Ushauri tafadhali: Nimchague yupo kati ya single mother na Bar maid?

Mm kuna dada nimezaa nae na tayari tushatemana na anamtu wake tayari na mtoto nakaa nae kila akija kumuona mtoto uwa ni mim tu ndiyo naamua kumuacha, sasa siku ya mkesha akanipgia anataka kuja ghetto usiku saa nne akaja akalala na mchezo nikala tena wa kiwango cha juu nilikuja gundua aligombana na uyo jamaa yake kauli alotoa kuwa wazaz uwa hawaachani hata sema sikupenda na sasa najitahidi kumkwepa sana so utapata jibu by experience kwa single mother.
 
Single maza sio wa kufanya nao maisha
 
Single maza sio wa kufanya nao maisha
 
Single maza sio wa kufanya nao maisha
Hakika kaka yani nachokiona we acha tu kila akimis mchezo kaja kwangu kwa jamaa anampiga pesa ananitumia ananambia mnunulie mtoto kitu fulan sasa binafsi nikampiga stop mana sijawahi shindwa kumuhudumia mwanangu lakin anadai namnyima uhuru wakumuhudumia mwanae pale anapoweza, na tangu agundue namkwepa ndiyo akatoa kauli kuwa wazazi hawaachani tena alienda mbali akadai hata aolewe au nioe bado tutakulana tu akiamua kwani ananijua vyema anajua wapi aanzie.
 
Achana nao hao wote wawili.

Tafuta mwingine.
 
Aisee
 
Sure naona kwa jirani yangu hapa, alibeba huyo miaka ya nyuma huko hadi leo they're walking pamoja.

Japo huyu ana kiburi tu jamaa anadai nasi tunaona 😃!.
 
Zote ngumu kumeza ebu endelea kutafta afu ulete tkuchagulie tena ikipendeza uje na picha zao
 
Kuoa single maza hakuna tofauti na kujichimbia kaburi lako kabisa alafu uwe unalala humo kulilinda huku unasubiria siku ya kufa
 
🤔🤔🤔🤔Kwaiyo nilikua nachapiwa unataka kusema dah Eeh Mungu nieoushe na hiki kikombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…