Joseph Kadasula
Member
- Apr 26, 2016
- 30
- 48
Nzuri sana hiyo Idea yakoHabari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
Asante sanaNzuri sana hiyo Idea yako
Asante sanaBiashara ya kufanya ni ile inayokujia kichwani kila mara.
code nzuri lakin mbona km umeifunga hv mkuu, ifungue bas angalau utoe suggetions za biashara ganNakupa code hii muhimu BIASHARA NZURI KATIKA ENEO UNALOLIWAZIA NI ILE YANYE WATEJA WENGI YANI TOKA NIINGIE BIASHARA YENYE FOLENI HIYO NDIO YENYE PESA ACHANA NA WAZO JIPYA HUJAFIKA HUKO
huko sio kuchoma mtaji kweli mkuuusifanye biashara kabla hujapitia bar kubwa kubwa kuenjoy maisha huko ndipo utapata madili ya maana kila ukieda usikose laki moja au mbili utakuja nishukuru
Hahahahuko sio kuchoma mtaji kweli mkuu
Mbona hapo nimekutafunia sana baba angucode nzuri lakin mbona km umeifunga hv mkuu, ifungue bas angalau utoe suggetions za biashara gan
Shukrani sana mkuuIla nipo kukusaidia
Thread ifungwe tukalaleBiashara ya kufanya ni ile inayokujia kichwani kila mara.
ππππThread ifungwe tukalale
Niko moshi mkuuOya Jose ungesema uko wapi ili wadau iwe rahisi kukushauri
Sawa mzeeMzee hapo mi naona carwash Ila kwa sahihi zaidi!
Fanya biashara ambayo italeta mfumo wa foleni -(queue)