Ushauri: Rais Samia kata deal mapema na upinzani kabla ya mazito kuja!

MaCHADEMA yanaacha shida za wananchi hapa yanazurura ulaya kujifunza ushoga. Pumbavhu saaanaaa
Shida za wananchi chadema ndio wanaokusanya kodi ili watatue Shida za wananchi?

Ushoga uangalie hapa serikali yako inasemaje.

Tatizo lenu mnahoja dhaifu mwisho wasiku mnakuwa kama mazezeta.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Basi wacha kupingapinga na kuita tuhuma kila kinacholetwa humu kisa hujapatakuona/kusikia.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
..kuna hotuba moja ya Dr.Ssh anazungumzia suala hilo la mkopo mmoja kutumika kulipa mkopo mwingine, au fedha za uviko kutumika kulipa madeni.

..nadhani mtoa mada anazungumzia hiki anachokieleza Rais Dr.Ssh hapa ktk video.

Cc bagamoyo
Nadhani muuliza swali ataelewa na kama hakuelewa tumuongezee ushahidi wa nchi kukopa na kulipa deni lingine Kama wfanyavyo kinamama kwenye Vikoba.
 
Kwani kwenye hotuba aliyosema akina mama wa vikoba wanajua unakopa huku unaziba huku, akasifia mawazo aliyapata kwa waziri wa fedha haukumbuki?
 
Nynvnn nb .f. jmvrxs
Snbf??

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Hata kura zikipigwa zinaheshimiwa? Au mnadhani watu wataendelea kupoteza muda kusimama kwenye mstari wa kura usioheshimiwa? Machafuko tu ndio yatarejesha heshima ya kura.
Wewe ndio utatoka mbele kwenda kuongoza hayo machafuko?

Hadi Sasa CCM Ina mtaji wa wapigakura kwenye Makundi yafuatayo

1.Wakuliama,
Wanawake wa vikoba,
Watu wa tasaf,
Matajiri

Hao wengine Sasa Ni wa kugawana
 
Kwani kwenye hotuba aliyosema akina mama wa vikoba wanajua unakopa huku unaziba huku, akasifia mawazo aliyapata kwa waziri wa fedha haukumbuki?
Hapo kwamba anasifia mawazo aliyopewa na waziri wa fedha na Mwigulu akapiga makofi ni mtego wa kuvishwa bomu likiwa safety pin off Mwigulu mwenyewe.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio utatoka mbele kwenda kuongoza hayo machafuko?

Hadi Sasa CCM Ina mtaji wa wapigakura kwenye Makundi yafuatayo

1.Wakuliama,
Wanawake wa vikoba,
Watu wa tasaf,
Matajiri

Hao wengine Sasa Ni wa kugawana

Usijali nani atakaa mbele boss, ww subiri siku ikifika upige picha aliyeko mbele.

Ni watu wachache wanaojitambua watakaojitokeza kupiga kura kwenye hizi chaguzi zetu. Ukitaka kuelewa ninachosema, subiri uone hizi chaguzi za marudio za kesho kutwa, uone kama wapiga kura watakuwa wa kuridhisha.
 
Uchaguzi wa marudio hauna dili,subiria 2025 ambako kwanza wapigakura wenu wanasema ooh lazima tuu atapita πŸ˜†πŸ˜†

CCM itahimiza watu wao kupiga kura nyie mtaendelea kulalamika
 
Uchaguzi wa marudio hauna dili,subiria 2025 ambako kwanza wapigakura wenu wanasema ooh lazima tuu atapita πŸ˜†πŸ˜†

CCM itahimiza watu wao kupiga kura nyie mtaendelea kulalamika

CCM haina wapiga kura, ingekuwa na wapiga isingetemea wizi. Juzi tu uchaguzi wa 2020 idadi ya wapiga kura ilikuwa ya kupikwa, na huko kwenye vituo wapiga kura hawakuwa wanavuka 1/3 ya waliojiandikisha kupiga kura. Kwa trend hii ya mahudhurio ya uchaguzi ni nadra wapiga kura kufika 7m hiyo 2025.

Ukitaka kipimo halisi mwambie diwani au mbunge wa eneo lako, aitishe mkutano wa hadhara kuongea na wananchi uone mahudhurio, kisha uje utoe mrejesho. Kizazi hiki sio cha CCM boss, hivyo soma alama za nyakati.
 
Unajua hueleweki unaposema Mbowe amepokelewa vizuri, wewe ulitaka apokelewe vibaya sio?
Unaandika ukiwa umeshatia ugoro au viroba! Ni vyema ungekaa kimya kuficha upuuzi!
 
Wewe mjinga wa kutupa, unakaa ukifikiria uwepo wa mbowe, lema na lisu nje ya nchi una mchango wowote kwenye siasa za Tanzania leo? Hii nchi ina vijana wa hovyo hovyo kweli.
 
Unajua hueleweki unaposema Mbowe amepokelewa vizuri, wewe ulitaka apokelewe vibaya sio?
Unaandika ukiwa umeshatia ugoro au viroba! Ni vyema ungekaa kimya kuficha upuuzi!
Ukute mtoa mada ni graduate wa law school. Hii nchi ina shida kubwa sana kuliko wanasaiasa tulionao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…