Ushauri: Tundu Lissu usihudhurie Interview nyingine itakayopangwa na WASAFI FM

Asipohudhuria nani atakuwa anamkomia mwenzake?
 
Kuna tatizo gani mtoa mada kutoa angalizo? Kama muhalifu mwenyewe anasema mna michezo ya sumu, Lisu ni nani asipewe tahadhari? Au ww ndio uko kitengo Cha kupakaa sumu Nini?

Wasafi kumbe takataka..na huyo alie juu mwambieni kuna yule alie juu zaidi mawinguni...huyo ndio kiboko ya binadamu wote
Eti maaelekezo kutoka juu..hahaha bullshit
Anzisha TV yako Ili kucha kutwa uwe ukihojiana na Tundu Lissu au yeyote unayemuona bila yeye maisha hayawezi kwenda. Usitoe matusi Kwa Mali ya watu au wewe mwenyewe nenda ukamhoji, Kwani lazima wasafi.
 
Unaikumbuka Tunatekeleza ya TBC ?
 
Kama vipi chadema waanzishe radio/tv station yao.

Waache lialia
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…