Imefika mahali mtu mmoja anakoromea Rais eti mambo yakiwa mabaya hataruhusiwa kugombea.Tusisubiri upinzani kuomba katiba. Katiba sio ya Chama na tusisubiri vyama kwenye hili
.ubovu wa katiba huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imefika mahali mtu mmoja anakoromea Rais eti mambo yakiwa mabaya hataruhusiwa kugombea.Tusisubiri upinzani kuomba katiba. Katiba sio ya Chama na tusisubiri vyama kwenye hili
Wananchi wanaotaka katiba ndio wabinafsi au wanaozuia katiba ndio wabinafsi. Hapa ninamashaka, inaelekea wengi wanadhani katiba ni kwa ajili ya mikutano ya siasa! Wasichojua kuwa katiba inahusu haki zako za msingi za kila kitu katika ustawi wa maisha yako kuanzia mtoto anapoanza tumboni kwa mama yake mpaka atakapozeeka na kufariki, uduni wa elimu ndio unatufanya tukisikia katiba tuone Mbowe anataka kupanda jukwaani! Huu ni ujinga uliokithiri. Nchi zenye watu walioelimika katiba ilikwisha tengenezwa enzi na enzi bila kujali nani ataingia madarakani leo sisi familia za watawala ndizo zimeshika nchi huku akina Mayalla wanaotaka kujipenyeza wakiambiwa viti vyao bado viko kwa fundi Maiko wasubiri.Hao wabinafsi
Hii ni tuhuma nzito sana!, please substanciate ni benki gani, na ni lini tulikopa WB na kuzitumia hizo pesa za WB kulipia mkopo wa bank binafsi?. Kati ya fedha ngumu kuwa diverted ni fedha za WB!. Kila mkopo wana u ring fence kwanza, kisha a length procedure za approval, mpaka zipate no objection ndipo zitoke na zitafanya kile tuu kilichokubaliwa!. Naomba ufafanuzi hapa hilo liliwezekana vipi?.
P
Asante kunielimisha, kumbe Dr. Mwigulu ni very smart, I was not wrong niliposema hivi kumhusu Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!P,
Hii sio tuhuma ni ukweli.
Raisi Magufuli alichukuwa mkopo kwa $1.5 B kutoka Exim bank kama down payment ya reli kwa riba ya 8% kwa miaka 6. Kwa makadirio huu mkopo tungelipa takribani Tsh 700B kwa mwaka. Alivyokuja waziri Mwigulu kwa credit zake aliona kwamba huu sio mkopo mzuri. Sasa wakati ikija mikopo nafuu ya world bank ya Corona. Tanzania kwa ujumla yake wakapewa $500M ndiyo ikaenda kutengeneza shule za watoto huu ni mkopo wa 3% kwa miaka 20 mabao ni mkopo mzuri. World bank waka waambia Tanzania wanaweza kukopa additional $700M kwa masharti hayohayo ya 3% kwa miaka 20. Kilichotokea Mwigulu akampigia Raisi simu na kumwambia na kumuelimisha kwamba tuna mkopo mbaya wa $1.5B ambao karibu tunaanza kuulipa na itakuwa tsh 700B kwa mwaka hivyo tuchukuwe hii pesa na kupipa ule mkopo mbaya na ndiyo walifanya na hata Raisi aliongea hivyo wakati akiwaapisha viongozi kwa media. Hakusema mkopo gani lakini alisema mkopo mmoja kulipa mwingine na alikuwa ana ongelea huu. Hii ni strategy nzuri na sio tuhuma. Hii ni refinance tu ambayo kwa wataalamu tunaunga mkono.
Lakini hii vilevile inaonyesha mikopo mibaya ilikuwepo