Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,223
- 1,992
"Tangu aisha na mkewe hajawahi kugombana nae".......uwongoo,huu ni uwongo kabisaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesema kwa mali zake binafsi Mkuu sio walizochuma pamojaWosia bila kumshirikisha mke utaleta ugumu kuthibitisha kuwa hizo alizozitaja ni mali zake binafsi. Ndio sababu ya kutaka mke atie saini yake kwenye wosia (kama shahidi) ili kuepusha migogoro kama hiyo ya kujua kama mali ni za binafsi au za wanandoa wote. Bila kuconfess sasa mke atasaini vipi wosia wako? Wosia unakuwa batili
Duu kuna kaka mmoja yeye ana mkewe walikuwa na watoto 3 wakike tupu. Sasa akaamua kwenda kuzaa nje kutafuta mtoto wa kiume alifanikiwa na kwenda kumtambulisha kwa ndugu kama wote mkewe aligombananae ila wakamwambia tuh huyu ni mtoto wake hata ukachukia haisaidii akakukubali.
Ndugu wa mwanaume wakamwambia kaka yao huyo ni mtoto wako mchukue ukae nae azoeane na wenzie. Yule kaka akamchukua akawa anaishi nae mkewe akanyamaza. Mawifi wakawa wanamsema tuu dada yule kuwa hamtaki mtoto wa mume wake.
Sasa mkewe nae akaamua kuzaa nje, yeye na mkewe ni weupe kwa hio watoto wote ni weupe mpaka wa mume wa nje.
Ila mkewe akachepuka na mwanaume mweusi, mtoto kazaliwa mweusi , mume eee.
Mkewe wake akamwambia huyu mtoto sio wako anaBaba yake.
Kwenye cheti cha kuzaliwa mama akaandika Baba yake halisi na sio mume wake. Yule kaka alilalamika sana kwao.
ILA baba yale alimwambia kuwa Hata wewe ulifanya hivyo hivyo kuwa mpole tuu najua unaumia kuwa mpole tu.
Dada zake walimtukuna sana yule dada. Ndoa ya kikristo. Wakawashauri tuu tulieni mlee watoto hao. Sasa hivi wote ni wakubwa kipindi cha likizo wa nje wote wanaenda kwa wazazi wao kuwasalimia likizo ikiisha wanarudi. Familia inawatoto 5 sasa.
Hasa mkeo akiwa na ushahidi tosha kuwa alishiriki kwenye hizo maliWosia bila kumshirikisha mke utaleta ugumu kuthibitisha kuwa hizo alizozitaja ni mali zake binafsi. Ndio sababu ya kutaka mke atie saini yake kwenye wosia (kama shahidi) ili kuepusha migogoro kama hiyo ya kujua kama mali ni za binafsi au za wanandoa wote. Bila kuconfess sasa mke atasaini vipi wosia wako? Wosia unakuwa batili
Walianza ziro wote jamaa alioa mapema sanaBinafsi inategemea kama baba alimuoa mke wake akiwa tayari amejijenga kiuchumi mke kaendeleza ni busara akawapa watoto wa nje urithi. Lkn kama ndo walianza kutafuta mali na mke wake kuanzia 0 hapo pagumu.
Ndo maana huwa nasema kama mwanamke unakubali kuzaa na mume mwenye familia hakikisha unaweka msingi mzuri wa watoto wako unaozaa. Isifike hatua unaanza kulalamika wanawake wana roho mbaya. Fikiria mwanamke mwenzako alikua halali au wakati mwingine wanalala njaaa ili watatute mali.
Leo hii aambiwe nyumba fulani wanapewa watoto njee. Ni ngumu kubeba. Kwanza unakuwa na maumivu ya kusalitiwa pili unawaza juhudi zako ulizoweka kupambana leo hii unaenda kumpa mtoto aliyepatikana kwa usaliti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inauma sana mkuu.Leo hii aambiwe nyumba fulani wanapewa watoto njee.
Wapo hawa mkuu,wakizitoa hizo mimba zao pindi anapobaini kuwa kapewa mimba na mchepuko wake.
Haaaa uwanini mkuu, imekuimekuchoma nini 🤣🤣🤣🤣Unadangany hakuna mwanaume wa hivyo duniani hiyo ndoa inakufa au afe mtu kwanza hakuna mzaz ambae atamwabia wew ulifany ivyo ndoa ivunjwe tu mwanaume umuzalie ajue mtot siwe wake hahahah huo ni uongo bna
Mkuu elewa kaka, yeye ndivyo alivyo niqmbia kuwa wameishi kwa amani sana na mkewe."Tangu aisha na mkewe hajawahi kugombana nae".......uwongoo,huu ni uwongo kabisaa
Duu! Hiyo inaitwa tit for tat! Jino kwa jino. Na mwanamke aliamua kufanya makusudi kabisaDuu kuna kaka mmoja yeye ana mkewe walikuwa na watoto 3 wakike tupu. Sasa akaamua kwenda kuzaa nje kutafuta mtoto wa kiume alifanikiwa na kwenda kumtambulisha kwa ndugu kama wote mkewe aligombananae ila wakamwambia tuh huyu ni mtoto wake hata ukachukia haisaidii akakukubali.
Ndugu wa mwanaume wakamwambia kaka yao huyo ni mtoto wako mchukue ukae nae azoeane na wenzie. Yule kaka akamchukua akawa anaishi nae mkewe akanyamaza. Mawifi wakawa wanamsema tuu dada yule kuwa hamtaki mtoto wa mume wake.
Sasa mkewe nae akaamua kuzaa nje, yeye na mkewe ni weupe kwa hio watoto wote ni weupe mpaka wa mume wa nje.
Ila mkewe akachepuka na mwanaume mweusi, mtoto kazaliwa mweusi , mume eee.
Mkewe wake akamwambia huyu mtoto sio wako anaBaba yake.
Kwenye cheti cha kuzaliwa mama akaandika Baba yake halisi na sio mume wake. Yule kaka alilalamika sana kwao.
ILA baba yale alimwambia kuwa Hata wewe ulifanya hivyo hivyo kuwa mpole tuu najua unaumia kuwa mpole tu.
Dada zake walimtukuna sana yule dada. Ndoa ya kikristo. Wakawashauri tuu tulieni mlee watoto hao. Sasa hivi wote ni wakubwa kipindi cha likizo wa nje wote wanaenda kwa wazazi wao kuwasalimia likizo ikiisha wanarudi. Familia inawatoto 5 sasa.
Daaaa hiyo ndo changamoto sana. Angejua angewekeza mapema kwa ajili ya watoto hao. Kama wametoka from zero hapo kimbembe. Na kitachotokea ndugu hapo hatuombei mabaya. Ndugu wa mume watamjaza huyo mama mwenye watoto upepo ili wadai urithi kwa nguvu na wao wawape back up lkn mwisho wa siku ni mvurugano.Walianza ziro wote jamaa alioa mapema sana
Sasa usichoamini wewe ni nini?Unadangany hakuna mwanaume wa hivyo duniani hiyo ndoa inakufa au afe mtu kwanza hakuna mzaz ambae atamwabia wew ulifany ivyo ndoa ivunjwe tu mwanaume umuzalie ajue mtot siwe wake hahahah huo ni uongo bna
Sijui weww ni me au ke sijui.Unadangany hakuna mwanaume wa hivyo duniani hiyo ndoa inakufa au afe mtu kwanza hakuna mzaz ambae atamwabia wew ulifany ivyo ndoa ivunjwe tu mwanaume umuzalie ajue mtot siwe wake hahahah huo ni uongo bna
Kabisa kuna watu wanandoa wanaishi kwa amani kuwezi amini. Kuna familia moja naifahamu jaman wameishi zaidi ya miaka 30 hawajawahi kugombana wala kupeleka mashtaka kwenye familia wala marafiki.Mkuu elewa kaka, yeye ndivyo alivyo niqmbia kuwa wameishi kwa amani sana na mkewe.
Wewe kama ndoa yako inashida ni yako tuu.
Sisi wengine ndo hivyo
Wapo wengi tuu,Kabisa kuna watu wanandoa wanaishi kwa amani kuwezi amini. Kuna familia moja naifahamu jaman wameishi zaidi ya miaka 30 hawajawahi kugombana wala kupeleka mashtaka kwenye familia wala marafiki.
Hadi leo hii kama chakula kipo tayari mmoja hali hadi mwenzake arudi. Labda kama anaratiba imembanana majukumu tena wanapeana taarifa. Acheni tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kauli wanaume wasipo izingatia basi tu.Hao ni watoto wake , awape asilimia zao, ujinga ni ujinga mkubwa mwanaume unazaa njee halafu eti unaogopa kuwatambulisha watoto wako na kuushi nao eti unamuogopa mkeo, tengeneza bond yako na watoto wako wote watapendana sio wakutane uzeeni, mimi baba yangu alikuwa na ndoa moja ya kikristo ila alizaa na wanawake wengine watano na watoto wote aliwachukua wakiiwa wadogo so tulifahamiana utotoni.
Tulikua pamoja na hadi leo sioni tofauti kati yetu wote ni watoto wa mtu mmoja, na good things mzee alimpatia kila mtoto urithi wake , hata alipofariki hatukugombana wala kugawana chochote, mali ambazo hazikugawanywa zipo chini ya mama yangu mzazi na mimi ndiye msimamizi wa mali hizo za familia.
Kwa sababu mama aliwalea jamaa haawa wote wanamheshimu sana na hata baada ya mzee kufariki jamaa wanafika home kila december na famila zao na mazawadi kibao, teach your son and daugheters to love each others regardless ones born out of wedlock, thats makes famili
Nimekuelewa ila nilichokujibu ni kuwa lazima confession iwepo kwa sababu bila kujali mali ni zake binafsi, lazima wosia umhusishe mke kama shahidi, sasa usipomwambia ukweli mkeo atakubali vipi kushuhudia wosia wako!!Nimesema kwa mali zake binafsi Mkuu sio walizochuma pamoja