Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point !!Tatizo la nchi hii si katiba mpya Bali Ni watu wenyewe.Uganda wanna katiba bora kabisa Ila Sasa Museven anaifanya anavyotaka.Africa katiba haijawahi kuwa Msaada.Wananchi wa kuisimamia katiba hamna
Lakini kwanza ipatikane mbona Kenya wameweza kuisimamia. ?!!Point !!
Nadhani muuliza swali ataelewa na kama hakuelewa tumuongezee ushahidi wa nchi kukopa na kulipa deni lingine Kama wfanyavyo kinamama kwenye Vikoba.
Tatizo la nchi hii si katiba mpya Bali Ni watu wenyewe.Uganda wanna katiba bora kabisa Ila Sasa Museven anaifanya anavyotaka.Africa katiba haijawahi kuwa Msaada.Wananchi wa kuisimamia katiba hamna
Wameanza kukiri wenyewe bila shuruti kuwa nchi inaongozwa na mbumbumbu
View attachment 2439194
Kwa leo nakuunga mkono kwa 100%Sasa utashabikia Wapinzani wasiojielewa hao? Wapinzani njaa Nani awashabikie? Tumeona enzi za Jiwe kilichotokea na wengi waliounga mkono juhudi walinufaika na jasho na rasilimali zangu directly.
I will never repeat tena
😀😀Kuna raia wapo nje huko wanasubiri uchaguzi ukaribie ndipo waje nchini ili wapate kura za kuonewa huruma
Wewe qoomer kama baba yako ni bwabwa nawe ukarithi u bwabwa endeleeni kugawa burudani kwa amaniMaCHADEMA yanaacha shida za wananchi hapa yanazurura ulaya kujifunza ushoga. Pumbavhu saaanaaa
Katiba wanayoishinikiza CHADEMA siyo ya kwao ni kwa ajili ya Tanzania ikiwemo CCM. Mimi ninaona akina Mbowe wamegundua tatizo lilipo na wsnaisaidia nchi.Namshauri Rais Samia kukaa chini na kufikiria vizuri kuhusu siasa kwa ujumla wake. Upinzani hasa CHADEMA nilipopitia mitandao ya majadiliano na navyoona huku USA Mbowe anavyopokelewa ni vizuri kwa manufaa ya nchi Rais awapuuze hao wanaofikiri wakati wa Magufuli utawezekana tena.
Vikao wanavyofanya Mbowe , Lissu na Lema si vidogo na vimejipanga kuhakikisha wakianza kudai katiba na mikutano wana uhakika wa support ya nchi hasa za Magharibi zinazotusaidia. Je, kwanini tusipuuze haya.
Tukipuuza tutakuwa kama Magufuli ambaye mwisho wa miaka yake mitano ndiyo aligundua makosa na kuanza kurekebisha.
Kosa kubwa ni kukopa kwenye bank binafsi kwa muda mfupi na kwa riba ya juu. Mfano bank ya Dunia ili tupa mkopo wa $1.4B kwa riba ya 3% kwa miaka 20 wakati Magu alichukuwa mkopo kutoka bank wa $1.5B kwa riba ya 8.5% kwa miaka 6.
Malipo ya mkopo wa Magu kwa mwaka yalikuwa makubwa kiasa kwamba kati ya mkopo wetu wa $1.4B walichukuwa nusu $700M na kwenda kupunguza mkopo wa Magu wa $1.5B mbao bila kufanyiwa mabadiliko uingekuwa Tsh 700B kwa mwaka.
Sasa je nani anatupa mikopo ya bei rahisi? Nani anatupa $500M kwenye afya kila mwaka? ni hao wadau. Sasa kama Rais ni kupima kama maandamano ya katiba na ndiyo kukosoa Serikali ni sawa na faida nyingi ambazo tunapata kwa wananchi wa kawaida.
Lakini je nani hasa ananufaika na kubana watu au kuzuia wapinzani kuongea? sio Rais Samia bali ni mafisadi pekee ndiyo wanafaidika.
Tuogope sana utulivu kuliko fujo wapinzani kwa muda wametulia na haina maana ni wajinga.
Kinana kwa wale wa Arusha tunamjua ni mfanyabiashara atakuwaacha kweupe.
Katiba wanayoishinikiza CHADEMA siyo ya kwao ni kwa ajili ya Tanzania ikiwemo CCM. Mimi ninaona akina Mbowe wamegundua tatizo lilipo na wsnaisaidia nchi.
Bila katiba mpya na haki tusidanganyike na hadaa za CCM kuwa nchi inakwenda vizuri
Lakini inatakiwa uwe makini sana maana washauri saa nyingine wanaweza kukuingiza mjini. !!..huwezi kumdharau mtu aliyefika nafasi ya juu kiutawala kama huyu mama.
..ni kweli alianguka kimasomo, lakini pia aliamua kuinuka na kujiendeleza, na sasa ni RAISI.
..uzuri wa kazi ya Uraisi ni kwamba anaweza kuwatumia WASOMI NGULI wa ndani na nje kumpa ushauri.
Sio interest ya mtu ni katiba ya wananchi inayotakiwa siyo ya chama itakayompa mwanachi uhuru wa kuongea mstakabali wa ncihi yake,kwa nini mmawakataza wemzenu kufanya mikutano?Poleni sana na personal interests zenu
Atakumbuka shuka kumekuchaLakini je nani hasa ananufaika na kubana watu au kuzuia wapinzani kuongea? sio Rais Samia bali ni mafisadi pekee ndiyo wanafaidika.
Wapinzani njaa waliunga huhudi wazalendo wa kweli bado wanadundaSasa utashabikia Wapinzani wasiojielewa hao? Wapinzani njaa Nani awashabikie? Tumeona enzi za Jiwe kilichotokea na wengi waliounga mkono juhudi walinufaika na jasho na rasilimali zangu directly.
I will never repeat tena
Katiba nayo ni personal interest! Akina Mayalla hufurahia wengine wanapozibwa midomo ili yao ya mapambio na kusifu isikike.Poleni sana na personal interests zenu
Hao wabinafsiKatiba nayo ni personal interest! Akina Mayalla hufurahia wengine wanapozibwa midomo ili yao ya mapambio na kusifu isikike.