FredKavishe
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,090
- 318
Pia kwenye katiba wajadili kuhusu viti vya ubunge vya zanzibar ni vingi kuliko eneo lenyewe pendekezo wabunge kiwango cha chin wawe 5 cha juu wasizidi 10 kutoka zanzibar'hapa tutasave zaidi ya wabunge 80'kwa total za mwez tuseme ni 5 mil tsh'kwa mwaka bilion 4.8 tsh kwa miaka mitano 22 bilioni tsh'hii ikiweka na kifuta mgongo si chini ya bilioni 25
Mapenzi mabaya sasa hawa wabunge viti maalumu wa Chadema wana kazi gani bungeni?
Ebu nitajie mchango hwa Mbunge Rose Kamili, Ester Matiku, Cristiana Lissu, Regia Mtema, yule mtoto wa Ndesamburo na mtoto wa Mashishanga..
wapo wengi hawafai, hakuna mbunge makini viti maalum sio CCM wala Chadema, CUF wote ni pumba tu..
Viti maalum vifutwe vyote ni mzigo kwa taifa

mami. reo umeongea pointi.
Hii naiona ina ukweli. Ukichunguza bungeni,wabunge wa CCM wanao argue criticaly na hata kuweza kupinga baadhi ya miswada ya serikali ni wale wa kuchaguliwa na wananchi. Wa kuteuliwa huwa wanapiga makofi na kushangilia chochote kile kinacholetwa,hata kama ni pumba!.
Ni kawaida ya mtu dhaifu kumuhusisha mwingine kwenye madhaifu yake ili mradi tu waonekane wote si bora. Mfn: toto la mtu juha likifeli darasani, baba yake hasemi mwanangu amefeli, badala yake atasema 'mwaka huu watoto wamefeli sana' wkt aliyefeli ni wake. Kumlinganisha Ester Matiku na Rita Mlaki ni ukosefu wa maono na nina kila sababu ya kuamini husikilizi bunge wewe. Reading btn the lines, unachojaribu kufanya na ku-equalize madudu at any cost na ndio maana umeleta hii dhana ya "Ndesamburo na mtoto wa Mashishanga" just to tell us kuna namna nyingine mbaya ya uchaguliwaji wao.Naweza kukubaliana nawe kwa upande mmoja; ila ukiwaweka wote kwenye miazini moja nadhani utakubaliana nami kuwa ni afadhali kuwa na mbunge asiyesema lolote bungeni kuliko mbunge anayetetea upuuzi.