Ushauri: Rais Samia kata deal mapema na upinzani kabla ya mazito kuja!

Ziara ya viongozi CDM ngambo Ina impact kubwa sana ktk kuhakikisha tunapata KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.

Wanaobeza umuhimu wa ziara hizo, watakuja jua BAADAYE.

Ameeeen.
 
Tatizo la nchi hii si katiba mpya Bali Ni watu wenyewe.Uganda wanna katiba bora kabisa Ila Sasa Museven anaifanya anavyotaka.Africa katiba haijawahi kuwa Msaada.Wananchi wa kuisimamia katiba hamna
Point !!
 
Nadhani muuliza swali ataelewa na kama hakuelewa tumuongezee ushahidi wa nchi kukopa na kulipa deni lingine Kama wfanyavyo kinamama kwenye Vikoba.

..asante.

..kuna watu wako JF kwa ajili ya kupotosha, na kuharibu mijadala.

..wajibu wetu ni kujitahidi kuchangia kwa ukweli kwa kadiri inavyowezekana.
 
Tatizo la nchi hii si katiba mpya Bali Ni watu wenyewe.Uganda wanna katiba bora kabisa Ila Sasa Museven anaifanya anavyotaka.Africa katiba haijawahi kuwa Msaada.Wananchi wa kuisimamia katiba hamna

..Wananchi waelimishwe kuhusu Katiba na umuhimu wake.

..Wananchi washirikishwe ktk michakato ya kupata Katiba ili waone kwamba Katiba ni ya kwao.

..Katiba ieleze hatua za kuchukua dhidi ya wale watakaoivunja. Katiba lazima iwe vipengele vya kuilinda.

NB:

..Tatizo la Katiba yetu ni kuwa sio ya wananchi.

..Pia ina matobo mengi yanayotoa nafasi kwa watawala kutoiheshimu.

..Kwa mfano Katiba yetu inasema Raisi hawezi kushtakiwa.
 
Wameanza kukiri wenyewe bila shuruti kuwa nchi inaongozwa na mbumbumbu
View attachment 2439194

..huwezi kumdharau mtu aliyefika nafasi ya juu kiutawala kama huyu mama.

..ni kweli alianguka kimasomo, lakini pia aliamua kuinuka na kujiendeleza, na sasa ni RAISI.

..uzuri wa kazi ya Uraisi ni kwamba anaweza kuwatumia WASOMI NGULI wa ndani na nje kumpa ushauri.
 
Elimu ni muhimu sana. Wapo wachumia tumbo pia watakupinga lakini hili jambo linauzito wake . Misaada inayotoka China ni kidogo sana ukilinganisha na nchi za magharibi.
 
Kubali usikubali, mama anaupiga mwingi mfano Mbulu imeanza siku moja na Nairobi lakini hakuna Rais aliyeitambua Mbulu zaidi ya Mama, kwa mara ya kwanza Mbulu inapata Barbara ya lami ndefu sana ya km 25 TOKEA Tanzania izaliwe Halafu tukisema Mama ameupiga mwingi mnabisha pumbavu zenu🐕
 
Katiba Mpya na Tume HURU ya Uchaguzi ndicho tunachotaka
 
MaCHADEMA yanaacha shida za wananchi hapa yanazurura ulaya kujifunza ushoga. Pumbavhu saaanaaa
Wewe qoomer kama baba yako ni bwabwa nawe ukarithi u bwabwa endeleeni kugawa burudani kwa amani
 
Katiba wanayoishinikiza CHADEMA siyo ya kwao ni kwa ajili ya Tanzania ikiwemo CCM. Mimi ninaona akina Mbowe wamegundua tatizo lilipo na wsnaisaidia nchi.

Bila katiba mpya na haki tusidanganyike na hadaa za CCM kuwa nchi inakwenda vizuri
 
Katiba wanayoishinikiza CHADEMA siyo ya kwao ni kwa ajili ya Tanzania ikiwemo CCM. Mimi ninaona akina Mbowe wamegundua tatizo lilipo na wsnaisaidia nchi.

Bila katiba mpya na haki tusidanganyike na hadaa za CCM kuwa nchi inakwenda vizuri

Tusisubiri upinzani kuomba katiba. Katiba sio ya Chama na tusisubiri vyama kwenye hili
 
Lakini inatakiwa uwe makini sana maana washauri saa nyingine wanaweza kukuingiza mjini. !!
 
Poleni sana na personal interests zenu
Sio interest ya mtu ni katiba ya wananchi inayotakiwa siyo ya chama itakayompa mwanachi uhuru wa kuongea mstakabali wa ncihi yake,kwa nini mmawakataza wemzenu kufanya mikutano?
 
Sasa utashabikia Wapinzani wasiojielewa hao? Wapinzani njaa Nani awashabikie? Tumeona enzi za Jiwe kilichotokea na wengi waliounga mkono juhudi walinufaika na jasho na rasilimali zangu directly.

I will never repeat tena
Wapinzani njaa waliunga huhudi wazalendo wa kweli bado wanadunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…