thetowerofbabel
JF-Expert Member
- Jul 17, 2010
- 266
- 360
You are too stupid to argue with me...Wewe pia ni mjinga au ndani yako una roho ya ugaidi. Au wewe ni miongoni mwa masalia ya yale magaidi ya Kibiti ambayo sahizi yapo Msumbiji.
Hiyo historia ya mgogoro wa Palestina ina husiana vipi na kijana wetu aliyeuawa kinyama na haya mashetani?
Siamini kama kuna mtu mwenye akili timamu na mwenye utu wa kibinadamu anaweza kuona haya mashetani ya Hamas yalichokifanya ni sahihi.
Hii inatupa picha halisi ya haya magaidi ya Hamas jinsi yalivyo. Kwa majitu kama haya, inachofanya Israel dhidi yao ni sahihi. Maana majitu ya namna hii, usipoyadhibiti, yatamaliza watu wote.
Waisraeli wote ni lazima wafundishwe kiarabu !Hii nchi ifikie kipindi tuache mihemko isiyokua na msingi, hivi kwa akili ya kawaida unadhani hao Israel hawawezi kutamka Allah Akbar kwa lengo la kutengeneza propaganda?
NDO TUWE TUNATETEA HIVI. TUSEME WALE NI WAYAHUDI SIO WAPALestinaUnaaminije kama wale ni wapalestina?. Na mbona video imekatwakatwa sana?. Na kwanini video itolewe Jana wakati tunaambiwa alikua mateka?.
Vipi mwingine akisema wale waliomuua niwayahudi.
Tanzania ilikuwa na Urafiki hata na INTEREHAMWE wakati wanauwaua Watutsi huko Rwanda.Serikali Haina huo ujinga.Tzn na Palestine ni marafiki wa kihistoria Toka enzi za Arafat na Nyerere.
Tena yalivyo majinga yangeanza na kuchoma makanisaIngekuwa Israel ndiyo imefanya waislam wote wangeandamana
Duh akili za hovyoUnaaminije kama wale ni wapalestina?. Na mbona video imekatwakatwa sana?. Na kwanini video itolewe Jana wakati tunaambiwa alikua mateka?.
Vipi mwingine akisema wale waliomuua niwayahudi.
Naona hoja kwa mbaali, ila usikane uhusika wa magaid ya hamasi maana yamekiriKabla ya kujadili masuala uliyoyaleta mezani kuna masula nayo inatubidi tuyaweke pia mezani.
Mamlaka ya Palestina chini ya Mahmoud Abbas ndiyo wenye ubalozi hapa nchini.
Hamas ipo chini ya Ismail Haniyeh ambao hatuna uhusiano nao wowote wala ubalozi.
Mbali na hilo video iliyotoka bado inamkanganyiko mwingi lakini kwa wale wenye kupenda kutafakari.
Muhimu tujipe muda.
Jibu muruwa, lakini linazua maswali mengi mbona Abu Mazen hakemei vitendo vya Hamas vya kuua hata wasiohusika?Kabla ya kujadili masuala uliyoyaleta mezani kuna masula nayo inatubidi tuyaweke pia mezani.
Mamlaka ya Palestina chini ya Mahmoud Abbas ndiyo wenye ubalozi hapa nchini.
Hamas ipo chini ya Ismail Haniyeh ambao hatuna uhusiano nao wowote wala ubalozi.
Mbali na hilo video iliyotoka bado inamkanganyiko mwingi lakini kwa wale wenye kupenda kutafakari.
Muhimu tujipe muda.
Ndugu yangu, Hamas mpaka muda huu sijaona taarifa yao yoyote waliyokiri kuhusika na hilo tukio na nina sababu.Naona hoja kwa mbaali, ila usikane uhusika wa magaid ya hamasi maana yamekiri
Mosi, Hamas sio nchi. Pili ingefaa usome historia ya mashariki ya kati, ujue vizuri chanzo cha mgogoro ulioko pale. Ukitegemea tu hizi media ambazo zinamilikiwa na wazungu, utabaki kuamini tu wapalestina ni magaidi kumbe wanapigania ardhi yao waliyo dhulumiwa na waisrael. Tatu, wew una hakika gani kwamba hao vijana waTanzania wameuawa na Hamas? Kama walitekwa wakawa wanashikiliwa na Hamas, halafu mabom ya waisrael yakawauwa, huoni kwamba Israel pia anapaswa kulaumiwa? Angalia aljazeera uone anachofanya muisrel.Ukiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauaji walijua fika kuwa yule siyo Muisrael kulingana na wajihi wake na rangi yake.
Ukatili aliofanyiwa Joshua hauvumiliki.. Haiwezekani kuwa na urafiki wa Kidiplomasia na nchi yenye vikundi vya kihuni na kikatili Kwa kiwango hiki. Kuna wanasiasa wajinga wanawatetea Hamas inashangaza sana..!
Binafsi namuomba Rais wetu amfurushe BALOZI wao ndani ya saa 48 zijazo. Kama Rais hatafanya hivyo, tutaitisha maandamano makubwa Dar na Dodoma kushinikiza huyo BALOZI wa taifa la wahuni atupishe nchini kwetu.
Najua vijana wa system mmejaa hapa JamiiForums na wengine tunawajua, mwambieni Rais amuondoe huyo BALOZI haraka! Kwenye nchi zingine huyo BALOZI angekuwa ameshanyolewa au yeye mwenyewe angejitokeza kukemea huo uhuni na Ukatili uliovuka mpaka.
Nawasilisha!