Ushauri: Tundu Lissu usihudhurie Interview nyingine itakayopangwa na WASAFI FM

View attachment 2896938

Baada ya leo kushindikana kwa Mahojiano yaliyopangwa kufanyika kwenye Studio za Wasafi FM , Baina ya Watangazaji wa kituo hicho na Tundu Lissu , imekubaliwa kwamba itapangwa siku nyingine kwa ajili ya jambo hilo

Ukweli ni kwamba Sababu zilizotolewa na Wasafi media kama utetezi wa mkanganyiko huo hazitoshi hata Chembe , na baada ya uchunguzi wetu tumeanza mara moja kutilia mashaka jambo hili iwapo litafanyika wakati mwingine .

Sababu kuu iliyotolewa na Wasafi Media ni kwamba HAWAKUJIPANGA , mahojiano muitishe nyie halafu mnasema hamkujipanga ! mwataka kujipangaje , ili iweje ?

Ushauri wetu kwa Tundu Lissu asithubutu kuhudhuria mahojiano mengine kwenye studio hiyo , au kama ni lazima ahudhurie basi ni muhimu na ni lazima aende na mic yake pamoja na kiti chake , hii ni kwa sababu za kiusalama .

Naomba kuwasilisha .
Waandaji wa kipindi hasa Gerald Hando walikurupuka kualika mtu kwenye kipindi bila kuwajuza wenye media…hii ndio shida Huyu Hando atawaponza sana …nafikiri atasimamishwa tena maana ana gundu sana😂😂😂
 
Kuna kila dalili
 
Hii tabia imekuwepo kwa media house nyingi, hao WASAFI sio wa kwanza, na ninaamini hawatakuwa wa mwisho, so kwa ushauri wako kuna iwezekano wa Lissu kuja kuzigomea media nyingine mbele ya safari, ikiwa hivyo what's a way forward?!

Chadema waifanye kazi ya kutoa taarifa zao wenyewe kupitia online outlets, zaidi iwe mitandaoni, kuendelea kulalamika kuchezewa rafu na hao WASAFI au wengineo ni kuwakuza tu bila sababu, interviews zimeshakuwepo nyingi na zitakuwepo tu.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2896938

Baada ya leo kushindikana kwa Mahojiano yaliyopangwa kufanyika kwenye Studio za Wasafi FM , Baina ya Watangazaji wa kituo hicho na Tundu Lissu , imekubaliwa kwamba itapangwa siku nyingine kwa ajili ya jambo hilo

Ukweli ni kwamba Sababu zilizotolewa na Wasafi media kama utetezi wa mkanganyiko huo hazitoshi hata Chembe , na baada ya uchunguzi wetu tumeanza mara moja kutilia mashaka jambo hili iwapo litafanyika wakati mwingine .

Sababu kuu iliyotolewa na Wasafi Media ni kwamba HAWAKUJIPANGA , mahojiano muitishe nyie halafu mnasema hamkujipanga ! mwataka kujipangaje , ili iweje ?

Ushauri wetu kwa Tundu Lissu asithubutu kuhudhuria mahojiano mengine kwenye studio hiyo , au kama ni lazima ahudhurie basi ni muhimu na ni lazima aende na mic yake pamoja na kiti chake , hii ni kwa sababu za kiusalama .

Naomba kuwasilisha .
Si akahijiwe na Tanzania Daima ?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Hii tabia imekuwepo kwa media house nyingi, hao WASAFI sio wa kwanza, na ninaamini hawatakuwa wa mwisho, so kwa ushauri wako kuna iwezekano wa Lissu kuja kuzigomea media nyingine mbele ya safari, ikiwa hivyo what's a way forward?!

Chadema waifanye kazi ya kutoa taarifa zao wenyewe kupitia online outlets, zaidi iwe mitandaoni, kuendelea kulalamika kuchezewa rafu na hao WASAFI au wengineo ni kuwakuza tu bila sababu, interviews zimeshakuwepo nyingi na zitakuwepo tu.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mmnapoambiwa kuwa mzee Mbowe anapeleka wapi ruzuku mnaanza kupiga mayowe,imagine chama kina zaidi ya miaka thelathini hakina hata gazeti ,hawa ndio wanataka eti kupewa nchi ?jamani watanzania sio wajinga eti🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Bwashee kuna tofauti kubwa Kati ya kutumia Media zako kutoa taarifa na Kualikwa na Independent media Kuhojiwa

Pale Juu umefafanua vizuri

Mkapa alipohojiwa na Hard Talk BBC alisikilizwa na Dunia kadhalika huyu huyu TAL
 
Aliyekudanganya amekuweza
 
Wasafi kumbe takataka..na huyo alie juu mwambieni kuna yule alie juu zaidi mawinguni...huyo ndio kiboko ya binadamu wote
Eti maaelekezo kutoka juu..hahaha bullshit
Kwa hiyo wewe ndio utaishi daima ,huu ujinga wa kuombea watu vifo hawa kenge wa cdm wameurithi toka kwa Lema
 
Ingekuwa ni takataka huyu mwendawazimu wenu angetaka wamhoji ?kumbe mpuuzi Lissu alikuwa akahoniwe na takataka?
 
VYOMBO VYA HABARI VIPO VINGI TUH,WAENDE HATA TBC IKIBIDI,ILE SI NI TELEVISION YA TAIFA??HAKI SAWA KWA WOTE
 
Bwashee kuna tofauti kubwa Kati ya kutumia Media zako kutoa taarifa na Kualikwa na Independent media Kuhojiwa

Pale Juu umefafanua vizuri

Mkapa alipohojiwa na Hard Talk BBC alisikilizwa na Dunia kadhalika huyu huyu TAL
Sasa kama hizi media za ndani zinaogopa wafanyeje? au ndio wawalazimishe kama Lissu alivyogoma kuondoka hapo ofisini kwa WASAFI mpaka wamwambie nani kawatuma kuzuia interview yake?

Siku zote ukweli hujitenga na propaganda bwashee, ukiusema hata kama ni kwa media yako wanaojielewa watauelewa na kuuamini, wasiokubali watakuwa ni wale wafia vyama wasiotaka kusikia jema lolote toka kwa upande wa pili.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2896938

Baada ya leo kushindikana kwa Mahojiano yaliyopangwa kufanyika kwenye Studio za Wasafi FM , Baina ya Watangazaji wa kituo hicho na Tundu Lissu , imekubaliwa kwamba itapangwa siku nyingine kwa ajili ya jambo hilo

Ukweli ni kwamba Sababu zilizotolewa na Wasafi media kama utetezi wa mkanganyiko huo hazitoshi hata Chembe , na baada ya uchunguzi wetu tumeanza mara moja kutilia mashaka jambo hili iwapo litafanyika wakati mwingine .

Sababu kuu iliyotolewa na Wasafi Media ni kwamba HAWAKUJIPANGA , mahojiano muitishe nyie halafu mnasema hamkujipanga ! mwataka kujipangaje , ili iweje ?

Ushauri wetu kwa Tundu Lissu asithubutu kuhudhuria mahojiano mengine kwenye studio hiyo , au kama ni lazima ahudhurie basi ni muhimu na ni lazima aende na mic yake pamoja na kiti chake , hii ni kwa sababu za kiusalama .

Naomba kuwasilisha .
Dawa ni kutoisikiliza na kuotazama tena WCB.

Bias kwenye eneo ambalo hupaswi kuweka upendeleo ni eviction ticket.

Wanaenda kuporomoka
 
Kwa hiyo wewe ndio utaishi daima ,huu ujinga wa kuombea watu vifo hawa kenge wa cdm wameurithi toka kwa Lema
Acha kudandia mambo...
Kifo kipo uombe usiombe tumeelewana?
Hivi nyie watu wa CCM hamjajifunza tu?...kwa nini mnahisi nyie ndio wenye haki zaidi kuliko wenzenu wa Chadema...isitoshe nyie wote mnafanana tabia ....
Lakini hili mtalielewa ...mchawi muda tu...
 
Lisu amejishusha sana, unawezaje kwenda kwenye studio ya wahuni kufanya interview?
Pale alikuwa anaenda kupiga story za umbea, this is what they are good at
 
Back
Top Bottom