Joseph Kadasula
Member
- Apr 26, 2016
- 30
- 48
Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu