Ushauri tafadhali: Nimchague yupo kati ya single mother na Bar maid?



Mcheki Maza ako maana ndo anajua kichaa chako kama kilipungua
 
Usituchoshe bure wewe ndiyo unawafahamu zaidi kiasi cha kufanya maamuzi mwenyewe.Sisi tukuchagulie kweli na wewe ndiyo unajua sifa zao! Hata hivyo ningekuwa mimi ningewapiga chini wote na kutafuta wife material.Ukifanya uamuzi wa kuoa mmoja wapo wa hao usisite kuja hamvini kutupatia mrejesho wa ndoa kusambaratika.
 
Oa bamedi maana huyu ataturia kama una hamau ya kupata kitunguu maji oa single mother
 
Just imagine unaongea na mama yako kuhusu hili suala, unadhani yeye angependelea yupi kati ya hao wawili.

NB: kibiblia mama yako ndo anajua sifa za mke anayekufaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…