Ushauri: Tundu Lissu usihudhurie Interview nyingine itakayopangwa na WASAFI FM

Nimekuuliza wasafi wataanguka sababu ya kutomuhoji Lissu si kituko hicho? Jibu hoja acha kuruka ruka kisanii
Jibu nimetoa na usanii ni kazi yangu siwezi kuiacha😅
 
Wacha kiherehere. Ulikuwa unahojiwa wewe?Aliyetaka kuhojiwa karidhika wewe zumbukuku unakaza fuvu kujipa umaarufu na uwezo usiokunao.
We ndo takataka ya tanganyika,hivi nyie elimu zenu zipoje🙄.
Majitu mengine kas misukule,emu kabeekee Kwa bwana zako huko ukale mabaki ya mezani Paka mjane wewe.
 
Sibishani na mbwa.Mlete mwenye mbwa wewe aseme anachotaka kusema.Mbwa wewe hata kuandika hujui.
 
uwanja wa siasa sawa na uwanja wa mpira kuna kipindi unapigwa ngwala
 
Mimi mtizamo wangu naona Lissu akialikwa Wasafi aende tu halafu aungurume kama kawaida yake Vijana wanansubiri kwa hamu.
 
Mmnapoambiwa kuwa mzee Mbowe anapeleka wapi ruzuku mnaanza kupiga mayowe,imagine chama kina zaidi ya miaka thelathini hakina hata gazeti ,hawa ndio wanataka eti kupewa nchi ?jamani watanzania sio wajinga eti[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kama zile Risasi hakufa, hayo mengine hayatamuua
 
View attachment 2896938

Baada ya leo kushindikana kwa Mahojiano yaliyopangwa kufanyika kwenye Studio za Wasafi FM , Baina ya Watangazaji wa kituo hicho na Tundu Lissu , imekubaliwa kwamba itapangwa siku nyingine kwa ajili ya jambo hilo

Ukweli ni kwamba Sababu zilizotolewa na Wasafi media kama utetezi wa mkanganyiko huo hazitoshi hata Chembe , na baada ya uchunguzi wetu tumeanza mara moja kutilia mashaka jambo hili iwapo litafanyika wakati mwingine .

Sababu kuu iliyotolewa na Wasafi Media ni kwamba HAWAKUJIPANGA , mahojiano muitishe nyie halafu mnasema hamkujipanga ! mwataka kujipangaje , ili iweje ?

Ushauri wetu kwa Tundu Lissu asithubutu kuhudhuria mahojiano mengine kwenye studio hiyo , au kama ni lazima ahudhurie basi ni muhimu na ni lazima aende na mic yake pamoja na kiti chake , hii ni kwa sababu za kiusalama .

Naomba kuwasilisha .
Lissu ovyo kabisa
 
Ha ha.

Susa Susa FC waanzishe Susa Susa FM.

Yaani CHADEMA wakipewa sababu. Wanatishia kususa.

Sasa mmeambiwa 'Hawajakujipanga' Mnarusha vi tantrum. Kha
 
Baada ya leo kushindikana kwa Mahojiano yaliyopangwa kufanyika kwenye Studio za Wasafi FM , Baina ya Watangazaji wa kituo hicho na Tundu Lissu , imekubaliwa kwamba itapangwa siku nyingine kwa ajili ya jambo hilo

Ukweli ni kwamba Sababu zilizotolewa na Wasafi media kama utetezi wa mkanganyiko huo hazitoshi hata Chembe , na baada ya uchunguzi wetu tumeanza mara moja kutilia mashaka jambo hili iwapo litafanyika wakati mwingine .

Sababu kuu iliyotolewa na Wasafi Media ni kwamba HAWAKUJIPANGA , mahojiano muitishe nyie halafu mnasema hamkujipanga ! mwataka kujipangaje , ili iweje ?

Ushauri wetu kwa Tundu Lissu asithubutu kuhudhuria mahojiano mengine kwenye studio hiyo , au kama ni lazima ahudhurie basi ni muhimu na ni lazima aende na mic yake pamoja na kiti chake , hii ni kwa sababu za kiusalama .

Naomba kuwasilisha .
Hawa ni wa kutiliwa mashaka hawa c wa kuaminiwa hata kidogo. Nashauri asiende badala yake wahojiane mtandaoni tuu kwa kutumia zoom au aina nyingine
 
Sio kitu kikubwa na Tv ya wasafi TV wasitangaze chochote Cha Chadema Wala Tundu Lisu
 
Back
Top Bottom