Ushauri tafadhali: Nimchague yupo kati ya single mother na Bar maid?

Kama unataka kufa mwakani, oa huyo singo maza
 
Single mother,huyu ataendelea kuwasiliana na wazaz wenzake so kupasha vipolo inaweza kutokea japo sio lazima,huyu bar maid ndio achana nae kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Sijaisoma thread yako ila kichwa cha habari kimenifanya nicommmet..BAR MAID anafaa sana. Wengi wao ni wake wazuri sana..story za maisha waliyopitia na changamoto za maisha ndio zimewafanya wawe hapo...unaweza ukambadilisha akawa mke Mzuri...ila single mother sikushauri wengi ni problematic huwezi ishi nae..
 
Mkubwa niaje? Kwa uzoefu wangu wengi wa mabarmaid wamepita kwenye ndoa na Wana watoto huko walikotoka,halafu kama ni changamoto kwa maisha yetu ya kibongo ni wanawake wengi wanapitia ila kinachofanya waingie kwenye ubarmaid ni hulka ya uhuni na kupata pesa bila jasho,maana Kuna kazi nyingi sana za kufanya ambazo zinaendana na maadili lakini wao hawazitaki,halafu hapo kwenye kumbadilisha mtu asije akajidanganya hata siku moja,yani kama Mungu tu aliyemuumba ameshindwa kumbadilisha tabia mpaka anafanya kazi isiyo na maadili yeye ni nani hasa mpaka aweze kumbadilisha?
 
Daladala iwe gari binafsi ya kutembelea..? Mmmhh lift itakua ya watu wengi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…