Ushauri: Tundu Lissu usihudhurie Interview nyingine itakayopangwa na WASAFI FM

Ushauri: Tundu Lissu usihudhurie Interview nyingine itakayopangwa na WASAFI FM

Kwa hiyo cdm haamini katika kumilika media zake ,mtaendelea kulilia hadi mwisho wa dunia walai
Soma post na. 29 uone umuhimu wa kuwasilisha mambo kupitia media huru.

Own media ni nzuri kutolea matangazo ya chama kama yalivyo. Lakini media huru ni katika kuwasilisha vision ya chama iliyochambuliwa kiundani (critically analysed) na wadau.
 
Hawa ni wa kutiliwa mashaka hawa c wa kuaminiwa hata kidogo. Nashauri asiende badala yake wahojiane mtandaoni tuu kwa kutumia zoom au aina nyingine
Tundu Lissu naimani uko humu ndani na unaisoma sivyo mlioko karibu naye na mmesoma basi mpeni ushauri huu wa bure! Online zoom ipo tangu kipindi
 
Sibishani na mbwa.Mlete mwenye mbwa wewe aseme anachotaka kusema.Mbwa wewe hata kuandika hujui.
Kuandika sijui ila ukasoma ukaelewa,Paka mjane wewe.
Kazi kujikombakomba.
Mtu mzima,inakuwa kaa basha vile.
Ccm imejaa vichwa maji hata awe na PhD.

Ila ipo siku kenge nyie,mnadhani Kuna malefu yasiyokuwa na ncha🤔.
Madako nyie
 
Tatizo matumizi ya mamlaka ni mabovu kupitiliza.Bado tuna safari ndefu.
Ila Kwa nn Bado Chama kisianzishe Television yake.Kwa maana wengi watakuwa wana pata wanachokitaka kupitia kule.Japo mtajiandaa pia na fungia fungia ya majuha flani
 
Kuandika sijui ila ukasoma ukaelewa,Paka mjane wewe.
Kazi kujikombakomba.
Mtu mzima,inakuwa kaa basha vile.
Ccm imejaa vichwa maji hata awe na PhD.

Ila ipo siku kenge nyie,mnadhani Kuna malefu yasiyokuwa na ncha🤔.
Madako nyie
😆😆😆😆
 
Mimi nakuwa basha na wewe unakuwa msenge.Jifunze kuandika kenge maji kabla hujaja na hoja muflis. Eti TV matako yapo wazi unawaza TV?
 
Mimi nakuwa basha na wewe unakuwa msenge.Jifunze kuandika kenge maji kabla hujaja na hoja muflis. Eti TV matako yapo wazi unawaza TV?
Ulitaka niwazie mku**u wako usiejua hata kutawaza😅.
Paka mjane wewe,Kanye Kwanza Paka.
Taifa Lina hasara kubwa,kuwa na malehemu kama wewe Kwa akili za chuki na mawazo mgando kama vile unalialia urithi wa makaburi Bundi wewe.
Jipige DOLE LA KATI AFU NUSA,
Kisha endelea majibizano nami.🖕
 
Baada ya leo kushindikana kwa Mahojiano yaliyopangwa kufanyika kwenye Studio za Wasafi FM , Baina ya Watangazaji wa kituo hicho na Tundu Lissu , imekubaliwa kwamba itapangwa siku nyingine kwa ajili ya jambo hilo

Ukweli ni kwamba Sababu zilizotolewa na Wasafi media kama utetezi wa mkanganyiko huo hazitoshi hata Chembe , na baada ya uchunguzi wetu tumeanza mara moja kutilia mashaka jambo hili iwapo litafanyika wakati mwingine .

Sababu kuu iliyotolewa na Wasafi Media ni kwamba HAWAKUJIPANGA , mahojiano muitishe nyie halafu mnasema hamkujipanga ! mwataka kujipangaje , ili iweje ?

Ushauri wetu kwa Tundu Lissu asithubutu kuhudhuria mahojiano mengine kwenye studio hiyo , au kama ni lazima ahudhurie basi ni muhimu na ni lazima aende na mic yake pamoja na kiti chake , hii ni kwa sababu za kiusalama .

Naomba kuwasilisha .
Najua anakumbuka masasi yaliyotaka mchomoa roho😄
 
Kuna tatizo gani mtoa mada kutoa angalizo? Kama muhalifu mwenyewe anasema mna michezo ya sumu, Lisu ni nani asipewe tahadhari? Au ww ndio uko kitengo Cha kupakaa sumu Nini?
Sisije kuwa ndiye mkaangaji mwenyewe 🤣
 
Ulitaka niwazie mku**u wako usiejua hata kutawaza😅.
Paka mjane wewe,Kanye Kwanza Paka.
Taifa Lina hasara kubwa,kuwa na malehemu kama wewe Kwa akili za chuki na mawazo mgando kama vile unalialia urithi wa makaburi Bundi wewe.
Jipige DOLE LA KATI AFU NUSA,
Kisha endelea majibizano nami.🖕
Wewe junya tu.Ukinikuta na kanga ya mama yako ndio utakuwa na adabu.Rudi shule wewe msenge pori. WEWE ni mbwa tu kama mbwa wengine.Kazi kulalama kama kigoli kilichokoswa koswa.Endelea na hiyo miserable life yako ya kuokota chupa tupu.Bazazi mkubwa.
 
Kuna mijamaa imejaa maujinga humu inakuwaje inakereka pale wampendao Lissu wanapompa angalizo kwamba ajihadhari akienda huko studio za wasafi ambazo zinafahamika in and out kwamba ni pro sisiyemu?Mpaka mahojiano yake yanaahirishwa kwa sababu ambazo hazina mashiko
 
Wewe junya tu.Ukinikuta na kanga ya mama yako ndio utakuwa na adabu.Rudi shule wewe msenge pori. WEWE ni mbwa tu kama mbwa wengine.Kazi kulalama kama kigoli kilichokoswa koswa.Endelea na hiyo miserable life yako ya kuokota chupa tupu.Bazazi mkubwa.
🖕Imekuingia eee.kumbe wewe ni mwelewa Sana.
Emu soma Tena ile😅😅😅😅
 
Wamhoji online kwani lazima aende hapo?
Kama kunajambo limeaonyesha CHADEMA kama watu wa ajabu, wasi na msimamo wala tunu yoyote wanayoiamini ni hili ya wasafi Tv
 
Wafanye hayo mazungumzo online.
Kinachonishangaza Ni kwanini TAL ameenda kwao pamoja na kutaarifiwa kuwa kipindi kimeahirishwa? Inabidi Lissu awe na jicho la tatu kila pale anapokuwa amealikwa hasa na mahasimu wa chama chake asifikiri risasi 16 ndio stock imeisha kwani kujaribu kumnyang'anya tonge kichaa Ni kujaribu kumuua na sidhani kama na wewe atakuacha salama
 
Alianza kutukana yeye.
Niliiona ila sikutaka kumwambia kwa sababu ndiyo alivyolelewana ni jadi yao ILA wewe nimekwambia kwa sababu najua hukelelewa hivyo; niliona unataka kuiga tabia chafu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Niliiona ila sikutaka kumwambia kwa sababu ndiyo alivyolelewana ni jadi yao ILA wewe nimekwambia kwa sababu najua hukelelewa hivyo; niliona unataka kuiga tabia chafu
Nimekuelewa na ni kweli unalosema.Shukrani.
 
Back
Top Bottom