@trudie mama kipenzi.
Bila shaka nawe ni muhanga wa hii situation, kuzaa na mtu na akasepa;
Nisikilize kwa makini.
1. Kukimbiana hutokana na kuzaa na mtu ambaye hamkuwa na malengo, mara nyingi ni ushikaji hatimaye mtoto....kosa ni lenu, unapaswa ubane mapaja hadi uchumbiwe na uolewe ksma hutaki hii kadhia
2. Kudate na wavulana au waume za watu, mnaingia kichwa kichwa nyie tena wengi kwa tamaa za kijinga tu.
3. Ni ukorofi wenu, mkishapewa mimba huanzi vitimwi kwanini msiachwe, mwanaume hapendi mwanamke korofi kama
Dream Queen au faizafoxy
4. Kudate na wanaume wahuni, unategemea nini?
Narudia, kama hutaki aibu, bana mapaja hadi uolewe.
Wanaume tunapenda sana kuoa wanawake wagumu kutoa UCHI, hii ni siri.
Kama utanipa mzigo kirahisi, napata hisia kuwa wewe malaya, napiga nasonga mbele kama injili....tulizeni vidude vyenu.
LAKINI IKITOKEA UMEZAA...JIKUBALI...UKIPATA MUOAJI MWAMBIE UKWELI, USIOGOPE KUACHWA, KUNA MTU ATAKUPENDA NA MWANAO.
Pili utaepuka kuachika baadae mmeo skiujua ukweli.