Ushauri wa bure: Jitahidi kuyafanya sana haya mambo utakuja nikumbuka baadae

Ushauri wa bure: Jitahidi kuyafanya sana haya mambo utakuja nikumbuka baadae

Ili tupate wote hiyo HIV uliyonayo
Jaribu kufanya sana tena kama ngono fanya kavu ikikupendeza hata kwa mpalange, maana siku zako zinahesabika,.

Unafanya mapenzi kwa kondom unaogopa kufa kwa UKIMWI unakuja kufa kwa ajali ya pikipiki huku utamu wa MK hauujui,.

Ndugu yangu jitahidi kufanya sana katika starehe yako kwani umri wako wa kuwa duniani unahesabika,.
Fanya mazoezi fanya kwa kondom check afya yako kila miezi mitatu bado kifo kipo palepale,.

Jitahidi sana ikikupendeza jaribu hata KITIMOTO KWA TENDE maana umauti uwaja,.
 
Kula pombe mkuu, sote ni chakula ya mchwa tu🤣🤣.
 
Hawafanyi kwa kuwa wametishwa sana na imani za kijinga jinga,.
Ndugu yangu wewe fanya sana,.
Kama ni mpenzi wa Pombe basi lewa sana ikikupendeza kesha na ulale bar,
Kama wewe ni mpenzi wa NGONO basi jitahidi kufanya sana ikikupendeza jaribu na hata JICHO 👁️
Kwani mwanadamu siku zako zinahesabika
👀! 👁️Hapana nasikia Kuna kupigwa sijui
 
Nani amekwambia kwenye PEPO kuna mambo ya K-VANT
Dini gani imesema kwenye PEPO kuna kitimoto na je kaka mpalange yupo huko kwenye pepo zenu,.
Amka kijana
Fanya sana, tena narudia fanya sana....
ya huko sio haya
hata maandiko matakatifu yanaeleza kila jambo liende kwa kiasi, akili zako zinakutuma utende hayo maovu basi tenda wewe, ushishawishi na wanadamu wengine.

Katika ulimwengu hakika tunaishi kwa kitambo kifupi tu na maisha baada ya hapa basi ni kwa milele tutaishi.

jitafakari upya ndugu yangu.
 
Unataka kuwaambia nn wale walioahidiwa mabikira 72?
Jawabu lako hili hapa [emoji116]
Safi, tena safi sana.
Kuna wajinga wanasubiri maisha ya baada ya KIFO.
yaani wanaishi kwa shida sana hauwezi amini wao mambo mazuri yote kwao ni haramu,.
Ndugu yangu haya maisha ni zawadi na tumepewa na vilivyomo tuvitumie sana,.

Hivyo ndugu yangu Jitahidi kuyafanya sana ikikupendeza fanya zaidi.
 
Unataka kuwaambia nn wale walioahidiwa mabikira 72?
Wafanye sana wavionavyo, mbona mabikra 72 wapo pare TEMEKE mbona wapo pare Buguruni mbona wapo kwa fisi,. Mbona wapo pale kona PUB, mbona wapo pale dabo kibini tandika,. tena ukienda wamejipanga unajichagulia mwenyewe ni mwendo kufanya nao sana,.

Mungu peponi alishaihamishia duniani kitambo tu ila sisi wenyewe bado tunajicherewesha,.
Kwa sasa vile vilivyo andika vya peponi vyote vipo hapa,.

Mpaka ukimkumbuka tu mtu ukitaka kuonana nae unaonana nae kwa WHATSAPP VIDEO CALL ndugu zangu fanyeni sana peponi ipo iko wazi.
hata maandiko matakatifu yanaeleza kila jambo liende kwa kiasi, akili zako zinakutuma utende hayo maovu basi tenda wewe, ushishawishi na wanadamu wengine.

Katika ulimwengu hakika tunaishi kwa kitambo kifupi tu na maisha baada ya hapa basi ni kwa milele tutaishi.

jitafakari upya ndugu yangu.
 
Nilipotoka chuo nilikua na hii mentality basi si nikaotea chaka la kupiga hela aisee nilifanya starehe karibu zote

Matokeo yake pesa ziliisha na chaka likafungwa nimeishia kua na watoto kila mahali wengine nahudumia wengine ndio hvo tena

Sijutii kwa chochote hua nikitizama nyuma nasema at least niliwahi kuishi, najitafuta upya niendelee nilipoachia.
Kwahio mama hajakuona hadi leo tu na wewe ni mlamba asali?
 
hata maandiko matakatifu yanaeleza kila jambo liende kwa kiasi, akili zako zinakutuma utende hayo maovu basi tenda wewe, ushishawishi na wanadamu wengine.

Katika ulimwengu hakika tunaishi kwa kitambo kifupi tu na maisha baada ya hapa basi ni kwa milele tutaishi.

jitafakari upya ndugu yangu.
Kila siku nawaambia katika mambo ambayo binaadamu anayaogopa zaidi ni kufa anachokipenda zaidi ni KUISHI,.
Katika hili anapambana kila namna kujifanya hata akifa eti akaishi milele,.
Alafu akifa afe kwa faida
Ndugu yangu hakuna faida kwa kuwaza Ujinga na kwa kufuata Ahadi za uongo,.
Fanya sana duniani yasasa ni pepo ya vitabu vya dini vya kale
 
Hayo yote ni ubatili tu. Ukijitambua utagundua kila kitu hufanywa kwa kiasi. Ingekuwa watu wanawaza kufa Bhakressa angekuwa anashinda Miami Beach Florida akicheza na matako ya wanawake huku akilewa hovyo kama komba.
 
Attachments

  • Text_28082023_114343.png
    Text_28082023_114343.png
    124 KB · Views: 1
Kila siku nawaambia katika mambo ambayo binaadamu anayaogopa zaidi ni kufa anachokipenda zaidi ni KUISHI,.
Katika hili anapambana kila namna kujifanya hata akifa eti akaishi milele,.
Alafu akifa afe kwa faida
Ndugu yangu hakuna faida kwa kuwaza Ujinga na kwa kufuata Ahadi za uongo,.
Fanya sana duniani yasasa ni pepo ya vitabu vya dini vya kale
Shetani kaja kivingine 🤣 kivumbi leo
 
Hayo yote ni ubatili tu. Ukijitambua utagundua kila kitu hufanywa kwa kiasi. Ingekuwa watu wanawaza kufa Bhakressa angekuwa anashinda Miami Beach Florida akicheza na matako ya wanawake huku akilewa hovyo kama komba.
Kupanga ni kuchagua
Ule sasa au usubiri ukale MBINGUNI,
Ila ndugu yangu amini amini nawaambia Fanya sana katika starehe yako,.
Najua unaongeza hapa UNAFANYA Zinaa kila kukicha huku ukijipa matumaini ya pepo ndugu yangu amka anza sasa kufanya sana tena fanya sana,.

TAJIRI BORA NI YULE ANAYEKUFA MASIKINI,

NA TAJIRI MPUMBAVU NI YULE ANAYEKUFA NA MALI,.

Huku akiacha pesa BENKI bila familia kuzijua na akiacha nyumba zinazokuja kuuzwa na wafanyaji sana.
 
Huu Uzi mkosho sana🤣
Je na wewe ni wa kufanya sana,
Kama sio ndugu fanya sana tena na sana,.
Kama wewe ni mpenzi wa ngono basi fanya kweli,
Kama itakupendeza jaribu na wembamba sana au hata wanene sana pia usife bila kujaribu wafupi sana, zama mpaka chumvini mpaka mitaloni sikilizia ladha,.
Pia kama wewe ni mpenzi wa Pombe basi lewa sana ikikupendeza jaribu na kuchanganya kwenye maziwa angalia hali itaendaje.
Changanya safari, gongo la kienyeji jalibu na libeneke usisahau kuna kitu inaitwa wanzuki, ulaka pia kuna pombe inaitwa Chibuku jalibu ukiwa umekula pia jaribu ukiwa na njaa maana siku zaja za mwisho wa uhai wako,.
 
Haha sawa mkuu nimekuelewa...🤣Ila sometimes kufanya hivi vitu vinasogeza siku zako za karibu
 
Haha sawa mkuu nimekuelewa...🤣Ila sometimes kufanya hivi vitu vinasogeza siku zako za karibu
Ni vyema ukafa mapema,
Maana hauwezi jua huko mbele kingekukuta nini,.
Unakufa 2026 nibora kuliko kuja kufa 2055 hauwezi jua 2050 utaenda jera,.
2046 ungefumaniwa na kukatwa miguu yote na kuachwa unateseka,.
Kama unakufa mapema ni vyema sana,.
Pia kama kuna kitu mtu anahitajika kukipambania ni kufa mapema, fanya sana tena fanya sana ili hata Ukifa kesho kusikuwe na kitu cha kukimisi,.
 
Back
Top Bottom