BABA JUNJO
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 241
- 14
kweli aiseee viti maalum havina maana kabisaaa!
Mkuu in addition to that, wameangalia pia ujamaa, undugu na uswahiba. Tuliwalaumu CCM kwa hili lakini CHADEMAnao wanakula matapishi yao, Baba, mtoto, mkwe, mzazi mwenza (former wife), n.k. CHADEMA duuh! yaani kwa vinafasi hivi vichache wamejaza ndugu na jamaa jee wakipewa nchi nzima si kila kiongozi atabeba jamaa na ndugu yake. Mwnanchi zinduka CHADEMA chama cha KIFAMILIA!!!!
Kujadili undugunazesheni ni hoja muhimu wala si kubomoa,ni changamoto kwa Chadema NA DEMOKRASIA pia ,kwa mfano Mkoa wa SIngida umetoa wabunge wawili je ,wamezingatia jiografia na mgawanyiko wa majimbo!kama wanataka kujenga chama wamengechagua na majimbo ya Iramba ambako CCM imweka kambi!
ni viti maalum vya kukalia wakati wa kula na kupindisha hoja na pia kumchagua chenge kuwa spika. Unadhani da sofi angesimama jimbo gani ili aweze kuchaguliwa?
wako kwenye biashara zao hao.. hawana lolote.. kuna watu kaka ester bulaya.. kadanganya ana elimu ya chuo lakini ni darasa la kumi.... vicky kamata.. jamani.. kila mtu anataka kwenda mjengoni.. naona suruhisho wabunge walipwe mshahara mdogo kuloki waalimu..... sasa watu kama anna abdallah anatafuta nini.. hii ni kuwazibia tu wengine
hapo kwenye red&bold ndipo mafisadi wasipotaka kusikia mtu, ama anaota au anasema laivu
Red and Bold: Imenifanya nizimie dakika 3