ila kumkana mtoto au kumficha ili upate mume yataka moyo haswa. Huyu mwanamke ana roho yake ngumu sana🤔🤔🤔 lol

Mimi siwezi kwakweli
 
Hapo Mume amewaza kama amefichwa suala la Mtoto kwa miaka yote hiyo, na kulikuwa na mawasiliano ya siri Baina ya Mkewe, Baba Mtoto pamoja Mtoto mwenyewe, basi kuna uwezekano mkubwa kuna vingine vingi vya siri vilikuwa vinaendelea baina ya Mkewe na huyo Baba wa Mtoto.. Na hapo ndipo panampa ugumu kusamehe..
Na huenda angemuambia ukweli mumewe tangia uchumba huenda yasingetokea haya
 
Hapo Mume amewaza kama amefichwa suala la Mtoto kwa miaka yote hiyo, na kulikuwa na mawasiliano ya siri Baina ya Mkewe, Baba Mtoto pamoja Mtoto mwenyewe, basi kuna uwezekano mkubwa kuna vingine vingi vya siri vilikuwa vinaendelea baina ya Mkewe na huyo Baba wa Mtoto.. Na hapo ndipo panampa ugumu kusamehe..

Hi
 
Habari wana JF.

Kuna Ndoa imevunjika hapa ndoa ya miaka 15.

Mke alizaa kabla ya ndoa, sasa mama huyu alimficha mtoto,

Huyu mtoto alikuwa anaishi na Baba yake.

Mume alijua kwa mawasiliano ya simu Mama alipokuwa anaongea na mwanae.

Na mtoto ana umri wa miaka 20.

Mume wa ndoa kazaa naye watoto 4.

Dawati la suluhisho walijaribu kuweka

Habari wana JF.

Kuna Ndoa imevunjika hapa ndoa ya miaka 15.

Mke alizaa kabla ya ndoa, sasa mama huyu alimficha mtoto,

Huyu mtoto alikuwa anaishi na Baba yake.

Mume alijua kwa mawasiliano ya simu Mama alipokuwa anaongea na mwanae.

Na mtoto ana umri wa miaka 20.

Mume wa ndoa kazaa naye watoto 4.

Dawati la suluhisho walijaribu kuweka sawa ili wasiachane ila ilishindika. Hata wachungaji walishauri kuwa asamehe tuu kwani hata mtoto kashakuwa mkubwa hakuna shida yoyote lkn ndo hivyo ndoa imevunjwa jana na mahakama.

Huyu mama alizaa kipindi ana umri wa miaka 21.

Sasa wanajamii hivi vitu vinatokana na nini mpk mmoja anaamua kuficha mtoto?

NI NINI CHA KUFANYA BAADA YA KUJUA HATA KWA MUME KAMA ALIFICHA KUWA ALIKUWA ANAMTOTO.
kama aliweza kificha huyo mtoto mmoja hawo wanne lazima utakuwa na wasiwasi hata mimi nisinge msamehe
 
Umeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?

Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.
Kibaya zaidi Mume alikua anajua kua alimtoa bikra, sasa Mume anjiuliza na huyo mtoto mkubwa alimpataje!??
 
hahaha

Huyu mwanaume alishamchoka mke issue ya kuwa alimficha mtoto imekazia maamuzi tuu😃😃😃😃

Ila kumkana mtoto au kumficha ili upate mume yataka moyo haswa. Huyu mwanamke ana roho yake ngumu sana🤔🤔🤔 lol

Mimi siwezi kwakweli
Umeng'ata na kupuliza
 
Umeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?

Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.
Ila sio swala dogo kama amekuficha hilo mangap umefichwa hapo.
 
Lazima kuwe na sababu ya yeye kutokusema,

Kuna Mama alipokonywa mtoto na Mwanaume aliyezaa nae, mtoto alikua ana miezi 11, yule Mama alihangaika kuanzia Ustawi wa jamii hadi Mahakamani, kote aligonga mwamba basi akamuachia Mungu na kurudi kwao (Mikoa ilikua tofauti) baada ya miaka kupita, akaja akapata Mwanaume akamuoa hakumwambia kuhusu tukio lile yeye anasema alijaribu kulisahau hakuona sababu ya kulizungumzia tena, Mtoto alikuja kumtafuta Mama yake ameshakua mtu mzima na wajukuu akamletea, Mume ndio kujua hilo sakata lakini hakureact tofauti zaidi ya furaha familia imeungana tena.
Wanawake wabinafsi sana yaan mimi mmeo sista hili kumjua mke wangu really.
 
Back
Top Bottom