FredKavishe
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,090
- 318
Pia kwenye katiba wajadili kuhusu viti vya ubunge vya zanzibar ni vingi kuliko eneo lenyewe pendekezo wabunge kiwango cha chin wawe 5 cha juu wasizidi 10 kutoka zanzibar'hapa tutasave zaidi ya wabunge 80'kwa total za mwez tuseme ni 5 mil tsh'kwa mwaka bilion 4.8 tsh kwa miaka mitano 22 bilioni tsh'hii ikiweka na kifuta mgongo si chini ya bilioni 25