Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?

Sawaa ni uamuzi wa wazee lakin ulitoka kabla ya enactment of Law of child Act 2009 Msome His lordship mlyambina kwenye hii case ya Judith Patrick kyamba... Anakuambia hakuna bastard child bali bastard parents kitanda hakizai haramu
 

Attachments

Wanawake wa kikistru matatizo tupu
 
Sawaa ni uamuzi wa wazee lakin ulitoka kabla ya enactment of Law of child Act 2009 Msome His lordship mlyambina kwenye hii case ya Judith Patrick kyamba... Anakuambia hakuna bastard child bali bastard parents kitanda hakizai haramu
Ni kweli Mlyambina alitoa hukumu hiyo. Ilikuwa na makosa kadhaa ikiwa ni pamoja na kushindwa kujua kuwa kwa Sheria ya Mtoto, mwisho wa mtu kutambulika kuwa mtoto ni miaka 18, yeye akatoa urithi kwa watu wazima kabisa huku akitukia Sheria ya Mtoto.
Lakini pia, sheria inasema mtoto ana haki ya kufurahia na kutumia mali ya baba yake, sasa kurithi sio kufurahia - ni kumiliki. Hapa ndio unaona kuwa kutumia au kufurahia, kunaishia pale baba anapoondoka kwa kufa.

Hata hivyo tunafahamu kuwa maamuzi ya Mahakama Kuu huya hayawezi kubatilisha au kugeuza maamuzi ya Mahakama ya Rufani, isipokuwa Mahakama ya Rufani yenyewe inaweza kubadilisha maamuzi yake kupitia Review. Kwa sababu maamuzi ya CAT hayajabadilishwa bado yanasimama kuwa valid. Tunasubiri kuona CAT watatoa msimamo gani juu ya hilo lililoamuliwa na Mlyambina kwenye per incurium judgment.
 
Lakin basis ya maamuzi ya his lordship Mlyambina yameanzia kwenye kesi ya Elizabeth mohamed vs Adolf john magesa
 
Basi walikuwa sio wa huyo baba,inawezekana ni WA mchepuko wa mama yao, asili huwa haipotei kama ni damu yake
 
Basi walikuwa sio wa huyo baba,inawezekana ni WA mchepuko wa mama yao, asili huwa haipotei kama ni damu yake
Ni wa Baba kabisa.
Mbona kuna moja mama mmoja nafanya kazi nae ofisini. Alinisilimulia kuwa
Kuna watoto wa 3 walibadili jina la Baba yao la kati na la mwisho kwa sababu ya mambo hayo hayo ya urithi, na sasa ni wa kubwa hawana uhusiano na upande wa baba. Tema mama yao alinyang'anywa kila kitu mpaka vyombo vya ndani.
Nyie wanaume wa kiafrica mnapenda watoto wa kiume sana.
 
Hapo man yake tutafute hela mishe zooote zitapangika
 
True lies . Kuna mengine umeficha
 
Lete pia habari za mume anaendeleaje huko, alinyang'anywa mali zote au vipi?
 
Aache upumbavu hao watoto ni wake awape urithi,mwanamke ni rafiki tu na watoto ni ndugu zake
 
Tatizo linakuja unapozaa na Wanawake wabinafsi kuanzia Mke wa Ndoa hadi hao Wanawake wa nje, unakuta kila Mwanamke hataki Watoto wake wachanganyike,kila Mwanamke anakumbatia Watoto wake na kuona wake ndiyo Watoto bora zaidi!!
 
Kwa hio wewe ulivyofanya ilikuwa sawa eti??
Kama mmeowana hapa sawa mnaweza shindana,lakini Kama umeolewa huwezi shindana na Mume wako full stop, ukiona tabia za Mume wako huziwezi bora udai talaka yako usepe zako ukaanze Maisha yako upya!!
 
Pole Mamndenyi ndiyo ukubwa huwa huo!!
 
Imeaandikwa kila Mtoto atarithi kwa Baba yake na si kwa Mama yake!!
 
Mtoto wa nje anastahili urithi.Na kwa kuwa hatujui ya Mungu mengi,kwa hali aliyonayo ni vizuri akawa wazi tu aite wazee na watu wengine aeleze ukweli mbele ya mkewe,amtambulishe mtoto basi yaishe! Na kubwa kabisa aanze kuandika wosia kisheria,ili Mungu akimchukua watoto wapate urithi sawa.
Hayo ni mawazo yangu tu!
 
Sasa mali kashea na mkewe kaka umesoma fresh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…