USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

Pia kwenye katiba wajadili kuhusu viti vya ubunge vya zanzibar ni vingi kuliko eneo lenyewe pendekezo wabunge kiwango cha chin wawe 5 cha juu wasizidi 10 kutoka zanzibar'hapa tutasave zaidi ya wabunge 80'kwa total za mwez tuseme ni 5 mil tsh'kwa mwaka bilion 4.8 tsh kwa miaka mitano 22 bilioni tsh'hii ikiweka na kifuta mgongo si chini ya bilioni 25
 
Najua wanawake watapiga kelele ya haki solutioni ni katika kila mkoa kutenga atkeast majimbo 3 mpaka 4 kwa ajili ya wanawake tu
 
Pia kwenye katiba wajadili kuhusu viti vya ubunge vya zanzibar ni vingi kuliko eneo lenyewe pendekezo wabunge kiwango cha chin wawe 5 cha juu wasizidi 10 kutoka zanzibar'hapa tutasave zaidi ya wabunge 80'kwa total za mwez tuseme ni 5 mil tsh'kwa mwaka bilion 4.8 tsh kwa miaka mitano 22 bilioni tsh'hii ikiweka na kifuta mgongo si chini ya bilioni 25

Mbunge zanzibar = mwenyekiti wa kijiji bara.
 
Huu ni ukweli usiopingika kabisa kwamba hizi ofa wanazopewa hawa kina mama wa CCM kuingia bungeni wanazitumia vibaya.

Mara nyingi nimekuwa nikuatilia vikao vya bunge,na kwa umakini niliougundua ni kwamba, wabunge hao wa CCM hawako mle ndani kwa ajili ya kutetea maslahi ya watanzania bali kwa ajili ya kulinda chama chao na wale waliowapa ofa..

Wamekuwa ndio chanzo kikubwa cha kuvuruga amani bungeni,huku spika wao akiwakingia kifua.
Kutetea hoja zisizokuwa na kichwa wala mguu..
Hakuna wanachojua zaidi ya umbea tu.
 
Hii naiona ina ukweli. Ukichunguza bungeni,wabunge wa CCM wanao argue criticaly na hata kuweza kupinga baadhi ya miswada ya serikali ni wale wa kuchaguliwa na wananchi. Wa kuteuliwa huwa wanapiga makofi na kushangilia chochote kile kinacholetwa,hata kama ni pumba!.
 
nakubaliana na wewe 100% yaani huu ubunge ni the largest prostitution industry in the country, jana nimemsikia mtu anaitwa lucy mayenga nimetapika, kwanza mjinga, hawafundishwi kujenga hoja, hana hoja anaonekana hasomi wala haelewi kinachoendelea, wamejaa mipasho ni uswahili kama mwenyekiti wao, hawa jamani tuwafuteni haraka kupitia katiba inayokuja mbwa hawa watatuletea vita nchi hii kwa ajili ya maslahi yao. hakuna hata mmoja anayeongelea maslahi ya taifa hili kila anayefungua mdomo ni ushuzi usiona kifani sasa huyu anayejiita anatetea viijana anaelewa procurement act inasemaje na nini kinachoendelea? kwanza anadai anapinga hoja kwa 100% halafu anasema mianya ililyopi izibwe, anajidai kutumia data lakini hajui aziweke wapi nimechoka kabisa na kuzimia na hiyo low quality
 
Mapenzi mabaya sasa hawa wabunge viti maalumu wa Chadema wana kazi gani bungeni?

Ebu nitajie mchango hwa Mbunge Rose Kamili, Ester Matiku, Cristiana Lissu, Regia Mtema, yule mtoto wa Ndesamburo na mtoto wa Mashishanga..

wapo wengi hawafai, hakuna mbunge makini viti maalum sio CCM wala Chadema, CUF wote ni pumba tu..

Viti maalum vifutwe vyote ni mzigo kwa taifa
 
si ndio anawatumia hao viburudisho wake?
Akisha waambukiza wanaitwa watoto wa mama salma,
Vilaza tu . .
 
Naona kuna haja ya kudraft qualification za hao wabunge!
Maana naona huwa wanatapika tuu bungeni
 
Mapenzi mabaya sasa hawa wabunge viti maalumu wa Chadema wana kazi gani bungeni?

Ebu nitajie mchango hwa Mbunge Rose Kamili, Ester Matiku, Cristiana Lissu, Regia Mtema, yule mtoto wa Ndesamburo na mtoto wa Mashishanga..

wapo wengi hawafai, hakuna mbunge makini viti maalum sio CCM wala Chadema, CUF wote ni pumba tu..

Viti maalum vifutwe vyote ni mzigo kwa taifa

mami. reo umeongea pointi.
 
Naweza kukubaliana nawe kwa upande mmoja; ila ukiwaweka wote kwenye miazini moja nadhani utakubaliana nami kuwa ni afadhali kuwa na mbunge asiyesema lolote bungeni kuliko mbunge anayetetea upuuzi.
 
kiukweli enzi za upendeleo zimekwisha. Waingie bungeni kw nguvu zao ili waone uchungu wa kutetea hoja dhaifu
 
Viti maalumu vifutwe havina tija kwa wananchi iwe cdm'cuf'ccm' wote hawana faida kwetu wanakula ela zetu za kodi
 
Unajua WABUNGE wengi wa CCM ni MA-USED toka wizara na taasisi mbalimbali za umma na wengi hugombea ubunge ili kutafuta retirement funds na sio kuwakilisha wapiga kura wao kwani wanakuwa wamekwishachoshwa na utumishi wa umma.hivyo viti maalumu (vitu maalumu) ni kwa ajili ya matumizi maalumu pia, kama vile kuvuruga hoja za wabunge makini wa upinzani.
 
Kweli kabisa viti maalum ndo wanaoleta umbea ndani ya bunge letu ,wao ni kushangilia pumba na kuzomea points,ni wabunge waajabu sana hawa ,wafutwe ,tazama wabunge waliopigania majimboni kama halima mdee,ana kilango na jenista mhagama wanavyochapa kazi bungeni ,,kiukweli utawapenda.
 
Wabunge wa viti maalumu ni viburudisho vya wakubwa, napendekeza vifutwe, havina tija,
 
Hii naiona ina ukweli. Ukichunguza bungeni,wabunge wa CCM wanao argue criticaly na hata kuweza kupinga baadhi ya miswada ya serikali ni wale wa kuchaguliwa na wananchi. Wa kuteuliwa huwa wanapiga makofi na kushangilia chochote kile kinacholetwa,hata kama ni pumba!.

Mbona Wapo Pale Kwa Kazi Maalumu Tuu!! Wajinga Ndio Tuliwao!! Kazi YAo Kuu Ni kuzomea zomea ili Kuwavuruga wanaotaka kuleta Hoja za Msingi!! Halafu Unashangaa watu Hawjui Kwa nini Tanzania ni Maskini Hadi Sasa!! Hii ndio Chanzo ya sababu!!
 
Naweza kukubaliana nawe kwa upande mmoja; ila ukiwaweka wote kwenye miazini moja nadhani utakubaliana nami kuwa ni afadhali kuwa na mbunge asiyesema lolote bungeni kuliko mbunge anayetetea upuuzi.
Ni kawaida ya mtu dhaifu kumuhusisha mwingine kwenye madhaifu yake ili mradi tu waonekane wote si bora. Mfn: toto la mtu juha likifeli darasani, baba yake hasemi mwanangu amefeli, badala yake atasema 'mwaka huu watoto wamefeli sana' wkt aliyefeli ni wake. Kumlinganisha Ester Matiku na Rita Mlaki ni ukosefu wa maono na nina kila sababu ya kuamini husikilizi bunge wewe. Reading btn the lines, unachojaribu kufanya na ku-equalize madudu at any cost na ndio maana umeleta hii dhana ya "Ndesamburo na mtoto wa Mashishanga" just to tell us kuna namna nyingine mbaya ya uchaguliwaji wao.

Mtoa mada hapa km nimemwelewa vizuri, amelenga kwenye ile tabia ya kupigia makofi ujinga bila kuwa na hoja kwa minaajil ya kulipa fadhila. Na kweli hili ni tatizo. Bunge limekuwa influenced na siasa kiasi jana Mwenyekiti wa kikao cha jana cha bunge (MP Simbachawene) alianzisha biashara mpya ya kuwapromote wabunge wa CCM kiushabiki. Akisimama mbunge wa CCM ataanza kupamba.."huyu ni mtaalam wa mambo ya ugavi huyu..haya tumsikilize" "maneno ya mtu mzima hayo nafikiri wote tumeyasikia". Kwa kifupi ule ni ufukunyuku wa kutumia madaraka vibaya. Ni jukumu letu Watanzania kuhakikisha wabunge wa CCM wanapungua bungeni kila uchaguzi unapokuja, otherwise ndio tumefika hapa.
 
Mapenzi mabaya sasa hawa wabunge viti maalumu wa Chadema wana kazi gani bungeni?

Ebu nitajie mchango hwa Mbunge Rose Kamili, Ester Matiku, Cristiana Lissu, Regia Mtema, yule mtoto wa Ndesamburo na mtoto wa Mashishanga..

wapo wengi hawafai, hakuna mbunge makini viti maalum sio CCM wala Chadema, CUF wote ni pumba tu..

Viti maalum vifutwe vyote ni mzigo kwa taifa

Mmmmh!!!!! Kwa mara ya kwanza leo kidogo umeongea point. Hongera kwa hatua nzuri, umeanza kusimama dede lol.
 
Back
Top Bottom