RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Kama wameua mateka wengine watatu Tena waisrael wenzao, na wamekili wenyewe wanashindwa vipi kumuua huyo mtanzania mwenzetu?. Maana tuliambiwa ametekwa tangu Oct 7, kumbe Israeli walijua kama kashakufa Kwa nini walificha?. Wanachofanya nikutekeleza mauwaji wenyewe kisha waonekane Hamas ndio wamefanya. Maana hata Hamas wao ndio waanzilishi, hao wayahudi hawashindwi kufanya lolote.Wayahudi wamemkaribisha kwao akajifunze kilimo na yeye sio wa kwanza kwenda kwenye huo mpango warudi wamuue mchana kweupe ili IWEJE ?
dogo ukiwa na nyege tulia kwanza ziishe ndio ufikirie nini cha kuandika na nini sio cha kuandika humu, hakuna mtu anaefurahia mauaji ila sidhani kama nchi inaweza kufikia hatua ya kumfukuza balozi kwa misingi unayoileta wewe hapa. Hivi kati ya balozi wa israel na palestina ni yupi ambae anapaswa kufukuzwa nchini?Haiwezekani kuwa na urafiki wa Kidiplomasia na nchi yenye vikundi vya kihuni na kikatili Kwa kiwango hiki. Kuna wanasiasa wajinga wanawatetea Hamas inashangaza sana..! Binafsi namuomba Rais wetu amfurushe BALOZI wao ndani ya masaa 48 yajayo. Kama rais hatafanya hivyo, tutaitisha maandamano makubwa Dar na Dodoma kushinikiza huyo BALOZI wa taifa la wahuni atupishe nchini kwetu.
Huu ndio ukweli, wajinga ndio wataamini hizo propaganda za wayahudi.Mnatengeneza video za propaganda Ili kututoa Kwenye ugaidi wa mazayuni. Israel. Watanzania wengi ni finyu sana ktk kufikiri .
Kama Clemence na Joshua walitekwa siku Moja Kwanini hizi propaganda zenu zinakuja siku tofauti tofauti na mazingira tofauti.
Hao vijana wote wawili walikuwa Israel na sio Palestine.Mateka wote waliochukuliwa na Hamas waliondoka nao mafichoni.Haingii akilini umteke mtu halafu umuache mtaani. Huyo km ni kweli Joshua ni wazi alikuwa mtaani. Kama ni mtaani ni dhahiri ameuliwa Israel.
Pia siku Hamas waliyovamia Israel hawakwenda na mabaiskeli.
Ni mtu mjinga na mbumbumbu ndio anaweza kuamini hiyo video.
Hawa wameuliwa uwanja wa vita kimakosa ni collateral damage na wamekiri huyu amechinjwa njiani akirudi shambani …kilichofanya wasiwe na taarifa hawa mbwa waliondoka na mwiliKama wameua mateka wengine watatu Tena waisrael wenzao, na wamekili wenyewe wanashindwa vipi kumuua huyo mtanzania mwenzetu?. Maana tuliambiwa ametekwa tangu Oct 7, kumbe Israeli walijua kama kashakufa Kwa nini walificha?. Wanachofanya nikutekeleza mauwaji wenyewe kisha waonekane Hamas ndio wamefanya. Maana hata Hamas wao ndio waanzilishi, hao wayahudi hawashindwi kufanya lolote.
Tupo nyuma yako Mheshimiwa Waziri Mkuu. Hao majamaa ni wanyama sana.Hamas ni kundi la kigaidi
Serikali Haina huo ujinga.Tzn na Palestine ni marafiki wa kihistoria Toka enzi za Arafat na Nyerere.Ukiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisaa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea Kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauwaji walijua fika kuwa Yule siyo Muisrael kulingana na wajihi wake na rangi yake.
Ukatili aliofanyiwa Joshua hauvumiliki.. Haiwezekani kuwa na urafiki wa Kidiplomasia na nchi yenye vikundi vya kihuni na kikatili Kwa kiwango hiki. Kuna wanasiasa wajinga wanawatetea Hamas inashangaza sana..! Binafsi namuomba Rais wetu amfurushe BALOZI wao ndani ya masaa 48 yajayo. Kama rais hatafanya hivyo, tutaitisha maandamano makubwa Dar na Dodoma kushinikiza huyo BALOZI wa taifa la wahuni atupishe nchini kwetu.
Najua vijana wa system mmejaa hapa JamiiForums na wengine tunawajua, mwambieni Rais amuondoe huyo BALOZI haraka! Kwenye nchi zingine huyo BALOZI angekuwa ameshanyolewa au yeye mwenyewe angejitokeza kukemea huo uhuni na Ukatili uliovuka mpaka.
Nawasilisha!
Huu ndio ukweli, wajinga ndio wataamini hizo propaganda za wayahudiMnatengeneza video za propaganda Ili kututoa Kwenye ugaidi wa mazayuni. Israel. Watanzania wengi ni finyu sana ktk kufikiri .
Kama Clemence na Joshua walitekwa siku Moja Kwanini hizi propaganda zenu zinakuja siku tofauti tofauti na mazingira tofauti.
Hao vijana wote wawili walikuwa Israel na sio Palestine.Mateka wote waliochukuliwa na Hamas waliondoka nao mafichoni.Haingii akilini umteke mtu halafu umuache mtaani. Huyo km ni kweli Joshua ni wazi alikuwa mtaani. Kama ni mtaani ni dhahiri ameuliwa Israel.
Pia siku Hamas waliyovamia Israel hawakwenda na mabaiskeli.
Ni mtu mjinga na mbumbumbu ndio anaweza kuamini hiyo video.
Video imepatikanaje?.Hawa wameuliwa uwanja wa vita kimakosa ni collateral damage na wamekiri huyu amechinjwa njiani akirudi shambani …kilichofanya wasiwe na taarifa hawa mbwa waliondoka na mwili
Hakuna vita ambayo mpiganaji anaondoka na maiti ya adui unless huyo adui ana influence kubwa sana kwa upande wa adui.... sasa why hamas waondoke na mwili wa Joshua na wakae nao kimya kwa siku zote hizo tangu oct?Hawa wameuliwa uwanja wa vita kimakosa ni collateral damage na wamekiri huyu amechinjwa njiani akirudi shambani …kilichofanya wasiwe na taarifa hawa mbwa waliondoka na mwili
Nyie vijana jaribuni kuficha uchi wa akili zenu. Hivi hujui hadi sasa wanafunzi wa SUA pitia SUGECO kwenda Soma Israel na kufanya field Israel? Sio SUA tu kuna vyuo vingi hata vya Diploma hupeleka vijana kusoma Kilimo na mifugo kwa vitendo Israel. Hivi hukaona yule mwingine aliyeuliwa mwanzo aliyekuwa anasoma Horticulture pale SUA jina lake likiwemo kama mmojawapo wa graduates wa Horticulturekwa mwaka 2023? Pumbavu kabisa wewe dogo.Kwanza mueleze alikua anasoma SUA ipi huko Israel??
Alikua akiishi mitaa gani na alitekewa wapi, bila hivyo hizo ni kelele tu kama kelele zingine
Hamas walivamia israel wakiwa na bodycam kurekodi matukio yote.Huu ndio ukweli, wajinga ndio wataamini hizo propaganda za wayahudi
Video imepatikanaje?.
Acha uongo mbweha mkubwaMnatengeneza video za propaganda Ili kututoa Kwenye ugaidi wa mazayuni. Israel. Watanzania wengi ni finyu sana ktk kufikiri .
Kama Clemence na Joshua walitekwa siku Moja Kwanini hizi propaganda zenu zinakuja siku tofauti tofauti na mazingira tofauti.
Hao vijana wote wawili walikuwa Israel na sio Palestine.Mateka wote waliochukuliwa na Hamas waliondoka nao mafichoni.Haingii akilini umteke mtu halafu umuache mtaani. Huyo km ni kweli Joshua ni wazi alikuwa mtaani. Kama ni mtaani ni dhahiri ameuliwa Israel.
Pia siku Hamas waliyovamia Israel hawakwenda na mabaiskeli.
Ni mtu mjinga na mbumbumbu ndio anaweza kuamini hiyo video.
Naunga mkonoUkiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauaji walijua fika kuwa yule siyo Muisrael kulingana na wajihi wake na rangi yake.
Ukatili aliofanyiwa Joshua hauvumiliki.. Haiwezekani kuwa na urafiki wa Kidiplomasia na nchi yenye vikundi vya kihuni na kikatili Kwa kiwango hiki. Kuna wanasiasa wajinga wanawatetea Hamas inashangaza sana..!
Binafsi namuomba Rais wetu amfurushe BALOZI wao ndani ya saa 48 zijazo. Kama Rais hatafanya hivyo, tutaitisha maandamano makubwa Dar na Dodoma kushinikiza huyo BALOZI wa taifa la wahuni atupishe nchini kwetu.
Najua vijana wa system mmejaa hapa JamiiForums na wengine tunawajua, mwambieni Rais amuondoe huyo BALOZI haraka! Kwenye nchi zingine huyo BALOZI angekuwa ameshanyolewa au yeye mwenyewe angejitokeza kukemea huo uhuni na Ukatili uliovuka mpaka.
Nawasilisha!
Nikuulize swali unafatilia hivyo vita tangu vinaanza au leo ndio unataka upashwe habari zote humu? https://tass.com/world/1714413/ampHakuna vita ambayo mpiganaji anaondoka na maiti ya adui unless huyo adui ana influence kubwa sana kwa upande wa adui.... sasa why hamas waondoke na mwili wa Joshua na wakae nao kimya kwa siku zote hizo tangu oct?
Elezeeni vizuri huyu ameuawa akiwa wapi???? Isijekua kuwa alikua na vikosi vya Israel kama yule wa Ukraine!!
Balozi wa Palestina nchini anaiwakilisha serikali ya Rais Mahmoud Abbas ambaye anatawala eneo kubwa la West Bank (Ukingo wa Magharibi). Na serikali hii inaamini kuundwa kwa Taifa la Wapalestina kupitia njia ya mazungumzo na Israel.Ukiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauaji walijua fika kuwa yule siyo Muisrael kulingana na wajihi wake na rangi yake.
Ukatili aliofanyiwa Joshua hauvumiliki.. Haiwezekani kuwa na urafiki wa Kidiplomasia na nchi yenye vikundi vya kihuni na kikatili Kwa kiwango hiki. Kuna wanasiasa wajinga wanawatetea Hamas inashangaza sana..!
Binafsi namuomba Rais wetu amfurushe BALOZI wao ndani ya saa 48 zijazo. Kama Rais hatafanya hivyo, tutaitisha maandamano makubwa Dar na Dodoma kushinikiza huyo BALOZI wa taifa la wahuni atupishe nchini kwetu.
Najua vijana wa system mmejaa hapa JamiiForums na wengine tunawajua, mwambieni Rais amuondoe huyo BALOZI haraka! Kwenye nchi zingine huyo BALOZI angekuwa ameshanyolewa au yeye mwenyewe angejitokeza kukemea huo uhuni na Ukatili uliovuka mpaka.
Nawasilisha!
Asante sana MAMA MPUMBAVU maana we ndo ulizaa na babangu!!Nyie vijana jaribuni kuficha uchi wa akili zenu. Hivi hujui hadi sasa wanafunzi wa SUA pitia SUGECO kwenda Soma Israel na kufanya field Israel? Sio SUA tu kuna vyuo vingi hata vya Diploma hupeleka vijana kusoma Kilimo na mifugo kwa vitendo Israel. Hivi hukaona yule mwingine aliyeuliwa mwanzo aliyekuwa anasoma Horticulture pale SUA jina lake likiwemo kama mmojawapo wa graduates wa Horticulturekwa mwaka 2023? Pumbavu kabisa wewe dogo.
Israel itawatafuna woteTupo nyuma yako Mheshimiwa Waziri Mkuu. Hao majamaa ni wanyama sana.