Ushauri tafadhali: Nimchague yupo kati ya single mother na Bar maid?

Watoto wawili kila mmoja na baba yake bro ur the next victim kama utachagua single mother
 
Unaweza Kuta mwanamke ni Bar maid harafu single mom.Patamu hapo 😁😁
 
Hii dunia watu wana roho mbaya sana,wanaokomenti hapa wengine tayari walishaoa single mama,wanaugulia hawataki kusema ukweli ili mwamba apate abcd,the same wapo waliooa barmaid lakini hawataki kutoa uzoefu.......mkuu ukileta Uzi baada ya kuoa mmoja wao ndiyo watakupa majibu πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…